maggie smith

  1. Suley2019

    TANZIA Mwigizaji Maggie Smith afariki akiwa na umri wa miaka 89

    NBC News wametangaza kifo cha Dame Maggie Smith, kilichothibitishwa na watoto wake na mratibu wa habari. Wanawe, Chris Larkin na Toby Stephens, walitoa taarifa ya pamoja wakisema: "Kwa huzuni kubwa tunatangaza kifo cha Dame Maggie Smith. Alifariki kwa amani hospitalini mapema leo asubuhi."...
Back
Top Bottom