PostGE2025 Magari ya Polisi na helkopta yakizingira chuo kikuu cha Dodoma UDOM

PostGE2025 Magari ya Polisi na helkopta yakizingira chuo kikuu cha Dodoma UDOM

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hii ngoma bado mbichi, wamedhibiti sana leo ila wanajua kuwa itakuja kupigwa ya kushtukiza, wamewadhubiti madogo Gen Z wakashindwa hata namna ya kukutana watashangazwa uhuru wa movements utakaporejea. Tanganyika haiwezi kuwa koloni la kudumu la Zanzibar.
Definitely,hii ngoma bado mbichi kabisa , wao na Mama yao tunao hawa
 
Kwahiyo wakaona wakiwachapa bunduki hapohapo itakuwa mbaya, wakaona wawafate na mandege wakawafyekee sudan wasingizie ni raia wa nchi hiyo na Al shabab ndo wamewafyeka!
 
Hauwezi ita vijana wetu mbwa koko, bali anaye jificha kusikojulikana ndo mbwa koko. Pia mbwa koko ni mchoyo hatari na yuko tayari kuua mbwa yeyote hili aishi. Pia mbwa koko ni yule ambaye aishi kundi moja na wengine na hatakiwi kabisa na wengine. Ndo tabia za mbwa koko.
Umemjibu vyema sana!
 
Magari ya polisi yakiwa mengi na maafisa wa polisi wakiwa na silaha za moto na helkopter wamekizingira chuo cha UDOM usiku huu

Haya yanajiri huku chuoni hapo kukiwa na vuguvugu la Maandamano ya Gen-Z yaliyopangwa kuelekea Ikulu ya Chamwino na maeneo ya Bunge
Kwani vijana wakiachwa wakaandamana kuna shida gani?

Ifike wakati askari wakatae kupelekeshwa na wahuni
 
Back
Top Bottom