Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Vilevile mashahidi walioshiriki kufanya ghasia waliokuja mbele ya tume na kukiri kuwa baadhi yao walipewa simu maalum za mkononi na kupewa kazi ya kupiga picha na video za matukio.
kama vile majeruhi na vifo au kupiga picha jirani na magari ya jeshi la ulinzi sambamba na picha za maeneo mbalimbali ya fanya ghasia waliokuwa wamefanikiwa kufanya uratibu na kisha picha hizo na video zote hizo kurusha moja kwa moja kwenye mitandao ya kijamii ili kuibua hasira za wananchi na kuwahamasisha nao wajitokeze kufanya hasira kwa vile waliaminishwa kwamba jeshi la Tanzania liko upande wao. Jaji Chande