mageuzi

The National Convention for Construction and Reform – Mageuzi, popularly known by its acronym NCCR–Mageuzi, is an opposition political party in Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    Pre GE2025 Askofu Bagonza asema kupiga kura ktk mfumo wetu wa uchaguzi ni wastage of time. Bila mageuzi katika mifumo ni sawa na kutokuwa na uchaguzi

    Askofu Kalikawe Benson Bagonza anasema kama mfumo hautafanyiwa marekebisho itakuwa ni sawa na hakuna uchaguzi. Askofu anasisitiza kwamba kwenda kupiga kura is a wastage of time. Sikiliza mahojiano yake hapa chini. https://www.youtube.com/watch?v=NaZiUuUBAv4
  2. M

    Kwanini niwaamini chadema na sio Act. Chauma, na Nccr mageuzi?

    Nani kawahi kumsikia Lissu au Heche kuzungumzia maswala ya jamii? Wao kutwa kuzungumzia uchaguzi, kubishana na Wasira. Lkn kuhusu nini watafanya katika sera za elimu, afya, miundo mbinu sijawahi kuwasikia. Angalau Act , nccr wao huzungumzia hilo.
  3. 1

    The rise of Taliban na mageuzi ya gen Z Tz kupitia CHADEMA!

    Wakuu salamu! Kwenye Ulimwengu huu unaobadilika ni vigumu sana kupanga mpango na ukaenda vyema kama ulivyotarajia.Nchi nyingi kubwa zenye taasisi serious za kiusalama hazijawah kuwa 100% correct mara zote!Mathalani CIA ili kuiumiza Usovieti iliwafadhili mujahdeen Afghanstan na kwakweli...
  4. B

    Hii Operation Kata Funua ingetekelezeka ingelete Mageuzi Makubwa Nchini

    Tumesikia operation( Operesheni) nyingi lakini hii ilikuwa kiboko. Sikuwahi kusikia hii Operation, nyinyi wenzangu mliisikia? Au ni uongo wa hawa waandishi wa kuokoteza habari vichochoroni? Sawa tumeona Operesheni kama 1. Operesheni Ukuta 2. Operation Sangara 3. Operation Baracuda 4. Operation...
  5. Tetesi: Lissu kuhamia NCCR Mageuzi mwezi February 2025. Selasini ajiandae.

    Mshukuru Mungu kuvuka mwaka na kupata hii habari ikiwa bado ya moto. Nimepenyezewa hapa na mtu wa jikoni ndani kabisaa, kwamba mheshimiwa sana Lissu ataenda kuimarisha NCCR Mageuzi. Hii inatokana na kuona kabisa Maji yamezidi unga. Safari hii Lissu kajaa kwenye mfumo bila kujijua. Kashatiwa...
  6. K

    Nyota Mpya ya Tanzania: Rais Samia Hassan aongoza Mageuzi ya Kiuchumi

    Tanzania, ambayo kwa muda mrefu imeonekana kama moja ya nchi zenye viwango vya juu vya kiuchumi katika Afrika Mashariki, sasa inavuma kwa uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan. Tangu kuchukua madaraka mnamo Machi 2021, Rais Samia amejitokeza kama mtu wa mageuzi, akiiongoza nchi kuelekea utulivu...
  7. Nikisema Tundu Lissu, Mbatia na Slaa waunganishe nguvu pale NCCR MAGEUZI tupate Chama makini na imara nitakuwa nimekosea?

    Habari jf , baada ya mwaka 2022 Mbatia kusimamishwa NCCR MAGEUZI , May 2024 mahakama ilimsafisha na kuamuru Selasini amlipe milioni 80 Mbatia kwa kumchafua . Vivyo hivyo kwa Dr slaa , mazingira ya kuondoka kwake CHADEMA yaligubikwa na sintofahamu nyingi sana . Tundu lissu baada ya kutangaza...
  8. Kwanini mageuzi ya kusitasita ya Rais Samia yanachochea hasira ya kisiasa nchini Tanzania?

    Chanzo cha picha,Reuters Maelezo ya picha, Kiongozi wa chama cha upinzani Chadema Freeman Mbowe amekamatwa mara mbili wiki za hivi karibuni Maelezo kuhusu taarifa Wimbi la hivi karibuni la utekaji nyara, kukamatwa na mauaji ya kikatili ya kiongozi mmoja wa chama cha upinzani nchini Tanzania...
  9. Kwa sera za namna hii, Tanzania inaweza badilisha hali yake ya kiuchumi na kuwa taifa imara ukanda wa Kusini mwa Afrika ama inahtaji mageuzi zaidi?

    Habari za jioni wana jamii leo nimekaa na kuwaza kuhusu nchi yetu ya Tanzania kwa kina na kwa upana sikuwa na budi bali kuandika haya mambo kwa sisi watanzania wote Tanzania ni nchi ambayo imekaa vizuri kijiografia yaani tumezungukwa na nchi nane tunaweza sema tisa tukiweka na visiwa vya...
  10. Hii bidhaa ikipatikana Tanzania itafanya mageuzi makubwa hasa kwa "RESIDENTIAL HOUSES"

    Ujenzi wa nyumba zetu za kuishi za watu mbalimbali zege halikwepeki ila umekua ni mtihani mkubwa sana juu ya upatikanaji wa "materials" Atokee tajiri mmoja basi aanzishe "dry ready mix concrete" atapiga pesa kama wanavopiga watu wanaouza cement NIMEWAPA WAZO BURE
  11. Miaka 40 ya mageuzi ya ufunguaji mlango nchini China ni funzo kwa nchi za Afrika

