Serikali ya Eswatini imekiri kutokea vifo katika maandamano wiki iliyopita. Waziri wa Biashara, Manqoba Khumalo ameeleza hayo katika mahojiano na Kituo cha Habari cha AFP
Amesema nguvu ilibidi kutumika katika kudhibiti maandamano hayo na kwamba haikuwa nia, lakini kuna nyakati ilibidi risasi...