Nimekuwa nikikutana na Magari ya Jeshi la Polisi yakiwa katika hali ya ubovu kiasi kwamba naamini yakikaguliwa taarifa itasomeka kwamba hayafai Kwa matumizi ya Binadamu!
Juzi juzi hapa nimeshuhudia tyre inachomoka wakiwa kwenye mwendo na kuwasababishia Ajali sijui kama walipona wale watu...