Ushauri: Waandamaji fungeni barabara ili magari ya Polisi yasipite. Itapunguza mashambulizi

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251
Waandamaji ni lazima kufunga barabara magari ya polisi yasipite waje kwa miguu hii itasaidia kupunguza vifo maana asilimia kubwa wanaofyatua risasi ni wale wanaoshambulia kutumia magari

Barabara zifungwe hakuna kuruhusu gari kupita ili kufanikisha maandamano ambayo hayatatoa uhai zaidi wa watu, wanaokuwa kwa miguu ni rahisi kiwakimbia kuliko wa magari

Aidha, leo target iwe maeneo muhimu kama Ikulu, Vyombo vya habari hasa TBC, jengo la Tume ya uchaguzi, mahakama na bunge

Pia watu wanaoweza kutoa msaada wa maji na chakula kama mikate kwa waandamanaji wafanye hivyo.

Kwa walio karibu na hospital zinazohudumia majeruhi wa maandamano fikeni haraka kutoa damu damu itakuwa inahitajika kuokoa maisha yao

Hakuna kurudi nyuma mpaka ushindi upatikane.

Umoja wetu, Nguvu yetu, Ushindi wetu #Mo29
 
Sana inabidi tuweke target maeneo muhimu tukiwa na mabango, maana hii energy isipotee bure.........together tutashinda hii vita
 
Back
Top Bottom