Magari takribani 12 mpaka 14 aina ya Land Cruiser yakiea na shehena ya askari nimepishana nayo hapa kibaha yakielekea Dar.
Jumatatu kutachangamka sana huko Mjini, mliopo Mbezi mnaweza mkosogea karibu na barabara mjionee🤣
Nimekuwa nikikutana na Magari ya Jeshi la Polisi yakiwa katika hali ya ubovu kiasi kwamba naamini yakikaguliwa taarifa itasomeka kwamba hayafai Kwa matumizi ya Binadamu!
Juzi juzi hapa nimeshuhudia tyre inachomoka wakiwa kwenye mwendo na kuwasababishia Ajali sijui kama walipona wale watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.