magereza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    Tume ya Hakijinai kukagua Vituo vya Polisi, Magereza, kuhoji Wafungwa, Wananchi na Askari

    JF SUMMARY Tume ya Kuboresha Taasisi za Hakijinai Nchini itaanza ziara ya siku 12 katika Mikoa 13 kwa kutembelea Magereza Makuu 14 na Makazi ya Askari ili kupata maoni kutoka makundi mbalimbali wakiwamo Wananchi na Askari wa Vyeo vya chini. Mwenyekiti wa Tume, Jaji Mkuu Mstaafu #OthmanChande...
  2. Hemedy Jr Junior

    Haya ndiyo magereza manne ya kifahari zaidi duniani

    LIPO AMBALO WAFUNGWA WANALIPWA Tsh. 18,000 NA LINGINE UKIINGIA UNALIPIA ADA KILA MWISHO WA MWEZI. 1. ARANJUEZ,Gereza hili linapatikana huko Hispania Jijini Madrid. Inaaminika hili ndio Gereza la kifahari na la kitofauti zaidi duniani,kwani wafungwa wa hili gereza huishi maisha kifahari sana...
  3. Teko Modise

    Kwanini Askari Magereza wengi wanaishi maisha magumu?

    Jeshi la Magereza ni kama limesahaulika hivi au ndio mimi sijui? Askari magereza wengi hasa wa vyeo vya chini maisha yao ni duni sana kwanzia kazini mpaka huku uraiani tunapoishi nao. Kwanza wengi wao uniform zao ni zimechakaa na kupauka tofauti sana na majeshi mengine. Pili makazi yao duni...
  4. forever en ever

    Msaada interview kwa Jeshi la magereza tusiokuwa na fani yoyote

    Habari ndugu zangu naomba mnisaidie mwenye uzoefu wa usaili kuhusu Jeshi la magereza kwa sisi Form Four tusiokuwa na fani. Je, usaili wake upoje? Au maswali yanayoulizwa mara kwa mara ni yapi? (Oral & written)
  5. BARD AI

    Rais Samia aridhia eneo la Magereza kumegwa ili wapewe wananchi

    Rais Samia Suluhu Hassan amemaliza mgogoro wa ardhi yenye ukubwa wa ekari 7,495.74 uliodumu kwa zaidi ya miongo mitatu kati ya vijiji vya Kata ya Kingale, Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa na Gereza la King'ang'a. Mgogoro huo umetatuliwa baada ya kiongozi huyo kuagiza eneo lenye ukubwa wa ekari...
  6. comte

    Wahamiaji haramu 3,000 kwenye magereza yetu! Hatuwezi kuwarejesha kwao tukaokoa gharama za kutunza?

  7. Basi Nenda

    Askari Magereza aliyesingiziwa kubaka ameachiwa huru

    Hizi kesi tunazosomaga humu kwamba mtu mzima amebaka mtoto kumbe baadhi huwa ni za mchongo Morogoro. Ofisa magereza katika gereza la Kingolwira mkoani Morogoro, Samwel Stanley, ambaye Agosti 22 mwaka 2022 alihukumiwa kifungo cha maisha jela kwa tuhuma ya kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka nane...
  8. BARD AI

    Tume ya Haki Jinai kuanza kuzichunguza TAKUKURU, DCEA, Polisi, Magereza na Mahakama kesho

    Akizungumza leo Jumanne Januari 31, 2023 Ikulu Chamwino, Dodoma wakati akizindua tume ya kuangalia jinsi ya kuboresha taasisi za haki jinai nchini, Rais Samia ameitaka tume hiyo kuichunguza ofisi hiyo juu ya utendaji kazi na uendeshaji ili kubaini kasoro zilizopo na kutoa mapendekezo...
  9. MAWEED

    Kazi za ovyo kwenye nchi hii

    Assalaam aleykum, Wanajamvi leo acha tuongee ukweli hata kama tutakwazana ila tutajua tu. Kuna kazi ukikubali kufanya au kuajiriwa ni mateso/za hovyo na huwezi kutoboa labda uende kinyume na sheria, hakuna marupurupu, mishahara midogo na mazingira ya kazi yamekaa kimtego mtego sana. 1. ASKARI...
  10. Dr Restart

    Kwa nini Wanajeshi, polisi, magereza na Usalama wa Taifa bado wanamlilia Rais Magufuli?

