mafuta ya upako

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Utapeli wa “Chumvi na Mafuta ya Upako” Wafichuliwa

    Kabla ya kuufichua huo utapeli, hebu tuwasikilize kwanza hawa manabii feki: Nabii XXL: Aisee, hizi sadaka tunazopata hazitoshi kununua ndege, na kutufanya tuishi maisha ya kifahari. Naomba tubuni mbinu ya kuongeza mapato. Nabii X: Mi nafikiri wakati wa maombezi, tuwe tunawauzia watu chumvi...
  2. Hii hapa michongo ya financial market inayoweza kukufanya utoboe kimaisha bila hata connection wala mafuta ya upako

    Moja kati ya sehemu ambazo Kwasasa zina fursa Kibao ambazo zinaweza kukufanya ukatoboa. . BILA Hata kusota Wa kuteseka. Ni pamoja na Financial Market 🇹🇿 . Na Good News... . ni Kwamba Kwasasa Financial Market ya Bongo imeendelea kuongeza Wigo Wa Fursa na Michongo Ambayo unaweza Kukamatia na...
  3. Nilitamani sana nione miujiza ya Mafuta ya upako na udongo wa upako miujiza ya uokoaji na uponyaji pale Kkoo.

    Nilitamani sana nione miujiza ya Mafuta ya upako na udongo wa upako miujiza ya uokoaji na uponyaji pale Kkoo. Kadhalika na wale masharifu feki na wazee wanaodai wanamvuta mpenzi alioko mbali wakawavute na ndugu zetu kutoka katika janga lililowakuta.
  4. Misikitini waanza kutumia mafuta ya Upako, Sheikh aonekana akinywesha watu mafuta katika ibada

    Sheikh huyu amekuwa akitumia mafuta ya upako na kuwanywesha watu wenye matatizo mbalimbali waliohudhuria swala msikitini.
  5. Sheikh Firdaus Sharifu aanza kutoa mafuta ya Upako

    Kama mnavyo jionea kwenye hii video waumini wa dini ya kiislamu wakimwagiwa mafuta ya upako toka kwa Allah. Kama nakuona ndugu yangu Ritz na FaizaFoxy bila kuwasahau Malaria 2 , THE BIG SHOW na mzee wangu Mohamed Said mnavyo furahia neema hii toka kwa Allah.
  6. Nikiwa Dar Waislamu na wasomi wengi huniagiza silaha zake za kiroho kama maji na mafuta ya upako

    Hawa manabii waliozuka na kujaa kama nzige wanajipatia waumini wa kuwapa utajiri. Hao wasomi, waislamu na wanasiasa wanawapinga ovyo mtandaoni lakini pembeni utakuta wananunua maji, chumvi, mchanga na mafuta ya upako. Hapa mtandaoni jamii forums sijawahi kuona mtu akisema wazi kama ni mfuasi wa...
  7. Manabii wanaouza maji na mafuta ya upako nao waingizwe kwenye mfumo walipe kodi

    Habari za muda huu wakuu, Naomba niende kwenye maada husika. Mimi ombi langu kwa serikali ni kua wale manabii wanaouza maji ya upako wasajiliwe na mamlaka za maji (EWURA) ili na wao walipe kodi vivyo hivyo mafuta nao, maana hiyo imekua ni biashara kubwa watu wanatumia shida zetu kujinufaisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…