magonjwa yasiyoambukizwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu kuhusu Magonjwa yasiyoambukizwa.

    Habari ndugu zangu,Naomba kujuzwa kwa mwenye kufahamu kuhusu haya magonjwa yasiyoambukizwa namna yanavyoenea kwa kasi,Miaka ya nyuma chakula chetu kikuu kilikuwa Wali na Ugali lakini kasi ya magonjwa haya haikuwa kubwa kama ilivyo leo, Lakini leo hii tunaambiwa moja ya sababu ya magonjwa kama...
  2. JamiiForums Tanzania Magonjwa kadhaa ambayo yanajulikana kwa kuwagharimu watu pesa nyingi wakati wa matibabu

    Kuna magonjwa kadhaa ambayo yanajulikana kwa kuwagharimu watu pesa nyingi wakati wa matibabu, hasa kwa sababu ni ya muda mrefu (sugu) au yanahitaji vipimo/dawa za gharama kubwa: Magonjwa yasiyoambukiza (sugu): Saratani (kansa) – matibabu kama chemotherapy, radiotherapy, na upasuaji ni ghali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…