mafuta ya kupikia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dr Luu

    Chukueni tahadhari dhidi ya mafuta ya kula na kupakaa mnayotumia

    Habari, kama kichwa cha habari kinavyo nielezea hapo juu. Mimi ninauzoefu kwa kiasi juu ya vyakula kwa kuwa ni mtafiti, tabibu na ninamiliki duka la rejareja ingawa sipati muda wakuka mara nyingi dukani ila naona brands nyingi zikiingia sokoni tena tunazipata kwa bei nafuu, kutokana na wateja...
  2. Mamaya

    Kupanda bei mafuta ya kupikia hadi kufikia tsh7,000 hadi 7,500 kwa lita Serikali iingilie kati

    Habari ya weekend wana bodi Natumaini Waziri mwenye dhamana pamoja na serikali huwa wanapita humu JF, Hoja yangu ni juu ya kupanda bei kwa mafuta ya kupikia kila siku iitwapo leo. Mafuta ya alizeti lita moja ilikuwa inauzwa 3,000-3,500 ila kwa sasa imefikia 7,000 hadi 7,500 kwa lita, mafuta...
  3. eden kimario

    Serikali ya CCM: Punguzeni gharama za Mafuta ya Kupikia, bei zinapanda kwa kasi!

    Hivi, serikali inayowajali watu inaowaongoza na kuwasimamia, kweli inakosa mbinu za kuhakikisha bidhaa muhimu kama mafuta ya kupikia inashuka bei ili kupunguza gharama za maisha? Sababu kuu ya kupanda kwa gharama za vyakula mitaani ni mafuta ya kupikia kuwa juu mno. Kwa mfano, maeneo ya mama...
  4. Mmea Jr

    Mafuta ya kupikia ya Alizeti, dumu la lita 20 lafikia sh 120,000/=

    Habari zenu jamani Bila kupoteza muda ,,, kumeanza kuchangamka, leo hii navyoandika dumu la mafuta ya kupika ya Alizeti huku nilipo limefikia sh 120,000/= ni wiki moja tu nyuma lilikuwa 105,000/= Ikiwa na maana kwasasa gharama kwa sasa zitakuwa kama ifuatavyo Lita moja = 6000/= Nusu...
  5. alextechs

    Maeneo gani hapa Dar yanafaa kwa biashara ya nafaka na mafuta ya kupikia

    Naomba mnishauri ni maeneo gani hapa Dar yanafaa kuanzisha biashara ya nafaka na mafuta ya kupikia kwa jumla na Rejareja? Nimepata mtaji 10M nataka nianzishe store ya kuuza nafaka but naomba ushauri kujua ni maeneo gani yanafaa zaidi kwa hapa Dar.
  6. border mc

    Kuhusu biashara ya mafuta ya kupikia

    Mimi ni kijana mdogo bado, ila nataka nijiajiri mwenyewe kwa manufaa yangu ya badae Niko hapa kuuliza ili nijue kiundani zaidi kuhusiana na biashara ya mafuta ya kupikia Je soko lake lipoje? Ni aina gani pendwa zaidi walaji huipenda? Na je bei zake zinaweza nipatia faida kiasi? Na ni maeneo...
  7. U

    Tani 47,000 za mafuta ya kupikia yaliyokwisha muda wake na yenye sumu yamesambazwa nchini Iran

    Wadau hamjamboni nyote? Inadaiwa kuwa jumla ya tani 47,000 za mafuta ya kupikia yasiyokwisha muda wake na yenye sumu toxic yamesambazwa kwa walaji nchini Iran Inadaiwa mafuta hayo ni sehemu ya Tani 91,000 za mafuta zilizoagizwa na nchi hiyo kutokea nchini Argentina na uturuki mwaka 2021. Hadi...
  8. Roving Journalist

    TBS: Mchele, mafuta ya kupikia ya alizeti na maharage kutoka Marekani, ni Salama kwa Walaji

    Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limesema mchele, mafuta ya kupikia ya alizeti na maharage ambavyo vyote vimeongezwa Virutubishi vilivyotolewa na Wizara ya Kilimo ya Marekani kwa ushirikiano na Taasisi ya Jumuiya za Kimataifa (Global communities) kwa baadhi ya Shule za Dodoma, vyote ni salama...
  9. Melki Wamatukio

    Tukio la kutisha: Tuweni makini na mafuta ya kupikia. Kuna mtoto kaharibiwa sura

    Sambamba na hilo: • Nimeambulia kipigo ndoige kutoka kwa mwananchi mwenye hasira kali kwa kuwa nimeshuhudia tukio • Nimepoteza mpenzi papo hapo Somewhere in Dar es salaam Pembezoni mwa fremu moja ambayo hutumika kwa ajili ya wateja wa mama ntilie x kupata msosi, kuna mwanamama ambaye hukaanga...
  10. Lady Whistledown

    Kilwa: Maafisa TRA hatiani kwa kukadiria kodi madumu 200 kati ya 500 ya Mafuta ya kupikia

