magari ya polisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Mashahidi walikiri kupewa simu maalum kurekodi picha za maiti, na kupiga picha na magari ya polisi

    Vilevile mashahidi walioshiriki kufanya ghasia waliokuja mbele ya tume na kukiri kuwa baadhi yao walipewa simu maalum za mkononi na kupewa kazi ya kupiga picha na video za matukio. kama vile majeruhi na vifo au kupiga picha jirani na magari ya jeshi la ulinzi sambamba na picha za maeneo...
  2. Q

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Trump yupo sahihi, Maduro alituma magari ya polisi kuwakanyaga waandamanaji waliomkosoa

    Binafsi naungana na Trump kuwaonya viongozi wote katiri, wenye kiburi na wasioheshimu haki za wananchi wao. Mwaka 2019, wananchi wa Venezuela waliandamana kupinga matumizi mabaya ya mali za umma, utekaji, kupotea kwa wakosoaji, ukosefu wa ajira na utawala wa sheria, Maduro aliwajibu...
  3. kimsboy

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Magari ya Polisi na helkopta yakizingira chuo kikuu cha Dodoma UDOM

    Magari ya polisi yakiwa mengi na maafisa wa polisi wakiwa na silaha za moto na helkopter wamekizingira chuo cha UDOM usiku huu Haya yanajiri huku chuoni hapo kukiwa na vuguvugu la Maandamano ya Gen-Z yaliyopangwa kuelekea Ikulu ya Chamwino na maeneo ya Bunge Usiku huu mambo si shwari chuo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Waandamaji fungeni barabara ili magari ya Polisi yasipite. Itapunguza mashambulizi

    Waandamaji ni lazima kufunga barabara magari ya polisi yasipite waje kwa miguu hii itasaidia kupunguza vifo maana asilimia kubwa wanaofyatua risasi ni wale wanaoshambulia kutumia magari Barabara zifungwe hakuna kuruhusu gari kupita ili kufanikisha maandamano ambayo hayatatoa uhai zaidi wa watu...
  5. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Haya magari ya polisi yamesambazwa kila kona! Kwani huu ni uchaguzi au ni vita?

    Yani huku mitaani magari ya kama ya kivita yamesambazwa kila sehemu, hii yote ni kuelekea kesho. Sasa kama ni uchaguzi ndio mfanye haya yote au uchaguzi wa mwaka huu umegeuka kuwa vita? Embu punguzeni hizi purukushani mtawafanya hata wenye nia ya kwenda kupiga kura wabaki manyumbani kwao kwa...
  6. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania GE2025 Magari ya Polisi ni show off ya Kipuuzi, Hata watoto wadogo hawatishiki na magari Manne Manne Kila Mkoa !!Tujitokeze kwenye Maandamano Okt 29

    Kwamba Jeshi la Polisi, linagawa Magari Kila Mkoa Hayazidi kumi, alafu Et wanayapa Promooo kwelikweli wakiamini wanawatisha Wananchi wasiandamane Oktoba 29 !!.
  7. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ulega: Hata mkiyaona magari ya polisi yanapita msiogope, tokeni mkapige kura

    Mgombea ubunge wa Mkuranga kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Abdallah Ulega "Serikali imejipanga vizuri kuhakikisha kwamba watu watakwenda watapiga kura kwa salama na amani, ukishamaliza kupiga kura yako rejea nyumbani subiri mambo mengine. Hata mkiyaona magari ya polisi yanapita...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kamanda Muliro: Watatu wakamatwa kwa kuharibu Mabasi ya Mwendokasi, wengine wasakwa katika fujo Magomeni

    Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam Muliro Jumanne, amesema mbali na Mabasi ya Mwendokasi na Vituo vinne vya Mabasi hayo kupigwa mawe usiku wa jana, baadhi ya Wananchi hao walifanya fujo katika Vituo viwili vya Polisi ambavyo ni Kituo cha Polisi Magomeni Usalama na Kituo cha Polisi...
  9. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Haya magari mapya ya Polisi yaliyonunuliwa na Serikali ndio homa ya uchaguzi mkuu?

    Nimeona taarifa, IGP Wambura akikagua magari mapya waliyopewa na Serikali. Je ndio homa ya kuelekea uchaguzi mkuu mwaka huu imeanza kupanda? Nakumbuka Kikwete aliwahi kununua magari 700 wakati wa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2015.
  10. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Picha hizi za magari ya polisi yana rangi ya kijani

  11. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 RPC Simiyu tueleze je, PGO inaruhusu Magari ya Polisi kushiriki kusaidia shughuli za chama cha siasa?

    AIBU YA CCM SIMIYU LEO TAR 22.0 JESHI LA POLICE LA SHIRIKI KUSOMBA WAJUMBE WA CCM KWENDA KWENYE MKUTANO WA MAKALA BARIADI.!!!* Na Mzee madiba Simiyu -bariadi. Leo tar 22.03.2025 mkoani Simiyu Kuna kitu walichokiita sherehe za miaka minne ya Samia. Hii ni issue iliyoandaliwa na Mkuu wa mkoa...
  12. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Nimepishana na msafara mkubwa wa magari ya polisi hapa Kibaha, uelekeo wao ni Dar Es Salaam

    Magari takribani 12 mpaka 14 aina ya Land Cruiser yakiea na shehena ya askari nimepishana nayo hapa kibaha yakielekea Dar. Jumatatu kutachangamka sana huko Mjini, mliopo Mbezi mnaweza mkosogea karibu na barabara mjionee🤣
  13. K

    JamiiForums Tanzania Hivi magari ya Polisi yanakaguliwa?

    Nimekuwa nikikutana na Magari ya Jeshi la Polisi yakiwa katika hali ya ubovu kiasi kwamba naamini yakikaguliwa taarifa itasomeka kwamba hayafai Kwa matumizi ya Binadamu! Juzi juzi hapa nimeshuhudia tyre inachomoka wakiwa kwenye mwendo na kuwasababishia Ajali sijui kama walipona wale watu...
Back
Top Bottom