KUKAMATWA TENA KWA MASHEIKH 12 BAADA YA KUACHIWA HURU
Machi, 10 2025, Dar es Salaam
Mnamo tarehe 4 Machi 2025, LHRC ilipata taarifa kuwa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imewaachilia huru masheikh 12 waliokuwa wanashikiliwa kwa tuhuma za ugaidi. Masheikh hao waliachiwa huru baada ya Jamhuri...
"Mjadala juu ya urithi wa Baba wa Taifa kwenye katiba na siasa za Afrika Mashariki kwenye chuo kikuu chake cha kwanza.
Wakati UDSM na vyuo vikuu vingine vya Tanzania vimekuwa magereza ambako mijadala ya kisiasa imefungiwa, Makerere, Chuo Kikuu cha , kimenialika kutoa mhadhara wa umma juu ya...
Hellow Tanganyika,
Nchi yetu Ina mfumo wa vyama vingi vya siasa,
Mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi, na ikitokea Watanzania wakaamua kuipa CHADEMA kuongoza Nchi kutokana na udhaifu au kutokubalika Kwa mgombea KITI kikubwa wa chama Cha kijani, je magereza haya yatatosha?
Na ikiwa yatatosha, je...
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI, Dkt. Christina Mnzava, amepongeza Jeshi la Magereza kwa kutumia fedha za mapato ya ndani ya Jeshi hilo katika ujenzi wa Hospitali Kuu ya Jeshi la Magereza Ukonga pamoja na kuboresha utoaji wa huduma za afya katika zahanati za...
Nimewahi simuliwa na mtoto wa mama mdogo aliyewahi kufungwa jela.
Aliniambia yote yanayofanyika kule ufirauni na ubabe na kila kadhia aliyokutana nayo tangu day one hadi anatoka kule.
Huenda unajua kabisa kuna baadhi ya jamaa zetu wako kule wamefungwa isivyo halali either kwa kusingiziwa nk
na...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameapishwa na Kaimu Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Tanzania, Kanda ya Dodoma, Edwin Kakolaki kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Jeshi la Polisi, Magereza, Zimamoto na Uokoaji na Idara ya Uhamiaji, leo tarehe 21 Januari 2025 katika Mahakama Kuu ya...
Nimeshangazwa kuona waandaaji wa pambano hili ambalo linatazamwa Kimataifa na lina Jina la Mkuu wa nchi huku mgeni rasmi akiwa ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa well organized katika kuhakikisha nyimbo za Taifa zinapigwa katika ubora unaostahili badala ya kutumia recorded...
https://youtu.be/yb-hC6suofc?si=kI9uE3IMw8NYkp_c
Huyu wana mchekea wangemchukulia sheria.
Kuwa albino isiwe sababu ya yeye kutukana watu kwa kivuli cha ulemavu yeye sio albino wa kwaza
Pia Soma: Haji Manara ni nani hapa Tanzania hadi kuwadhalilisha Askari Magereza na wafungwa bila kuchukuliwa...
Huyu haji manara mdomo wake ni mchafu anajikuta ana mamlaka ya kumtusi na kumdhalilisha yeyote kama kesi ilikuwa na magereza wafungwa wamefuata nini anasahau naye kesho anaweza kuwa mfungwa.
Na hao kituo cha sheria za haki za binadamu hatusikii wakikemea kitu wafungwa wapo kutumikia makosa yao...
Katika nyakati hizi ambazo ajira ni changamoto . baadhi ya wawekezaji hatupewi nafasi ya kutosha katika kutimiza ndoto zetu za uwekezaji.
Nimetoa pendekezo kuhusu kujenga magereza binafsi pamoja na mortuary binafsi.
Ila naona feedback ni ndogo Sana . Magereza binafsi zingekuepo hizi ndo faida...
Naaaaaam naona kila MTU atafikiwa Tu. Ni suala la Muda Tu. Hapa ni Tanzania Prisons wakiwa wamezuiliwa Iringa kwa kosa la Overspeeding, normal speed ilitakiwa iwe 80km/HR yeye kaendesha kwa 85km/HR. Wakamdaka kuanzia saa tano asubuhi Hadi jioni.
Jamaa wa Prison anapiga mkwara kuwa very soon...
Kwako Mwabukusi, TLS na wadau wote wanaoguswa na ukiukwaji wa haki za binadamu na udhalilishaji wa utu (dignity) wa mwanadamu nchini.
Hali za mahabusu na magereza hapa nchini ni ambazo hazifai kwa binadamu kuwekwa. Ni jambo ambalo kila mtu anajua kwamba mfumo wa mahabusu na magereza zetu ni ule...
Nimepata kukutana na picha inayoonesha kalenda Jeshi la Magereza, kalenda ya mwezi wa Oktoba na kukutana na tarehe 32 Oktoba 2024.
Je, ni kwamba wamekosea au wapo sahihi!?
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amesema Jeshi la Magereza lazima likubaliane na maboresho ya kimfumo, kimuundo na kitaasisi ambayo yatakwenda kuongeza uwezo wa uzalishaji mazao ya kilimo kwa magereza ya uzalishaji mali nchini.
Waziri Masauni ameyasema hayo tarehe 29...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Mkuu wa Jeshi la Magereza.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses M. Kusiluka, Kamishna wa Magereza CP. Jeremiah Yoram Katungu...
Kwa nchi zilizoendelea, mtu kukaa gerezani humaanisha kukosa uhuru tu, lakini mahitaji mengine karibia yote ya muhimu huyapata.
Watanzania waliowahi kufungwa gerezani nchini walishasimulia mikasa na mateso waliyokutana nayo gerezani. Ni hali mbaya sana. Wafungwa hawajaliwi kama ipasavyo...
Kwenu wajuvi wa Sheria!
Kwenye clip hapo chini ni malalamiko ya mtu anayedai kutapeliwa. Tukio lilitokea Arusha. Mlalamikaji aliuziwa shamba la ekari 2 kwa milioni hamsini na nne. Lakini alipotaka kuanza kulitumia shamba lake, alilikuta limeuzwa kwa mtu mwingine.
Mtuhumiwa alifunguliwa kesi...