    Amani iwe nanyi. Mimi ni mmoja wa watumiaji wa mitandao ya kijamii, specifically Whatsapp. Katika matumizi hayo, napitia sana Status za marafiki pamoja na jamaa zangu. Ninao jamaa ambao nawafahamu wanafanya kazi katika idara na majeshi husika. Japo hawapost mara nyingi, ila wanapopost huwa...
  11. Mganguzi

    Walimu watafungwa sana na magereza yatajaa ikiwa Sheria hazitabadilishwa, wanafunzi wa kike ndio wanaowataka Walimu

    Wadau hili suala la walimu kufunguliwa kesi za kuwatia mimba wanafunzi au kuwabaka Mimi napingana nalo hasa baada ya kujionea wanafunzi wakiwa ndio chanzo Cha walimu kuwadinya wanafunzi. Majuzi nilienda kuwachukua wanafunzi Arusha wanaoishi Dar. Wazazi hujikusanya wanachangiana na kukodi Costa...
  12. Bujibuji Simba Nyamaume

    Kwanini Serikali ya CCM haijengi magereza mapya? Je, kiwango cha uhalifu kimepungua au wao ndio wahalifu wenyewe wamehalalisha wizi, na ufisadi?

    Ubadhirifu na wizi, matumizi mabaya ya fedha za umma na rasilimali za taifa kutumiwa kwa maslahi ya watu wachache kumeongezeka sana. Mbaya zaidi Rais amesikika mara kadhaa akisema kwamba upigaji kwenye Halmashauri ni mkubwa sana. Tozo zinapigwa, fedha za miradi zinapigwa, fedha za misaada...
  13. BARD AI

    Magereza yatumike kurekebisha tabia za Wafungwa sio kuadhibu pekee

    Wakuu, salaam, kuna mambo nimewaza hapa kuhusu Idara zetu za Magereza. Binafsi sikutarajia kuona au kusikia Wanaotoka Gerezani wakihusika na matukio ya uhalifu mitaani kwa sababu naamini moja ya kazi ya Magereza ni kurekebisha tabia za wahalifu na kuwafanya kuwa watu wema baada ya kutoka...
  14. Notorious thug

    Gari la Magereza lapata ajali, Wafugwa wajeruhiwa

    Gari "bovu na chakavu" la Magereza wilaya ya Kiteto mkoani Manyara limepata ajali eneo la Kaloleni na baadhi ya Wafugwa majeruhi wamekimbizwa hospitali ya Kiteto kwa matibabu. Picha za gari iliyopata ajali
  15. BARD AI

    Sakata la aliyeuawa na Gari la Magereza, ndugu wamkomalia Mkuu wa Gereza

    SAKATA la ndugu wa Richard Bukombe mkazi wa Miyuji jijini Dodoma, aliyefariki dunia kwa madai ya kugongwa na gari la Jeshi la Magereza limechukua sura mpya baada ya wanafamilia kumtaka mkuu wa jeshi hilo kutowakingia kifua wahusika. Pia wameiomba Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora na...
  16. Analogia Malenga

    Rais Samia: Magereza mrekebishe tabia za wahalifu

    Rais Samia amelitaka jeshi la magereza kuwarekebisha tabia wahalifu walioko magerezani kwa kuwa sio wote walioko magereza ni wahalifu waliokubuhu. Ambapo amesema, kushindwa kuwarekebisha tabia kunawafanya wahalifu watende makosa zaidi mara baada ya kurudi uraiani kwa kuwa wanakuwa hawana namna...
  17. Roving Journalist

    Rais Samia: Wafungwa watendewe haki, ni binadamu kama walivyo wengine

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Majaji na Kamishna Jenerali wa Magereza leo tarehe 29 Agosti, 2021 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma. Viongozi watakaoapishwa ni: A. MAGEREZA Kamishna Mkuu wa Jeshi la Magereza, SACP Mzee Ramadhani Nyamka, kuwa Kamishna Mkuu...
  18. Roving Journalist

    Wasifu wa Mkuu wa Magereza SACP Mzee Ramadhani Nyamka

    WASIFU WA KAMISHNA JENERALI MTEULE WA JESHI LA MAGEREZA SACP. MZEE RAMADHANI NYAMKA CGP Mteule, SACP. Mzee Ramadhani Nyamka, alizaliwa mwaka 1964 Mkoani Tanga, Wilaya ya Tanga Mjini na alipata elimu ya Msingi katika Shule ya Msingi Muhimbili mwaka 1973 hadi 1979, na alihitimu elimu ya...
  19. kyagata

    Rais Samia, ni lini utateua Mkuu Mpya wa Magereza?

    Ni takribani mwezi mmoja sasa toka umuondoe aliyekua mkuu wa Jeshi la Magereza. Je, lini utateua mkuu mpya?
  20. J

    Mbowe: Uchaguzi wa 2020 ulipelekea Wanachadema 417 kubambikiwa kesi na kufungwa kwa dhuluma

    Hayo yameelezwa na Mh.Freeman Mbowe wakati akitoa mrejesho kuhusu hatua zilizofikiwa ktk mazungumzo ya maridhiano baina ya Chadema, Ccm, na serikali. Kulingana na Mh.Mbowe Chadema ina ajenda au hoja zaidi ya 20 ktk majadiliano yake na upande wa Ccm na serikali. Na Wakati alipotoa hotuba yake...
Back
Top Bottom