magharibi

As of 2013 with the coming into effect of the new constitution, each county has its own government and therefore there is no central regional capital. Kakamega is the seat of government for Kakamega County, Bungoma County has its seat in Bungoma town, Busia County has the Assemble in Busia, Vihiga County in Vihiga town, all the County governments and governors are answerable to the people not to the national government.
The Western Region (Swahili: Magharibi) of Kenya, bordering Uganda, is one of former Kenya's seven administrative provinces outside Nairobi. It is west of the Eastern Rift Valley and is inhabited mainly by the Luhya people. Quakerism is widely practised here. Kenya's second highest mountain, Mount Elgon is located in Bungoma County. The Kakamega Forest rainforest is part of the area. The province capital is the town of Kakamega.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    Pre GE2025 Mara: Jimbo la uchaguzi Serengeti kugawanywa kuwa majimbo mawili, Serengeti Mashariki na Serengeti magharibi

    Wajumbe wa kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Mara (RCC) wamepitisha Jimbo la Uchaguzi la Serengeti kugawanywa na kupata majimbo mawili ya uchaguzi ambapo majina ya majimbo yanayopendekezwa ni Serengeti Mashariki na Serengeti Magharibi. Mkuu wa Mkoa wa Mara Evans Mtambi aliongoza kikao...
  2. L

    Kupanuka kwa kundi la BRICS na kuongezeka kwa pato lake la jumla kunaweza kuleta changamoto kwa mataifa ya Magharibi

    Kundi la nchi za BRICS linaendelea kupanuka, na likiwa sasa limeongeza nchi washirika mwezi Januari mwaka huu wa 2025, baada ya kuingiza wanachama wapya mwaka jana. Sasa kundi hili lina takriban ya nusu ya idadi ya watu duniani na zaidi ya 41% ya Pato la Taifa (GDP), ambapo limekuwa nguvu ya...
  3. I

    Russia Inazisihi Makampuni ya Nishati ya Magharibi kurejea, Lakini Je, Watarudi?

    Maafisa wa Kremlin wanahatarisha matarajio ya uwekezaji wa faida kubwa kwa makampuni ya nishati ya Marekani, inaonekana wanataka kumshawishi Rais Trump kwamba mafanikio makubwa ya kiuchumi yanaweza kuja kutoka kwa Moscow katika kumaliza vita vya Ukraine na kufuta vikwazo vya kiuchumi dhidi ya...
  4. Kitimoto

    Mashambulizi Mazito ya Mizinga ya Saudia Yaripotiwa huko Saada, Kaskazini Magharibi mwa Yemen

    Ripoti za awali zinaonyesha mashambulizi makali ya mizinga ya Saudia yakilenga Saada, eneo linalodhibitiwa na Ansar Allah kaskazini magharibi mwa Yemen. Sambamba na hilo, ripoti zinaonyesha Baraza la Mpito la Kusini mwa UAE (STC) linaloungwa mkono na UAE limeanzisha mashambulizi ya kushtukiza...
  5. I

    Serikali mpya ya Syria inajipanga kurejesha mahusiano na nchi za magharibi huku ikiipa Iran mkono wa kwaheri

    Ufaransa yarejesha bendera katika ubalozi wa Damascus huku mamlaka mpya ya Syria ikijenga mawasiliano na nchi za Magharibi. Ufaransa ilipandisha bendera yake katika ubalozi wake wa Damascus siku ya Jumanne kwa mara ya kwanza baada ya miaka 12 na maafisa wa Umoja wa Ulaya walijitayarisha...
  6. Waufukweni

    Ghana: Wapiga Kura wa Ablekuma Magharibi wasusia Chakula cha Mbunge wao Ursula Owusu-Ekuful, siku ya uchaguzi

    Wapiga kura katika Jimbo la Ablekuma West lililopo Mkoa wa Greater Accra, Ghana, walikataa chakula kilichodaiwa kutolewa na Mbunge wao Ursula Owusu-Ekuful siku ya uchaguzi. Tukio hili limetokea leo Disemba 7 katika kituo cha kupigia kura, ambapo wapiga kura walimzomea dereva wa gari la...
  7. Eli Cohen

    Tofauti na Iran na vibaraka wake, tishio kubwa katika nchi za magharibi ni mrengwa wa kushoto (liberals, far lefts and woke culture)

    Wanatengeneza kansa katika jamii zao kwa ajili tu ya kuwafurahisha wahamiaji holela, LGBTQ, Feminists, Anti-Christs, #freepalestine (utapeli) , etc Kama ilivyo sera yao ya uhuru na Hatua za bila mipaka itapelekea msingi wa familia kuharibika, jeshi kuwa dhaifu kutokana na influence ya upinde...
  8. X

    Kiteknolojia China iko sawa na nchi za Marekani na Ulaya

    "Kusema ukweli, ni kwamba watu ambao hawaendi China mara nyingi hufikiria kuwa wako nyuma, lakini unapoenda huko unavutiwa na wanachofanya katika teknolojia." –Brad Smith (Raisi wa Microsoft) Nchi za Magharibi hazipaswi kudhani kuwa China iko nyuma ya Marekani na Ulaya kwenye maendeleo ya...
  9. C

    Uganda kumshtaki Elon Musk baada ya mabaki ya satelaiti ya SpaceX kuanguka katika vijiji vya magharibi

    Wataalamu wa uchunguzi wa kitaalamu wa Uganda wametoa ripoti ya kina kuhusu asili na athari za uchafu wa anga ulioanguka katika maeneo ya magharibi mwa Uganda mnamo Mei 2023. Uchafu huo, ulitokana na kurushwa kwa setilaiti ya SpaceX yenye makao yake nchini Marekani, iliyotawanyika katika wilaya...
  10. K

