PostGE2025 Magari ya Polisi na helkopta yakizingira chuo kikuu cha Dodoma UDOM

PostGE2025 Magari ya Polisi na helkopta yakizingira chuo kikuu cha Dodoma UDOM

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kmmkmke, kama itathibitika kuwa hawa wangese wa udom (ambao wengi wao ni njaa tupu) Wana huu upumbavu wa kimange basi mama Samia awafutilie mbali mikopo yao wangese hao na watoke kwenye majengo yetu.......mamamamamae zao!
 
Ithibitishwe kwamba nn?
 
Magari ya polisi yakiwa mengi na maafisa wa polisi wakiwa na silaha za moto na helkopter wamekizingira chuo cha UDOM usiku huu

Haya yanajiri huku chuoni hapo kukiwa na vuguvugu la Maandamano ya Gen-Z yaliyopangwa kuelekea Ikulu ya Chamwino na maeneo ya Bunge

Usiku huu mambo si shwari chuo kikuu cha Dodoma, magari ya polisi yakiwa na askari wenye silaha pamoja na helikopta za kijeshi zimekizingira chuo hicho hali iliyosababisha taharuki kwa wanafunzi. #wananchiforum #forthepeople #tothepeople #bythepeople #d9View attachment 3513693
Hii ngoma bado mbichi, wamedhibiti sana leo ila wanajua kuwa itakuja kupigwa ya kushtukiza, wamewadhubiti madogo Gen Z wakashindwa hata namna ya kukutana watashangazwa uhuru wa movements utakaporejea. Tanganyika haiwezi kuwa koloni la kudumu la Zanzibar.
 
Kmmkmke, kama itathibitika kuwa hawa wangese wa udom (ambao wengi wao ni njaa tupu) Wana huu upumbavu wa kimange basi mama Samia awafutilie mbali mikopo yao wangese hao na watoke kwenye majengo yetu.......mamamamamae zao!
Majengo yako? ona hii nayo.
 
Back
Top Bottom