magaidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mshale21

    Mtanzania mbaroni kwa tuhuma za ugaidi Mombasa

    Mombasa. Wakati bado kukiwa na taharuki kutokana na tukio la mauaji ya watu watano wakiwemo askari polisi watatu lilitokea jirani na Ubalozi wa Ufaransa jijini Dar es Salaam, nchini Kenya vyombo vya usalama vinamshikilia raia wa Tanzania kwa tuhuma za ugaidi. Mtanzania huyo ambaye mamlaka...
  2. J

    Eneo lile lile: 1998 Magaidi walilipua ubalozi wa Marekani wananchi wakakimbilia kushuhudia leo kaibuka Hamza watu wamekimbia!

    Haya ni maendeleo makubwa kwa wananchi kuanza kuelewa maana ya hatari na kuikimbia badala ya kuikimbilia. Mwaka 1998 ulipolipuliwa ubalozi wa Marekani eneo hilo hilo alilokuwa anatamba Hamza jana wananchi kutoka maeneo ya jirani walikuwa wanakimbilia eneo la tukio kadri milipuko ilipoongezeka...
  3. Ngongo

    Gaidi katika ubora wake

  4. B

    Tukio la msomali linatupa picha gani juu ya ugaidi..

    Mmm...ili tukio la msomali kupiga watu risasi hivyo lina maswali mengi...na ni kwanini mbele ya ubalozi wa ufaransa...na ubora wake wakutumia bunduki...unaleta maswali mengi. Kama ni issue za ugaidi basi kuna somo la kujifunza ...kubwa...kumtambua fake gaidi na original gaidi.
  5. BAK

    Eti Mbowe alitoa laki 6 kufadhili ugaidi. Seriously?

    Kabla ya Mbowe kusomewa mashtaka, watu waliipa Jamhuri "benefit of doubt" kwamba huenda ina ushahidi wa maana. Watu wakahisi labda Mbowe ana uhusiano na makundi ya kigaidi kama Al Shabab, Al Queda, Boko Haram etc na pengine anapeleka vijana huko kwa ajili ya mafunzo. Hayo ndio yalikua matarajio...
  6. C

    Je, ni kweli kwamba nchi za Magharibi zinatengeneza makundi ya kigaidi kwa makusudi?

    Mara nyingi ninapofuatilia mijadala inayohusu ugaidi, kuna kambi mbalimbali za mawazo. Wengine wanasema ( mfano"Mashehe wa Uamsho" au "Watuhumiwa halisi wa ugaidi Tanzania")"Hakuna ugaidi, ni propaganda za nchi za Magharibi tu", . Wakati utetezi huo ukisemwa, tunaona kweli vurugu na mauaji ya...
  7. Jackal

    Saudi Arabia Yawatia Ndani Magaidi 69 Wa Hamas Nchini humo

    The men were arrested three years ago and accused of affiliation with a terrorist organization and raising funds on its behalf. Hamas has expressed “shock” at the ruling issued by a Saudi court against a large number of Palestinians and Jordanians residing in the Kingdom. According to Hamas...
  8. chiembe

    Kiusalama kesi ya Mbowe iendeshwe kwa njia ya mtandao akiwa gerezani ili kuepusha mkusanyiko

    Teknolojia iko mbele sana na tunaipongeza mahakama kwa kuendesha kesi kimtandao. Kwa kuwa ugaidi ni jambo zito sana linalohatarisha usalama wa nchi, na hatuna uhakika kama magaidi wote wamekamatwa, ni vyema kesi ya mtuhumiwa wa ugaidi, Mbowe iendeshwe kwa njia ya mtandao akiwa gerezani. Naona...
  9. Kamanda Asiyechoka

    CCM imekuwa ikiliea wanasiasa magaidi! Hii ni aibu

    Kwa muda mrefu chama chetu kimekuwa na ukaribu na Ccm. Hata shughuli za kitaifa kama sherehe za uhuru na masuala mengi viongozi wetu wamekuwa wakialikwa. Leo hii nimeshangaa kusikia kiongozi wa chama chetu ni gaidi na anafadhili ugaidi. My take; Ccm nao walaumiwe kwa kukumbatia magaidi kwa...
  10. Behaviourist

    Picha ya siku: Mbowe kama gaidi

    Hawa maigaidi wengine wameishia kumshangaa
  11. Erythrocyte

    Baadhi ya WanaCHADEMA waanza kuachiwa, yumo Pambalu wa BAVICHA

    Magaidi waliobainishwa na Jeshi imara la Polisi Tanzania wameachiwa leo akiwemo Mwenyekiti wa Bavicha Pambalu, hii ni hatua mpya ambayo haikutarajiwa na wengi. Bado tunaendelea kutafakari, bali inafurahisha sana ikiwa kama Magaidi wanaachiwa bila kufikishwa Mahakamani kujibu mashitaka ya ugaidi...
  12. K

    Nchi yenye wanasiasa Magaidi si sehemu salama kwa uwekezaji

    Nchi nyingi zenye viashiria vya Ugaidi zimekuwa zikiyumba kiuchumi. Lakini pia raia wake upata shida Sana wawapo nje ya mataia yao kwa usumbufu wa upekuzi na ufauatilia unaomiza. Kutangaza nchi kwamba ina viongozi Magaidi Ni kosa kubwa kiuchumi na kisiasa pia. Kwa Mataifa ambayo yanaelewa...
  13. Mohamed Said

    Kisa cha ''magaidi'' wawili: Sheikh Ramadhani Rajab Chambuso na Sheikh Ahmada Kidege

    KISA CHA ''MAGAIDI'' WAWILI: SHEIKH RAMADHANI RAJAB CHAMBUSO NA SHEIKH AHMADA KIDEGE ''Akauliza muulizaji katika kuwahoji kwa shutuma za ugaidi ni nani anawalipa kwa kazi hiyo ya kusomesha Qur'an. Jibu likatoka kuwa hakuna anaewalipa ila wanaifanya kazi hiyo ili Allah awaridhie na kesho kiama...
  14. Sam Gidori

    Burkina Faso: Magaidi wenye silaha waua watu 138

    Wapiganaji wenye silaha wanaodhaniwa kuwa wa Jihadi wamewaua takriban watu 138 kaskazini mwa Burkina Faso, katika shambulio linalotajwa kuwa baya zaidi kushuhudiwa tangu mwaka 2015. Rais wa taifa hilo, Roch Marc Christian Kabore amelaani shambulio hilo akiliita la kishenzi na lililofanywa kwa...
Back
Top Bottom