magaidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Magaidi wenye mlengo wa dini (Boko haram) waua wavuvi Chad

    Hawa watu na dini yao sijawahi kuwaelewa, wanaua maskini waafrika wenzao..... No fewer than 29 fishermen have lost their lives to suspected Boko Haram terrorists while fishing in the Lake Chad region in Borno State. The incident reportedly happened at Mukdolo village located in Gamboru-Ngala...
  2. "Islamic State," have killed at least 36 people in an overnight attack in eastern Congo

    Suspected Allied Democratic Forces militants, an insurgent group with ties to the "Islamic State," have killed at least 36 people in an overnight attack in eastern Congo. Rebels killed at least 36 people in an overnight attack on a village in eastern Democratic Republic of Congo, officials said...
  3. Aibu nyingine - Urusi inapata msaada kutoka kwa wakimbizi wa Palestina na magaidi wa Hezbollah

    Supapawa anapata tabu sana, mpaka amefuata msaada kwa wakimbizi na magaidi wa kidini...... Most Palestinians sent to the front lines in Ukraine are from Ein Al-Khalwa, the biggest camp for Palestinian refugees in Lebanon Russian organizations reportedly offered $350 to convince Palestinian...
  4. Mfadhili mkubwa wa Hezbollah akamatwa

    Mohammad Ibrahim Bazzi ambaye amekua akifadhili magaidi ya Hezbollah, amekamatwa pamoja na utajiri wake wote.. ======== ALebanese and Belgian citizen considered a key financier of Hezbollah has been arrested in Bucharest, Romania's capital, U.S. federal authorities said. Mohammad Ibrahim...
  5. Al Shabaab wapigwa mabomu wakati yanajiandaa kwenda kulipukia watu

    Wananchi wema walitonya uongozi kuhusu magaidi wa Al Shabaab yaliyokua yanajiandaa kwenda kulipukia watu, ghafla yakashushiwa mabomu na kuwahishwa mbele za haki. ===================== A suspected US airstrike destroyed a would-be suicide car bomb in central Somalia on Friday, an official said...
  6. Makomando wa Marekani waingia Somalia na kumuua mkuu wa magaidi wa IS

    Mkuu wa magaidi ya Islamic state aliyekua amejificha kwenye pango Somalia, ameuawa na makomando wa Marekani, pia washirika wake kumi wamewahishwa huko peponi. Poleni wenzetu humu JF ambao hutetea hawa magaidi kisa dini. ======= US forces have killed an Islamic State leader, Bilal al-Sudani...
  7. DR-Congo: Mkenya akamatwa kwa kuhusika na Bomu lililoua watu 10 Kanisani

    Mamlaka zimetangaza kumshikilia mwanachama wa kundi la Kigaidi la Allied Democratic Forces #ADF kwa madai ya kupanga shambulizi la Bomu huko Kivu Kaskazini. Kitengo cha Polisi cha Kupambana na Ugaidi Nchini #Kenya (ATPU) leo Januari 16, 2023 kimemtambua raia huyo kuwa ni Abdirizak Muktar Garad...
  8. Magaidi wamtia kiberiti kasisi wa kanisa la katoliki kule Nigeria

    Magaidi kwenye jimbo la Niger (ambalo asilimia 98% ni waumini wa dini isiyopenda kutajwa humu), wamemchomea ndani kasisi wa katoliki huku kasisi mwingine akapigwa risasi alipojaribu kutoroka....Mungu ailaze roho yake pema peponi... ===================== Until his death, Achi was attached to St...
  9. Magaidi wenye itikadi za kidini walipua mabomu na kuua nane Somalia

    Magaidi wa alshabaab ambao hufanya maukatili kwa imani za kidini walipua mabomu na kuua nane..... Police said today that eight people were killed in a roadside bombing claimed by al-Shabaab in central Somalia where a major offensive is underway to retake territory from the jihadists. The...
  10. I

    Magaidi wa ISIL wazidi kutesa watu katika eneo la Sahel

    Wafuasi wa ISIL wapata mafanikio katika Sahel huku mauaji yakiongezeka. Idadi ya raia waliouawa katika eneo la kati la Sahel katika mashambulizi yanayohusishwa na makundi ya waasi imeongezeka karibu mara mbili tangu mwaka 2020. Muungano wa NGOs za Afrika Magharibi ulisema katika ripoti...
  11. Magaidi wa kidini wakataza wanawake wasitibiwe na wanaume, ila pia wanawake wasielimishwe kuwa madaktari