    Mhadhiri mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Katoliki cha Kenya Profesa Becky Ndeto, amesema sera zilizotekelezwa na China baada ya kuanza kutekeleza sera ya mageuzi na ufunguaji mlango, zimesababisha ukuaji wa uchumi usio na mfano, kuleta maendeleo ya kiteknolojia, na kupunguza umaskini. Akiongea...
  12. SoC04 Tanzania Tuitakayo: Safari ya mageuzi ya kiuchumi kupitia sayansi na teknolojia

    Tanzania ni miongoni mwa nchi za Afrika zenye uchumi wa kati. Ambapo sekta ya kilimo inachangia 26%-30% ya Pato la taifa. 60%-70% ya watanzania wanajishughulisha na kilimo. Tanzania imebarikiwa kuwa na idadi kubwa ya watu, idadi kubwa ikiwa ni vijana ambayo ndiyo nguvu kazi ya taifa. Pia...
  13. Teknolojia ya habari, mawasiliano na mitandao ya kijamii ilivyo fanikisha maandamano na mageuzi katika mapendekezo ya kodi, tozo na ushuru Kenya

    Hayakuandaliwa chini ya mwamvuli wa upinzani kama ilivyozoeleka. Hayana kinara wala kiongozi moja muwajibikaji... Organization na mobilization ya vijana waandamanaji imefanyika na kuchochewa kupitia mitandao ya kijamii tu.. Imepelekea ugumu kwa polisi kubabaika, kwasababu haikuwa rahisi...
  14. Hatutazungumza mageuzi Mkoa wa Kilimanjaro bila kumtaja Ndesamburo

    Mbowe mwenyewe kasema chadema imelegea! "Pamoja na mapungufu yote ambayo tutaelezana hapa, inawezekana tusiwe wepesi sana kutekeleza mipango ya mikakati mingi, lakini ukweli ni kwamba mageuzi ni nia ya watu wa Mkoa wa Kilimanjaro na tukizungumza nia ya mageuzi tunamzungumzia mzee Ndesamburo...
  15. SoC04 Deni la Taifa, Tanzania Linaweza Kupungua Endapo Mifumo ya Maendeleo Itafanyiwa Mageuzi

    Utangulizi Kwa miaka ya hivi karibuni, yaani mwaka 2021 hadi sasa, kumekuwa na mijadala mingi kuhusu ongezeko la deni la Taifa. Miongoni mwa makundi yanayohusika na mijadala hii na hata malalamiko ni yale ya Wanazuoni, asasi za kiraia na ya wanasiasa. Mijadala inajikita katika mambo muhimu...
  16. J

    SoC04 Mageuzi ya kimfumo na kiteknolojia yanahitajika katika Wizara ya Ardhi ili kukabiliana na kero za ardhi

    Wizara ya ardhi ni miongoni mwa sekta nyeti sana ambayo mtu yeyote anayepewa nafasi ya kuiongoza wizara hii hapaswi kucheza nayo hata kidogo mathalani viongozi wa vijiji na watendaji wote katika mipaka yao wanapaswa kutambua madhara ambayo yanaweza kujitokeza endapo hawatatilia mkazo juu ya...
  17. J

    SoC04 Mageuzi ya Mfumo wa Elimu Tanzania: Kutoka Kutegemea Ajira Hadi Kujiajiri kwa Vijana

    Ili kuharibu taifa lolote, anza kwa kuharibu mfumo wake wa elimu. Mfumo wa elimu wa Tanzania kwa sasa unawaandaa vijana kuwa wafanyakazi wa serikali au taasisi binafsi, jambo ambalo limepelekea wengi wao kuishi maisha duni huku wakisubiri ajira kutoka serikalini na kwenye taasisi binafsi...
  18. SoC04 Mageuzi katika mawasilano ili turahisishe mtandao

    MAGEUZI #IDADI YA LAINI ZA SIMU #MIUNDOMBINU YA KUWASILIANA. Kwasababu kama barabara zetu za Tanzania ni moja baina ya wapingani wa wili, kwanini na njia za mitandao ya simu isiwe ni moja? Mfano, sidhani kama kuna hoja za mashiko kwa kuwepo kwa minara nchi nzima ya mitandao tofauti tofauti.N a...
  19. B

    Benki ya CRDB yahamasisha mageuzi ya uchumi Afrika katika Mkutano wa Mwaka wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AFDB)

    Nairobi, Mei 28, 2024 – Katika jitihada za kuboresha maisha na kukuza uchumi wa masoko inayoyahudumia, Benki ya CRDB imeendesha mjadala uliolenga kujadili ukuzaji wa huduma za benki zinazovuka mipaka ya nchi za Afrika ili kuchochea mageuzi ya uchumi barani Afrika. Mjadala huo rasmi umefanyika...
  20. DKT Tulia: Mtambo wa kupima Ubora wa Barabara kuleta Mageuzi Tanzania

    MITAMBO YA KUPIMA UBORA WA BARABARA KULETA MAGEUZI: DKT. TULIA SPIKA wa Bunge, Dkt. Tulia Akson ameisisitiza Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) kuhakikisha miradi yote ya barabara inayokamilia inapimwa ubora kwa kutumia vifaa maalum kabla ya Makandarasi kuikabidhi kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…