    Israel inapata nguvu kutoka nchi za Ulaya Magharibi na Marekani

    Israel inapata kiburi cha kuua watoto na wanawake kwa misaada ya magharibi. Bila hivyo isingelithubutu,… Msikiliza professor huyu akisema Iran ilikuwa imetengeneza silaha hizo kujihami na ubeberu wa Marekani sio Israel ambayo pekee yake sio kitu ingeteteleka muda wa wiki moja...
  11. Roving Journalist

    Waziri Masauni ahitimisha ziara ya papo kwa papo, amtaka RPC Mjini Magharibi kukomesha kero ya wizi Kikwajuni

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, na Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni, Zanzibar, Mhandisi Hamad Masauni, amemtaka Kamanda wa Polisi Mjini Magharibi komesha kero ya wizi katika Shehia ya Kikwajuni Bondeni. Mhandisi Masauni ameyasema hayo mapema jana, Oktoba 28, 2024, wakati akihitimisha ziara yake ya...
  12. M

    Ni zamu ya Ulaya kutawaliwa: Ulaya Magharibi ni koloni mamboleo la Marekani

    Ulaya magharibi hawana ujanja!! Wamejikuta wanalazimishwa na mazingira kutawaliwa na Marekani!! Hawana maamuzi yanayozingatia maslahi yao tu, bali wanalazimika kutekeleza sera zenye maslahi kwa marekani! Marekani imetengeneza mazingira ya hofu bandia ya kushambuliwa na Urusi!! Marekani...
  13. L

    Tofauti na sera ya kuingilia kati ya Magharibi, sera ya kutoingilia kati ya China ni chachu ya kuendeleza uhusiano wa kirafiki duniani

    Imekuwa ni jambo la kawaida kwa nchi za Magharibi kuwa na kiherehere cha kuingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine hasa katika masuala ya kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni. Nchi hizi zimekuwa zikijifanya wababe wa kuingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine kwa kisingizio cha haki za binadamu...
  14. L

    Nchi za magharibi zaendelea kuchochea msukosuko wa madeni, licha ya ushahidi wote kuonyesha wao ni chanzo kikuu cha msukosuko huo

    Hivi karibuni kiongozi wa Kanisa la Katoliki Papa Francis alihutubia mkutano wa Vatican kuhusu Msukosuko wa Madeni katika eneo la Kusini mwa Dunia", kwenye hotuba yake Papa alikemea vikali changamoto zinazotokana na msukosuko huo, hasa kusababisha taabu na dhiki, na kuwanyima mamilioni ya watu...
  15. njiwaji

    Angalia kimondo mkia leo mara baada ya machweo karibu na upeo wa magharibi

    Kuanzia Oktoba 14 na kwa siku chache zinazofuata unaweza kuangalia Kimondo mkia ATLAS Tuchinshan upeo wa magharibi mara baada mara baadanya machweo angani palipooneshwa katika picha hizi za 14-19 Oktoba. Kwa hiyo kuanzia usiku huu wa Jumatatu tarehe 14 Oktoba ambapo sayari Zohai itafichika...
  16. Eli Cohen

    Hivi ndivyo Magharibi itavyopotea. Sio pigo la risasi wala nyuklia, bali ni hivi vifuatavyo

    Feminism: Uzaaji wa watoto wachache: Sera ya uhamiaji holela: Kuruhusu, kupokea na kuzifanyia kazi ideologies za jamii nyingine angali jamii hizo zinapinga ideologies za west: Ideology ya Mrengo wa Kushoto:
  17. B

    Magharibi wakimalizana na Middle East, Far East wajiandae

    Magharibi wako mbali sana kimahesabu. Westerners ni nyoko. Naona mahesabu yao ni Far East akiwemo Putin, Jon Jun, na wapuuzi wengine wasiojali haki za binadamu. Saudia Yeye hana cha kusema, UAE ni centre ya Uchumi kwa Westerners so hapo ni kama Nyumbani tu. Hawapagusi.
  18. Lord denning

    Huu ndo Ushahidi wa Nchi za Magharibi zinavyotusaidia. Anayewatukana na kuwasimanga muonee huruma sana!

    Kwa kifupi Nchi za Magharibi zinatusaidia kuanzia miradi ya Afya ikiwemo kupambana na magonjwa kama Ukimwi, Kifua kikuu, utapia mlo na mingine mingi. Zinatusaidia Kuokoa uhai wa Mama wajawazito na watoto kwa kutoa fedha nyingi sana tunazotumia kuboresha hospitali zetu! Nchi hizi zinatusaidia...
  19. Mi mi

    Sio Tanzania tu, hakuna nchi yoyote Afrika yenye uwezo wa kupambana na Magharibi

    Niweke ukweli ili hata wenye tuakili tudogo wajue sio tu Tanzania hapa Africa nzima hakuna nchi yenye uchumi stable wa kuweza kupambana na kutingishana na magharibi. Bila hata vita za silaha hakuna nchi Africa ya kuweza kupambana na ulimwengu wa magharibi. Ulimwengu wa magharibi ukiamua nchi...
  20. Yoyo Zhou

    Nchi za Magharibi zapotosha ukweli wa ushirikiano wa China na Afrika katika sekta ya maliasili

    Bibi Jacquie anaishi katika kijiji cha Mayeba kilichoko misituni kusini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Ingawa kijiji hicho kiko karibu na migodi maarufu ya KFM na TFM, ambayo ina madini ya Shaba na Cobalti yenye thamani kubwa, lakini wanakijiji walikuwa wanaishi maisha magumu...
Back
Top Bottom