Wandugu, kuna andiko moja nimelisoma la Tito Magoti, nimelielewa na to declare interest, nilishawahi kufanya kazi kwenye utumishi wa uma kwenye hizo coercive organs....jambo moja la muhimu sana kama nchi tunatakiwa kufika mwisho na lisifanyike tena kwasababu tumelirithi tangu enzi wa ukoloni...
Dar es Salaam. Baadhi ya makada wa Chadema waliofika kumuona Mwenyekiti wao, Freeman Mbowe juzi katika gereza Ukonga jijini Dar es Salaam, hawakutimiza lengo lao baada ya askari Magereza waliokuwa getini kuwazuia wakisema kuwa wamepata maelekezo kutoka juu.
Hata hivyo, Msemaji wa Magereza...
Wandugu,
Kwa siasa za Tanzania zilipopitia, upinzani hasa CHADEMA ilitakiwa iwe na watu wao wanaowapa taarifa zote wanazohitaji katika idara zote za nchi hii. Niliwahi kuelezea humu ndani nini upinzani wanatakiwa kujifunza kutoka kwa Muslim Brotherhood.
Kama huko nyuma iliwezekana kupata...
Habari!
Kwa vijana ambao ndoto zao siku moja wapige au wapigiwe saluti zitaendelea kuyeyuka hii kutokana na uchache wa nafasi zenyewe.
Huu mchakato utafanywa tu kutimiza sheria ila msitegemee sana huko vijana wenzangu. Watu washafanyiwa usaili bubu na kuambiwa wasubiri usaili fake.
Hivi kwa...
Swali langu ni kuwa wahalifu wameongezeka? Yaani magereza wametanganza ajira nyingi kuliko hata tume ya ajira.. ile tume ya ajira kila kukicha wanatangaza kazi za mtendaji wa kijiji..
kuna tatizo mahala?
Jeshi la magereza Tanzania limetangaza nafasi za kazi 700 kwa watanzania mbalimbali wenye elimu ya kuanzia kidato cha nne mpaka degree mwisho wa kutuma maombi ni October 10 2021 Kwa maelezo zaidi download pdf file iko hapao chini
Njia ya Mungu ni fumbo
RAIS HAKAINDE HICHILEMA AMUAPISHA ASKARI ALIYEMTENDEA WEMA AKIWA GEREZANI KUWA NAIBU KAMISHNA WA MAGEREZA. KUNA SOMO LA KUJIFUNZA
Rais wa Zambia Hakainde Hichilema ameteua Bwana Kuyomba Bwalya kuwa Naibu Kamishna Jenerali wa magereza "Zambia Correction Service"...
Amesema kwa mazingira magumu ya utawala wa kikandamizaji wa Lungu, quite oppressive regime but he tried very hard to act professionally, alimshangaa sana kwa vipi "this young man" was able to act deligently katika mazingira magumu kama yale.
Alijitahidi kufanya kazi zake kwa misingi ya haki...
Kwanza saccos hii imejaa watumishi wazembe na wasio na hekima katika muktadha wa huduma kwa wateja.
Askari hasa wa mikoani huwalazimu kutoa hadi rushwa ya zaidi ya milioni ili tu wasaidiwe kupata nyaraka muhimu kwa mfano zinazohusu mikopo.
Kama huna rushwa ya kuanzia laki tano na kuendelea...
Kitendo cha magereza kusema wameshidwa kuwaleta watuhumiwa kwasababu ya tatizo la usafiri ni aibu kubwa sana kwa nchi yetu. Hizi kesi kama hii ya Mbowe inaonyesha upungufu mkubwa wa mtandao wetu wa kutoa haki. Yaani magereza wanaweza wakapewa hata mwezi halafu wanakuja na visingizio vya kijinga...
Mwamba Mbowe aliposema covid ipo serikali ilimwandama Hadi yeye na wenzake qakatolewa Bungeni na kukatwa posho kisa wameenda kinyume na mfalme aliyekuwepo. Naamini Wakati anapambana kuhusu taadhari ya covid Hawa waliochanjwa leo walikuwa wafuasi wake ila awakutaka kutoka adharani nakusema kwamba...
Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene amesema Magereza ya Tanzania yana viashiria vya ukoloni na kwamba kuna safari ndefu ya kuyabadilisha ili wahalifu watendewe haki za binadamu.
Kauli ya Waziri Simbachawene imekuja wakati kukiwa na malalamiko kutoka kwa baadhi ya wanaharakati wa haki...
Mapendekezo yetu siku zote sisi wananchi, Azaki, activists na vyama yapo wazi kabisa sio kuongeza Magereza kila wilaya hapana. Nakumbuka hata wewe Jaji Mkuu umekuwa ukiyapigilia msumari mapendekezo mahususi ya kutatua changamoto ya msongamano wa wafungwa na Mahabusu katika magereza yetu uliwahi...
Ukishangaa ya Musa utastaajabu ya firauni, nchi hii tunazidi kupoteana na Kama siyo kupoteana Basi tunazidi kuzama. Unapomsikia Jaji Mkuu akaiomba Magereza yaongezwe lazima ushangae, maana Magereza yaliyopo sasa yamejaa mahabusu.
Badala akae na Watumishi wa mahakama wajadili kupunguza mahabusu...
Idadi ya wafungwa waliofariki baada ya kutokea vurugu ndani ya gereza magereza mawili nchini Ecuador imefikia watu 27 huku serikali ya nchi hiyo ya pwani ya Magharibi mwa Amerika Kusini ikilazimika kutangaza hali ya hatari.
Rais wa Nchi hiyo, Guillermo Lasso ameagiza kutumia kila linalowezekana...
Kutumia nguvu kazi ya Magereza zote nchini kuwapa kazi ya kukusanya taka na kutumia taka hizo kwa uzalishaji wa Biogas kwa ajili ya kupikia.
Kusambaza Magereza zilizopo katika Sehemu Tofauti ili kupata nguvu kazi hio (wafungwa wengi wafanye community service ya kusafisha mazingira / kukusanya...
Naweza onekana mwendawazimu na nisiwe na akili kabisa kwa walio wengi. Lakini kwakuwa hii nafasi imejitokeza acha niandike mambo ambayo yamekuwa yakinisumbua kwa miaka zaidi ya miaka 15 sasa. Hadi nakuwa kijana nayejitambua kwa maana ya kuwa na akili zangu timamu ambazo nimezipata kwa shule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.