    Mkihabarishwa kuhusu huu uzombi mnang'aka udini, yaani Taliban wametoa katazo kwa wanawake wasitibiwe na wanaume, hapo hapo wamezuia wanawake wasipate elimu, sasa unashindwa kuelewa nani atatibu hao wanawake maana hakutakua na madaktari wa kike. Yaani imani za kidini zinafanya mwanamke anaonwa...
  12. Magaidi wenye milengo ya kidini, yaani Taliban na IS wauana

    Afghanistan's ruling Taliban killed eight Islamic State militants and arrested nine others in a series of raids targeting key figures in a spate of attacks in Kabul, a senior Taliban government spokesman said Thursday. The Islamic State group claimed responsibility for a deadly bombing near a...
  13. Al Shabaab walipua mabomu Somalia na kuua 19 na kujeruhi 52

    Al Shabaab wamelipua mabomu Somalia hakukaliki. Nineteen people have been killed in twin car bombings in central Somalia claimed by Al-Shabaab, a local militia commander in the Hiran region said. Two cars packed with explosives were simultaneously detonated in Mahas, a town in Hiran where a...
  14. Al Shabaab wauana wenyewe ndani kwa ndani kule Somalia

    Al Shabaab) waanza kupigana wao kwa wao hii ni baada ya tofauti kuibuka kati yao, kuna baadhi ambao walitaka kujisalimisha kwa serikali, ila wengine wakagoma na kuapa kuendelea kumpigania "mungu" wao. The Federal government of Somalia has issued a statement announcing fresh fighting in the...
  15. Magaidi 33 wa kidini wauawa Pakistan

    Magaidi 33 wa kiislamu ambao humpigania "mungu" wa waislamu wameuawa. Pakistani security forces have retaken a police station that was captured, killing all 33 hostage-takers, the defence minister has said. Islamist militants from the Pakistani Taliban seized the centre in the remote...
  16. Magaidi wateka kituo cha kupambana na magaidi Pakistan

    Jamaa huwa wana mzuka sana, Wanateka taifa lenye zana za kinyuklia, ndio maana inapaswa Iran izuiwe kabisa kumiliki hayo madude, maana mataifa yanayoendeshwa kwa mizuka ya kidini ni hatari sana. DERA ISMAIL KHAN, Pakistan (Reuters) - Islamist militants seized a counter-terrorism centre in the...
  17. Iran yaishiwa, yasitisha kufadhili magaidi wa kiislamu

    Hali imekua tete kwa makundi ya kigaidi ya waislamu, Iran iliyokua ikiwafadhili imeishia na haitumi hela tena.... Na maandamano Iran bado yako pale pale ili kupinga dhuluma zinazofanywa na mapolisi ya kidini. Iran has stopped channeling funds to a number of Palestinian factions, the Palestinian...
  18. J

    Rwanda yapeleka Wanajeshi zaidi Msumbiji kuwakabili magaidi

    Chadema ni chama cha wastani barani Africa lakini kwa wiki mbili Tatu kimekuwa gumzo huko Marekani na Ulaya Lakini kilichonishangaza ni namna Nchi kubwa ya Msumbiji inavyoitegemea nchi ndogo ya Rwanda kiulinzi Baada ya magaidi kuuwa askari kadhaa wa Msumbiji mh Kagame ametuma Wanajeshi zaidi...
  19. KWELI Msumbiji: Magaidi wamevamia Msafara wa Wanajeshi wa Tanzania na Lesotho

    Zipo taarifa zinadai kuwa Jeshi la Tanzania katika wilaya ya Nangade, Cabo Delgado waliingia kwenye mtego wa Magaidi katika kijiji cha Vondanhar, eneo la Palma. Aidha inadaiwa Jeshi la Tanzania lilikuwa likisafiri kwa magari ya kivita sambamba na jeshi la Msumbiji. Magari matatu ya jeshi la...
  20. Msumbiji: Inasemekana Magaidi wamevamia Msafara wa Wanajeshi wa Tanzania na Lesotho

    Haya ni magari ya jwtz yakiwa chini ya himaya ya magaidi. Tunawaombea sana wapiganaji wetu muwe salama, badobTaifa tunawategemea. --- Ili kujua ukweli na kina cha habari hii tembelea Jukwaa la Jamii Check - KWELI - Msumbiji: Inasemekana Magaidi wamevamia Msafara wa Wanajeshi wa Tanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…