kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 11,190
- 24,620
Magari ya polisi yakiwa mengi na maafisa wa polisi wakiwa na silaha za moto na helkopter wamekizingira chuo cha UDOM usiku huu
Haya yanajiri huku chuoni hapo kukiwa na vuguvugu la Maandamano ya Gen-Z yaliyopangwa kuelekea Ikulu ya Chamwino na maeneo ya Bunge
Usiku huu mambo si shwari chuo kikuu cha Dodoma, magari ya polisi yakiwa na askari wenye silaha pamoja na helikopta za kijeshi zimekizingira chuo hicho hali iliyosababisha taharuki kwa wanafunzi.