The National Convention for Construction and Reform – Mageuzi, popularly known by its acronym NCCR–Mageuzi, is an opposition political party in Tanzania.
Uboreshwaji wa bandari ya Mtwara umefanya kuongezeka kwa biashara ya makaa ya mawe kutoka Kusini mwa Tanzania na kuipa Bandari ya Mtwara ambayo ni ya 3 kwa ukubwa nchini maisha mapya.
Uwekezaji wa kimkakati wa serikali katika uboreshaji wa Bandari ya Mtwara umegeuza bandari hiyo kuwa tegemeo la...
MAGEUZI YA SAYANSI NA TENKNOLOJIA NI FURSA KWA VIJANA
Kijana anawezaje kunufaika na maendeleo ya Sayansi na Teknolojia?
Mwandishi wa maarufu wa vitabu huko Marekani, Alvin Toffler katika kitabu chake Cha POWER SHIFT, Aliandika Alieleza Aina tatu za Nguvu, Nguvu za Mwili (physical power), Nguvu...
Historia inaonyesha kuwa orodha ya viongozi mashuhuri Duniani imejawa na watu wanaopenda kufanya mageuzi chanya yenye kuleta mabadiliko. Rais Samia naye ameonyesha kwa vitendo kuwa aina ya kiongozi mwenye kariba hiyo. Haya ni baadhi ya mageuzi anayoyasimamia kwa weledi mkubwa;
1. Mageuzi katika...
Habari wana JF ,Najua vijana wa CHADEMA hawatafurahishwa sana ila ukweli ni kuna vya viwili vyenye uwezo na vigezo vya kuongoza Nchi ambavyo ni CCM na NCCR Mageuzi .
Hivi vyama vina sifa kuu Moja na Vyama vya wananchi tofauti vyama vingine ni vya mtu au kikundi Cha watu hivyo ni Hatari...
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt.Francis Michael, amesema Mabadiliko ya Mitaala ni swala pana ambalo linatakiwa liangaliwe kwa Upana wake. Katika Kufanyia Elimu Mageuzi unaanzia kwenye kubadilisha Mitaala. Ameyasema hayo wakati alipopokelewa Dodoma kwenye Ofisisi za Wizara...
"Chama cha Mapinduzi (CCM) kinakanusha vikali madai yaliyotolewa na mwanasiasa Joseph Selasini yanayodai CCM kimewahi kumtumia James Francis Mbatia au kuwa na ushirikiano na NCCR-MAGEUZI”
Shaka Hamdu Shaka
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi
Halmashauri Kuu ya Chama cha NCCR Mageuzi imemsimamisha Mwenyekiti wake, James Mbatia kufanya shughuli zote kisiasa za chama hicho mpaka pale atakapoitwa kwenye mkutano mkuu kujieleza.
=======
Halmashauri Kuu ya Chama cha NCCR-Mageuzi imemsimamisha Mwenyekiti wa Chama hicho, James Mbatia na...
Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema hawezi kusaliti demokrasia na mageuzi ambayo yeye ameyapigania tangu akiwa na umri wa utoto.
“Mimi ni miongoni mwa watu tuliopachikwa jina la usaliti, kama binadamu, siwezi kujisikia vizuri kuitwa msaliti wa mageuzi na demokrasia kwa sababu tu...
TCD ni wafanyabiashara wa demkorasia;kama wanaweza kuwarubuni Viongozi wa NCCR kwenda kwenye kikao wakijua chama kimeshatoa msimamo kutoshiriki maana yake wamewafanyisha biashara watu hao ili kutimiza malengo yao"Mwabukusi,Mwansheria wa chama
Viongozi wa kitaifa wa NCCR MAGEUZI wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti Zanzibar Ambar Haji Khamis wamehudhuria mkutano ulioandaliwa na TCD ambao mgeni rasmi ni Rais Samia Suluhu Hassan, leo Aprili 5, 2022
Mkutano huo unajadili maridhiano ya kitaifa katika Ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma.
Viongozi...
“Kutoka mtwana kuwa bwana, na kuondokana na umaskini na kuwa na maisha bora, ni mambo mazuri zaidi niliyopata maishani mwangu!” Bibi Shiangchiu Ram mwenye umri wa miaka 77 ni makzi wa kijiji cha Anmaixi, Mji wa Chamdo, kusini-mashariki mwa Tibet. Ana nyumba nzuri kubwa ya orofa tatu iliyo karibu...
Tunashuhudia wafuasi wa CHADEMA humu mitandaoni wakiwa na imani kubwa sana na chama chao huku wakiwaamini viongozi wao mithili ya miungu watu kwamba eti tukiwapa ridhaa ya kuongoza nchi basi watafanya mambo makubwa kwelkweli.
Mbaya zaidi ni kwamba hata inapotokea failure ya mtu binafsi ndani...
Watanzania tunahitaji mageuzi makubwa sana ili tuondoke hapa tulipokwamishwa,karibia mifumo yote ya uendeshaji nchi imevurugwa na imevurugika na haiwezi kutengemaa ndani ya utawala wa kifalme wa CCM,ni lazima utawala huu uangushwe na kuwekwa kando,
Angalia Bunge, angalia mahakama angangalia...
Umoja wa Ulaya imeisifia Tanzania chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan kwa namna inavyofanya mageuzi ya kiuchumi na kisiasa ikiwemo kuimarisha masuala ya haki za binadamu.
EU imeahidi kuendelea kumwaga mapesa kwa miradi mbalimbali ya maendeleo kwa Tanzania. Hii tafsiri yake ni kuwa EU...
Chama cha NCCR- Mageuzi kimetoa hoja tatu za kususia mkutano ulioitishwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini (ORPP) ikiwemo ya kutoshirikishwa katika maandalizi na kutokuwepo kwa uwazi.
Mkutano huo umepangwa kufanyika Dodoma Oktoba 21 hadi 23, 2021 na utahusisha wadau watatu ambao ni...
Ndg zangu watanzania, ninapenda kutoa maoni yangu kwa shirika la reli Tanzania na Zambia yaani Tanzania Zambia Railway( TAZARA).
Usafirishaji wa abiria umekuwa changamoto kubwa kutokana na ajali za mara kwa mara zinazozipata treni za mizigo na hivyo kupelekea treni za abiria kushindwa...
Elimu ni ukombozi wa umaskini, hii nukuu kutoka kwa baba wa Taifa mwalim Nyerere, kutokana na kwamba Elimu iwe lazima na bure kwa kila mmoja awe na haki ya kuipata ili ajikomboe kiuchumi na kifkra.
Lakini leo hii tunapoizungumzia Elimu Tanzania imekua ni taasisi moja isiyokua na uwezo tena wa...
Nashangaa kwa @ccm_tanzania kumkana kada wao Hamza aliyefanya mauwaji dhidi ya Polisi, sisi kama Chama tunawapa Pole Chama Cha Mapinduzi kuondokewa na kada wao mtiifu Hamza, wasione aibu" James Mbatia, Mwenyekiti wa NCCR MAGEUZI.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.