Haya magari mapya ya Polisi yaliyonunuliwa na Serikali ndio homa ya uchaguzi mkuu?

Mwanadiplomasia Mahiri

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2019
Posts
685
Reaction score
2,355
Nimeona taarifa, IGP Wambura akikagua magari mapya waliyopewa na Serikali.

Je ndio homa ya kuelekea uchaguzi mkuu mwaka huu imeanza kupanda?

Nakumbuka Kikwete aliwahi kununua magari 700 wakati wa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2015.
IMG_6544.jpeg
IMG_6545.jpeg
IMG_6543.jpeg
 
Kwani kuna uchaguzi mkuu mwaka huu? Sasa kama rais na makamu wake tayari wanajulikana na hakuna wa kuwashinda, kuna haja ya kufanya uchaguzi au ni kukamilisha ratiba ya mambo ya nchi kwa mwaka huu? Sasa huu si utakuwa ni uzuzu kwenda kupiga kura wakati mshindi anajulikana ni nani! Wabunge wenyewe wapo ambao ushindi ni mkubwa hakuna haja ya kupoteza muda kupanga foleni ya kupiga kura
 
Kuna zile nyeusi, aisee kali knoma, next time sitokuja keyboard fighter ili niende kwenye maandamano wanidake nipande humo 🔥
 
Nimeona taarifa, IGP Wambura akikagua magari mapya waliyopewa na Serikali.

Je ndio homa ya kuelekea uchaguzi mkuu mwaka huu imeanza kupanda?

Nakumbuka Kikwete aliwahi kununua magari 700 wakati wa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2015.
View attachment 3318942View attachment 3318944View attachment 3318945
Chadema bhana, shughuli zipo na zinaendelea tu kama kawaida.....hiyo kukutana na ratiba zingine ni coincidence tu. Mmevurugwa mpaka mnawaza uchaguzi tu muda wote. Halafu, si mmesema uchaguzi hakuna Sasa polisi wanunue magari kwa ajili ya uchaguzi ya nini' wakati nyie wajuzi na watemi mmeshasema hautokuwepo.
 
Nawashangaa hata mimi
 
Nimeona taarifa, IGP Wambura akikagua magari mapya waliyopewa na Serikali.

Je ndio homa ya kuelekea uchaguzi mkuu mwaka huu imeanza kupanda?

Nakumbuka Kikwete aliwahi kununua magari 700 wakati wa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2015.
View attachment 3318942View attachment 3318944View attachment 3318945
Hutaki geshi ra porisi kuwa vitendea kazi vyenye ufanisi na kufika eneo husika ra tukio kwa haraka...mambo ya kawaida hayo ni bongo tu kwenye upuuzi wa kuhoji maswara yasio na tija kwani ni mara ya kwanza porisi kuwa na magari mapya...
 
1746204054746.png

​

Habari iliyowika mjini na mitandaoni ni 'upendo na wema; wa rais Mheshimiwa Daktari Profesa Samia Suluhu Hassan kulikumbuka jeshi la polisi. Mabilioni ya shilingi yameunguzwa kununua zana mpya kwa ajili ya jeshi la polisi hasa wakati huu linapoelekea kuwa na operesheni maalum kuelekea na wakati wa uchaguzi. Pamoja na 'upendo na wema' huu, wapo wanaojiuliza kama magari ya polisi ni muhimu kuliko ya wagonjwa, kumalizia vyumba vya madarasa, kuboreshe miundo mbinu chakavu na mengine mengi. Pia, wapo wanaohoji si ulazima tu wa zana hizi bali maana yake hasa wakati wa kuelekea kwenye uchaguzi. Je polisi wanahitaji magari kwanza au hata nyumba za maana za kuishi wao na familia zao. Kwa habari zaidi TAFADHALI BONYEZA HAPA.​

1746204084400.png
 
View attachment 3322902​

View attachment 3322903
Ameshakuwa professor tena!?

Hahaha!
 
Back
Top Bottom