Mali hutengeneza mali; Hakuna cha miujiza, mafuta ya upako, bahati, nyota, kibali, visomo, uganga, majini wala meditation

Mali hutengeneza mali; Hakuna cha miujiza, mafuta ya upako, bahati, nyota, kibali, visomo, uganga, majini wala meditation

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
Historia za jamii zilizo na legacy ya utajiri au mafaniko makubwa ya kifedha na mali zisizohamishika imetokana na wao kuwa aggressive katika kushinda ushindani, kuchukua kwa nguvu kwa wale walio wadhaifu, kuchakata fikra ya kushinda uzalishaji duni, kuwahi rasilimali ambazo hazijafanikiwa kufikiwa, kunyonya wale ambao bado hawashtuka na kurithisha ulivyopata kwa wale watakaomfata.

Kwa hio rasilmali hutengeneza mali, mali hutengeneza pesa, pesa hutengeneza utajiri.

Tofauti na hapo utamlaumu Mungu sana kwa nini hajibu maombi yako.

Utajichukia kwa kujiita mwenye mikosi.

Utaumia kwa kuchukia walio kuzidi.

Utawehuka ukitafuta elimu za giza za kufikirika

WEALTH CREATES WEALTH
 
umemaliza kila kitu mjuba, sina cha kuongeza
 
Ila waganga wa uongo, mtu anakupa ya pesa wakati wanaomzunguka majirani zake wanakula mlo mmoja kwa siku 🤣🤣🤣
 
UNATAKA KUSEMAJE PEDOPHILE?

KWAMBA MAJINI ULIOFUGA YAMEFUKAFANYA UMZIDI DANGOTE AU UISHIENDE ISRAEL KUPITIA HAMAS?

AU UMELEWA MAANA MNYWA CHANG'AA NASIKIA
Mkuu huwa sinaga utani nawewe bwashee ,naomba tuheshimiane japo kidgo master
 
Miujiza, mafuta ya upako, bahati, nyota, kibali, visomo, uganga, majini n.k VINAWEZA kukutengenezea Mali/pesa/utajiri Kwa kuwafanya watu fursa.
 
EBO Mungu wa Israeli ameingiaje hapa? ? ?

Ukiona unamuwaza Mungu wa Israeli halafu unawaza hela, si Mungu wa Israeli huyo! ! ! Huyo ni mwinignie uliyeingizwa kingi na false prosperity preachers.

Sema nini, ana namna yake tu ya kuku bless when you least expect it, when it's the last thing you think about! ASIFIWE SANA MUNGU WA ISRAELI, MUUMBA WA MBINGU NA NCHI. OUR GOD IS AN AWSOME GOD!
 
Back
Top Bottom