    Mahakama ya Wilaya ya Kilwa imewatia hatiani Maafisa Forodha wa TRA Wilayani humo, Sultan Ali Nasor na Silver Maximillian kwa makosa ya Matumizi Mabaya ya madaraka na kutofanya Tathmini Sahihi ya Kodi iliyosababishia Mamlaka Hasara ya Tsh. Milioni 9.269. Washtakiwa walifanya tathmini ya kodi...
  11. Stephano Mgendanyi

    Tuwawezeshe JKT hatutaagiza tena mafuta ya kupikia

    MBUNGE COSATO CHUMI - TUWAWEZESHE JKT HATUTAAGIZA TENA MAFUTA YA KUPIKIA Mbunge wa Jimbo la Mafinga Mjini, Mhe. Cosato Chumi akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa iliyosomwa na Waziri Mhe. Innocent Bashungwa bungeni jijini Dodoma "Narudia tena, wawezesheni...
  12. H

    Natafuta chimbo la mafuta ya kupikia ya Mico Gold

    Habari ndugu! natumaini mnaelendelea salama. Naomba kufahamu chimbo la mafuta ya kupikia hasa haya ya Mico Gold nahitaji nipate kwa bei ambayo itaniwezesha mimi kuuza kwa bei ya jumla kwa wateja wangu.
  13. CHASHA FARMING

    Blue Band wanazalisha mafuta ya kula ya Canola

    Kampuni ya Blueband ya Kenya ambauo ina product yao maarufu ya Margarine ya kupaka kwa mikate kwa sasa wana zalisha pia mafuta ya kula yatokanayo na Canola. Wamekuwa wanapata Canola kutoka kwa wakulima wao na nyingine huagiza nje ya nchi.
  14. V

    Jinsi zao la alizeti linaweza kupunguza uhaba wa mafuta ya kupikia

    UTANGULIZI Sekta ya kilimo inachangia zaidi ya 40% ya pato la taifa. Ili taifa loloteliweze kukua vizuri kiuchumi lazima liwe na mikakati dhabiti na endelevu juu ya kilimo bora na chenye tija kwa taifa na kwa wananchi wake Kilimo za alizeti...
  15. bryan2

    Nchi yenye kilomita za mraba kadhaa mafuta ya kupikia yanakuwa shida

    Its wonder kila kitu kipo juu ukiuliza kwanini wanakwambia VITA sawa ni vita je serikali imekuja na mipango gani kwa hiyo mtaachia wafanyabiashara waendelee kupandisha bei za vitu kisa vita hakuna tamko la kukemea vitu kupanda bei bali kuna tamko la kubariki viendelee kupanda. Kupanda bei kwa...
  16. Replica

    Rais Samia: Nimeagiza tozo ya mafuta irudishwe, asema nauli na bei za bidhaa vitapanda. Sababu ni vita ya Urusi

    Leo Rais Samia amepokea ripoti ya CAG Ikulu Dodoma na kuongelea mambo kadhaa ikiwemo suala la mafuta. Rais Samia amesema waziri husika aliondoa tozo ya Tsh 100 kwenye lita ya mafuta bila kuangalia upana wake ikiwemo tayari ilikuwemo kwenye bajeti ambayo ilipitishwa na Bunge hivyo Rais ameagiza...
  17. Shark

    Mafuta ya kupikia yaadimika mitaani

    Kuna watu wanamhujumu Mheshimiwa Rais na pengine yeye hajui hili. Kwa sasa huku mitaani mafuta ni adimu sana, na pale ambapo yanapatikana basi bei yake haishikiki. Dumu/Ndoo ya Lita 20 iliyokua ikiuzwa TZS 70,000/- mwezi wa sita mwaka jana leo inauzwa TZS 140,000/- Aliekua Waziri wa Kilimo...
  18. and 300

    Mafuta ya kupikia bei juu, Chips bei ile ile!

    Wapenda chips mnalishwa Sumu bila kupenda, haiwezekani mafuta ndoo ya 10ltrs iuzwe 75,000 TZS kutoka 38,000 TZS (ongezeko karibia 100%) Ila chips mtaani Bei Ile Ile. Wafanyabiashara hao wamejiongeza Kwa gharama za mlaji. STUKA
  19. 2019

    Mafuta ya kupikia yazidi laki 1

    Nchi hii Ishakuwa shamba la bibi,ukipata fursa piga tuuuu...hakuna mzalendo tena,kila mtu anaangalia urefu wa kamba yake
  20. jebs2002

    Petroli bei juu. Mafuta ya kupikia bei juu. Mazagazaga bei juu. Maji ya kutumia hakuna. Umeme kukatika hata mara 5 au 6 kwa siku!

    Kutokana na hayo matatizo yaliyotajwa hapo juu. Je, Mama Samia anatupeleka wapi na wasaidizi wake? Tutaishia wapi? Kumbekeni Omicron nayo yatunyemelea kama bado haijafika! Kweli bongo bahati mbaya.
Back
Top Bottom