KIWANJA kinachomilikiwa na chama cha NCCR MAGEUZI, kilichopo eneo la Mbopo, kata ya mabwepande, wilaya ya Kinondoni jijini Dar es salaam kimeuzwa na matapeli wiki chache zilizopita.
Baadhi ya wananchi wa mtaa wa Mbopo wamesema kuwa kiwanja hicho kimenunuliwa wiki chache zilizopita na mmiliki...