Hi guys,
Kwa mchele mzuri kabisa, ambao ukipika kiubwabwa chako kwanza kinakuwa kitamu pili kinanukia mpaka mtaa wa 7 huko, usisite kutuagiza, bei inaanzia 1500/= tu kwa kilo moja.
Pia tuna mafuta safi na khalisi kabisa ya alizeti Lita 3 kwa tsh. 17,000/= na Lita 5 kwa tsh. 28,000/= tu za...
Kwa style tunayoenda nayo Magufuli lazma akumbukwe bila kupenda.
1. Tozo
2. Bei ya vitu kupaa
3. Serikali haina kauli 1 tena.
4. Wakazi wa Dodoma
5. Wenyeji wa Chato
Yaani mwanaume mwanaume tu. Wengi tulimchukia sana Magufuli lakini hata kama hatokumbukwa lakini kimoyo moyo lazma umkumbuke...
RANCIDITY NI NINI?
Rancidity ni hali ya kuharibika kwa mafuta ya kupikia au mafuta yaliyo katika vyakula mbalimbali kama vile samaki au nyama kutokana na jinsi yanavyotumika, kuhifadhiwa au kupita muda wake wa matumizi (expired). Katika kuharibika hutoa kemikali ambazo ni hatari kwa afya ya...
Mimi ni mjasiliamali muuza chipsi LAKINI wahusika tunaomba MSAADA WENU wa kiuwajibikaji fuatilieni mafuta yakula yanayoingia sokoni Kuna ambayo yanakua yanakasoro hivyo yanatusababishia hasara yanamwagika na tunapata tabu ya kimatumizi.
Aidha hatujajua mafuta haya yatakua na madhara kiasigani...
Jana nimenunua mafuta ya kupikia hapa Ubungo - River Side.
KORIE dumu la lita 20, shillingi 79,000/=. Hayo mafuta yaliyoingia bandarini ya kutosha matumizi ya miezi sita yako wapi? Au ni wafanyabiashara wakubwa wameficha mzigo ili bei iendelee kuwa juu?
Prof Kitila mkumbo na naibu wake si...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.