VIDEO: Trump yupo sahihi, Maduro alituma magari ya polisi kuwakanyaga waandamanaji waliomkosoa

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
Binafsi naungana na Trump kuwaonya viongozi wote katiri, wenye kiburi na wasioheshimu haki za wananchi wao.

Mwaka 2019, wananchi wa Venezuela waliandamana kupinga matumizi mabaya ya mali za umma, utekaji, kupotea kwa wakosoaji, ukosefu wa ajira na utawala wa sheria, Maduro aliwajibu waandamanaji kwa kuwapiga risasi huku akiruhusu magari ya polisi kuwakanyaga waandamanaji kwa makusudi na kuwaua.

Binafsi naungana na Trump kuwaonya viongozi wote wasioheshimu haki za wananchi wao.

Mwaka 2019, wananchi wa Venezuela waliandamana kupinga matumizi mabaya ya mali za umma, utekwaji na upoteaji wa wakosoaji wa Maduro, Vijana kutaka ajira na utawala wa sheria, Maduro aliwajibu waandamanji kwa kuwapiga risasi huku magari ya polisi yakiwakanyaga waandamanaji kwa makusudi na kuwaua.

View attachment 3525047
Kama hapa sawa na amri ya shoot to kill ...yote ni kiua kwa makusudi ili kumaintain power.
Asante Trump

Najaribu kutafuta picha za shoot to kill niziweke side by side na hii ya magari ya maduro
 
Kuna viongozi wakiwa madarakani wanajiona ni miungu watu,na kusahau kabisa kwamba kila kitu kina mwisho wake duniani

Sasa mwisho wa Maduro umeisha kwa aibu kubwa sana
 
Usidharau ukubwa wa kuondolewa kwa Maduro. Hili halikuwa tukio la kikanda - lilikuwa shambulio la kimataifa katika mzozo unaoendelea kati ya ulimwengu huru na Iran, China, na Urusi, pamoja na washirika wao.

Operesheni hii ya saa mbili ilikuwa ya miaka mingi kwa sababu matokeo yake ni ya kimataifa.

Iran na Hezbollah. Qatar na Hamas. Urusi na China. Zote zimepata pigo kubwa la kimkakati.

Ndiyo maana hasira, wivu, na kiu ya kulipiza kisasi sasa vinaongezeka katika mhimili huo.

Tumeingia rasmi katika kipindi kifupi cha amani kabla ya Vita Vijavyo.
 
Binafsi naungana na Trump kuwaonya viongozi wote wasioheshimu haki za wananchi wao.

Mwaka 2019, wananchi wa Venezuela waliandamana kupinga matumizi mabaya ya mali za umma, utekwaji na upoteaji wa wakosoaji, vijana kutaka ajira na utawala wa sheria, Maduro aliwajibu waandamanji kwa kuwapiga risasi huku magari ya polisi yakiwakanyaga waandamanaji kwa makusudi na kuwaua.

View attachment 3525047
Ndani ya miaka 5 ijayo udicteta utafutika duniani kote

Nawaambia vijana wa Sasa duniani kote sio wa Karne ya 19
 
Usidharau ukubwa wa kuondolewa kwa Maduro. Hili halikuwa tukio la kikanda - lilikuwa shambulio la kimataifa katika mzozo unaoendelea kati ya ulimwengu huru na Iran, China, na Urusi, pamoja na washirika wao.

Operesheni hii ya saa mbili ilikuwa ya miaka mingi kwa sababu matokeo yake ni ya kimataifa.

Iran na Hezbollah. Qatar na Hamas. Urusi na China. Zote zimepata pigo kubwa la kimkakati.

Ndiyo maana hasira, wivu, na kiu ya kulipiza kisasi sasa vinaongezeka katika mhimili huo.

Tumeingia rasmi katika kipindi kifupi cha amani kabla ya Vita Vijavyo.

Usidharau ukubwa wa kuondolewa kwa Maduro. Hili halikuwa tukio la kikanda - lilikuwa shambulio la kimataifa katika mzozo unaoendelea kati ya ulimwengu huru na Iran, China, na Urusi, pamoja na washirika wao.

Operesheni hii ya saa mbili ilikuwa ya miaka mingi kwa sababu matokeo yake ni ya kimataifa.

Iran na Hezbollah. Qatar na Hamas. Urusi na China. Zote zimepata pigo kubwa la kimkakati.

Ndiyo maana hasira, wivu, na kiu ya kulipiza kisasi sasa vinaongezeka katika mhimili huo.

Tumeingia rasmi katika kipindi kifupi cha amani kabla ya Vita Vijavyo.
Acha ushabiki wa kijinga hivyo vinchi vyote ulivyo vitaja bado vitoto kijeshi kwa marekani hata ukiunganisha budget zao wooote bado hawafiki hata nusu ya budget ya kijeshi ya marekani, marekani kawekeza sana kwenye ulinzi na usalama wake na usalama wa wengine
 
Kama hapa sawa na amri ya shoot to kill ...yote ni kiua kwa makusudi ili kumaintain power.
Asante Trump

Najaribu kutafuta picha za shoot to kill niziweke side by side na hii ya magari ya maduro
Hii picha imekuwa kama symbol ya MO29.

G9UL2yeXkAEPWCo.jpg
 
Acha ushabiki wa kijinga hivyo vinchi vyote ulivyo vitaja bado vitoto kijeshi kwa marekani hata ukiunganisha budget zao wooote bado hawafiki hata nusu ya budget ya kijeshi ya marekani, marekani kawekeza sana kwenye ulinzi na usalama wake na usalama wa wengine
Ulisoma nilichoweka ukaelewa? Au umeandika ukiwa usingizini?
 
Binafsi naungana na Trump kuwaonya viongozi wote katiri, wenye kiburi na wasioheshimu haki za wananchi wao.

Mwaka 2019, wananchi wa Venezuela waliandamana kupinga matumizi mabaya ya mali za umma, utekaji, kupotea kwa wakosoaji, ukosefu wa ajira na utawala wa sheria, Maduro aliwajibu waandamanaji kwa kuwapiga risasi huku akiruhusu magari ya polisi kuwakanyaga waandamanaji kwa makusudi na kuwaua.

View attachment 3525047
CCM imefanya zaidi ya hayo
 
Back
Top Bottom