Habari viongozi.
Samahani sana ningependa kujua kama kuna mwanajamii forums yoyote alie itwa kwenye usaili Tujuane. Na Tuulizie kwa wale wazoefu wanaojua maswali yanayo patikana kwenye Usaili ni ya aina gani?
Maafisa watatu wa magereza wanaotuhumiwa kwa mauaji ya mfungwa Mkoani Lindi, Abdallah Ngalumbale, wameendelea kusota rumande baada ya shauri la kesi yao kusikilizwa kwa njia ya mtandao, leo Agosti 3, 2022.
Watuhumiwa hao wamefikishwa Mahakamani kwa mara ya 4 ambapo Hakimu Mfawidhi wa Mahakama...
Nikiwa zangu nimetulia na familia yangu chini ya mti hapa nyumbani akaja paka na mwanae wakakaa pembeni yetu kama kawaida kwa paka wanaoishi vizuri na binadamu hawaogopi hata wanaweza kukuchezea kama kuku tupia mguu hivi
Basi bhana yule paka mdogo sijui ni shetani gani alimuingia ghafla...
Hello!
Ilikuwa miaka ya 1997-1999, kumbukumbu zangu zinaniambia hivyo.
Kulikuwa na gulio la mazao (korosho) katika viwanja vya magereza Liwale-Lindi.
Sasa huyo jamaa wa JWTZ alikuja likizo kuwasalimia wazazi na ndugu. Naye akaenda gulioni kusaidia wazazi kupima korosho.
Yule mjeda alitumia...
Kamishna Jenerali wa Jeshi La Magereza anatangaza Nafasi za Kazi 1241- za kujiunga na Jeshi kwa Mwaka 2022.
Mwisho wa kutuma Maombi Tarehe 15 .JUNI.2022
--
Habari za muda huu wakuu nina Degree,
Je, naweza kuomba ajira za magereza kwa kigezo cha form four na kutakua na uwezekano wa kupanda cheo hapo baadae kutokana na elimu niloyonayo? Vigezo vyote ninavyo kama JKT.
Nawasilisha
Wana JF
Nimefuatilia sana maono ya aliyekuwa Rais wa awamu ya tano mawazo ya magereza kuwa na shughuli za kilimo , viwanda na ufugaji. Hayati Magufuri aliyasema hayo wakati magereza wakitaka kuongezewa chakula na fedha za kujikimu wakati wafungwa wapo bure wanasaga fedha za serikali.
Kwanini...
Nimesoma ripoti ya mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali kuhusu magereza yetu nchini ambayo mbali na kuwepo na matatizo mengi. Ametaja shida ya kutokuwepo kwa magari kwa ajili ya kuwasafirisha wafungwa na mahabusu kutoka magereza hadi mahakamani. Ripoti imeonesha magaereza zina uhaba wa magari kwa...
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amesema ukaguzi ulihakiki majengo ya makazi ya magereza na kubaini kuwa mengi ni chakavu na yanahitaji ukarabati mkubwa.
“Hali mbaya zaidi ilibainika katika magereza ya kilimo ambapo wafungwa walikuwa wakilala katika vyumba...
Kiukweli kwa kazi kubwa sana za hayo majeshi. Wanafanya kazi kubwa ya ulinzi na usalama wa nchi yetu, lakini maslahi yao hayaendani na kazi kubwa wanazozifanya.
Lazima maslahi ya wanawake kwenye majeshi hayo yafanane maana hapo unakutana na WP anakung’ang’ania ili uwe nae walau asogeze siku...
Rais samia hua anatoa kauli na maelekezo yenye utata. Lakini wenye kuelewa wanajua ni mwelekeo wake wa kupendelea sekta binafsi iliyojaa 'wahuni'
Inafaa atambue sekta binafsi kuleta ufanisi inatakiwa kua shindani sio kubebwa kwa kusudi kuingia ubia na majeshi au mashirika au mamlaka za umma...
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka magereza kulinda maeneo yao ili kuepuka migogoro. Amekosoa tabia ya kugawiana maeneo kwa maaskari magereza ambapo amesema wananchi hujenga wakiona wengine wanajenga.
Rais amewataka Magereza watenge maeneo yatakayotumika kama zawadi kwa wastaafu wa magereza na...
Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Msalato jijini Dodoma ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya ulinzi Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Samia Suluhu Hassan anazindua na kuweka mawe ya msingi kwenye miradi ya Makao Makuu ya...
Utashangaa JKT na Jeshi la Magereza wanahangaika na biashara ya kuosha magari na kufyatua tofali tena kwa kutumia mashine duni sana wanazotumia vijana mtaani.
Hii miradi ilipaswa waachiwe vijana. Wao watafute biashara zenye uwekezaji mkubwa.
Wakiosha magari vijana mtaani watafanya nini?
01. Gitarama Prison, Rwanda
Hili ndio gereza lenye msongamano mkubwa wa wafungwa Ulimwenguni huku likichukua wafungwa wapatao zaidi ya 7,000 huku lenyewe likiwa lina uwezo wa kuchukua wafungwa 400 tuu.
Wafungwa wengi ndani ya gereza hili ni washukiwa wa Mauaji ya Kimbari (Rwandan Genocide)...
Jaji kachemka sana kwa uamuzi wake wa leo. Katika mapingamizi yote aliyoyakataa la leo ndiyo limenifanya niamini kuwa huyu ni Jaji wa kimkakati tu. Huyu hatufai. Haki hata kama ni ya mtu mmoja dhidi ya dunia nzima hupawa kuangaliwa.
Kwanza kuwa suala la haki asilia "principles of natutal...
Hope mko poa wakuu, hakuna kitu kinachoiumiza serikali vichwa kama kesi ya Mbowe, kubali kataa serikali wanashindwa hii kesi waiteme vipi.
Nilisema toka awali kuwa maamuzi ya hii kesi yatakuwa faida kwa Mbowe, iwe kuhukumiwa maisha, kunyongwa au kushinda kesi, leo hio mawakili wa serikali...
Kwa wale wajuzi em share unachofahamu kuhusu magereza ya nchini Ecuador, maana kila mara ni mapigano na vifo. Na hii sio mara ya kwanza kutokea machafuko ndani ya magereza yao.
How comes a well protected prison wafungwa wanakuwa na silaha tena za moto?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.