Mali hutengeneza mali; Hakuna cha miujiza, mafuta ya upako, bahati, nyota, kibali, visomo, uganga, majini wala meditation

Watu ni juhudi zao zinawabeba ila kwa kuwa alienda kwa mganga atajua ni uchawi umemkomboa.
Ila mkuu juhudi inafanywa na wengi sana kama kweli ufunguo wa mafanikio ni juhudi tu basi wangefanikiwa watu wengi, kuna watu mpaka unajiuliza huyu anafeli wapi maana anafanya zaidi na bora kuliko wewe ila bado yupo pale pale tu.
 
Ndio maana mkuu nikasema mali hutengeneza mali.

Yaaan mfano,.

Baba wa kariakoo akifa atamuachia mtoto, mtoto ataachia mjukuuu...etc.

Baba akifariki ataacha ardhi , vijana wataanza kulima , ng'ombe watauza etc.

Sasa mali na juhudi huzaa MAFANIKIO

ILA SASA KWA WALE WAPAMBANAJI NI KUSUBIRIA SIKU FURSA IKIKUKUTA UPO NA UTAYARI (JUHUDI NA DISCIPLINE, CONNECTION)
 
Sasa hauoni huko unakoita kusubiri fursa ikukute ndio bahati? maana wenye kusubiri fursa ni wengi.
 
Wewe point yako ni ipi mkuu hasww.

Kwamba kuna namna miujiza ndio inaleta mali au?
 
Point yangu ni kwamba katika haya masuala watu wana mitazamo tofauti kutokana na experience zao na uelewa wao, wote wanaweza kuwa sahihi kwenye kile wanachosimamia au vile wanavyoamini ila shida ni pale tunapotaka mfano mimi mtazamo wangu kuwa ndio sahihi na kuona wengine wenye mitazamo na imani tofauti nami kuwa wanajidanganya hawako sahihi.

Kwahiyo sisemi kwamba kwenye mafanikio basi bahati au ndumba lazima ihusike tu lakini pia sipingi kuhusika kwa hivyo vitu kwenye baadhi ya mafanikio ya watu.
 
Back
Top Bottom