Kama hii line up ikitiki, nadhani Kisarawe itatosha kutengeneza content wanazopenda watanzania, ila mpaka karata za kisiasa ziende sawa, wote tuseme ameen.
Sasa ole wenu watumishi msiojua kubana cheko zenu vikaoni
Ni upumbavu kwa mwanaume kumpigia goti mwanamke kwa sababu yoyote ile ikiwemo kumvalisha pete ya uchumba.
Ukishajiwekea akili kwamba mwanamke anakufanyia favour kukubali kuolewa na wewe basi wewe ni mjinga.
Ndoa inamgharimu mwanaume kuliko mwanamke, ndoa ni mafanikio kwa mwanamke kuliko...
Mkaka upo madhabahuni anamvalisha pete mdada huku umepiga goti, huna uhakika kama mtaishi pamoja hadi kifo kiwatenganishe.
Hivi huo ujasiri huwa mnautoa wapi?
Nimeshangaa kusikia Magoti ndiye alikuwa anamshauri Rais kuhusu siasa. Nikimuangalia ni kama ana umri wa miaka thelasini hivi, yaani mtoto tu, na ndio maana mwanzo nilidhani ni mhudumu au afisa wa kawaida tu pale ikulu.
Hivi katika "msitu" wa wazee waliokomaa kisiasa kama Steven Wasira, Mizengo...
With 99.03% of votes counted, ANC is at 40.3%. It has lost parliamental majority.
ANC wanaona aibu kuwafuata DA (wazungu) kuwaomba kufanya coalition. Ni kama wanarudisha kwa mkoloni kuwa mambo yamewashinda. Aibu!
Wanaukakasi kumwendea MK , owner ni JZ, waliye mpeleka jela. Na juzi kumpa hukumu...
Jokate ambaye hivi karibuni akiwa amekaribia kufika miaka 40 amebahatika kupata mtoto bila ndoa rasmi, akiwa na mtoto ambaye haonekani kuwa na baba , na ambaye alikuwa msanii wa Muziki na movie maarufu kama Bongo movies, sasa akaingizwa kwenye siasa na kubebwa nafasi za kuteuliwa
Katibu Mkuu wa...
Mimi sio mzee wala sio kijana,
Mimi ni mkunga kwenye kituo cha afya,sasa huku wanaume wote tunaofanya kazi idara ya afya tunaitwa madoctor,bila kujali area ya specialization yako,
Sasa sijui wananisalimia mimi kama mimi au kwa sababu ni dokita
Nimetoka pwani kuja kutafuta maisha huku
Wamama watu...
Mimi sio mzee wala sio kijana,
Nimetoka pwani kuja kutafuta maisha huku
Wamama watu wazima wakikutana na mimi ni ng'wangaruka bhabha huku wamepiga magoti,hawataamka hapo mpaka nimalize salam niondoke,salam ikiwa ndefu hata dakika tatu anyanyuki mpaka mmalize.
Hawa ndio wanawake sasa,
Sio...
Unaweza
1: KUOMBA UMESIMAMA NA KUNYOOSHA MIKONO JUU.
2: Kuomba umelala kitandani kama hujiwezi kama mfalme Hezekia.
3: Kulala chini kifudifudi au kulala kama Yesu gethsemane.
4: Kuomba umeketi kama daudi.
5: Kuomba ukiwa katikati ya watu umesimama kama Nehemia, walio na wewe wasijue kama...
Ndugu zangu Watanzania,
Pamoja na kwamba Dr Tulia ni mgombea mwenye sifa kubwa kuliko wagombea wenzake, anayeungwa mkono na jumuiya mbalimbali, anayepewa nafasi ya kuibuka mshindi kwa kishindo, pamoja na kuwa na elimu yake kubwa, lakini Mungu anabaki kuwa Mungu tu. Mungu anabaki kuwa ndiye...
Team,
Salaam!
Nimeona video moja ya Naibu Waziri anayehudumia akitokea mkoa wa Kagera akiwa ktk mkutano amepiga magoti na kuanza kutoa hotuba huku akilia machozi kama mtoto mdogo.
Sasa nachouliza kwa Naibu Waziri huyu mpaka anapiga magoti mbele ya umma wa watu waliohudhuria mkutano wake kuna...
Mbunge wa Bukoba wa Mjini na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akiwa anaongea na wakazi wa jimbo wakati akikabidhi mkataba wa ujenzi wa Standi Kuu ya Mabasi hilo amelalamikia majungu yanayoendelea Bukoba Mjini ambayo yanakwamisha maendeleo ya manispaa hiyo kwa...
Wafanyabiashara wameshika nchi. Wanaweza kupanga nini wafanye wakati gani. Wanaweza kupata taarifa nyeti za serikali. Wale wa mafuta wamejua bei inaenda kupanda. Kwa hiyo wameficha mafuta ili waje wapige hela.
Lakini wanafanya hivyo mbele ya mamlaka za nchi, na pengine chini ya ulinzi wa...
Alipokuwa ana kila dalili za Kutua Kwenu huyu Fabrice Ngoma mlikuwa mkimsifia sana katika Kurasa zenu, Watangazaji na Wachambuzi wenu leo hii mmemkosa kwa Kunyang'anywa Tonge Mdomoni Kimafia na Wakali wa Umafia Tanzania Simba SC na atachezea Simba SC mmebadilika na mnaanza Kumkandia.
Wanafiki...
Wananchi wamejitokeza katika Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Mbeya kufuatilia kesi ya kupinga kusainiwa kwa mkataba wa bandari iliyofunguliwa na wanasheria Boniface Mwabukusi na mwenzake Philip Mwakilima, wakisema mkataba huo hauna maslahi kwa Taifa na haujashirikisha maoni ya Watanzania ili...
Rais wa Marekani, Joe Biden ameilaani sheria mpya iliyotiwa saini na Rais wa Uganda, Yoweri Museveni dhidi ya vitendo vya ushoga na kusema kuwa Marekani inaweza kuiwekea Uganda vikwazo huku akitoa wito wa sheria hiyo kufutwa mara moja.
Sheria hiyo mpya itawalazimu Watu wanaoshirki kwenye...
Mkuu wa Kanisa la Roma Duniani alikuwa nchini Sudani. Katika kuimiza Amani aliongoa Kwa uchungu sana. Akuishia kuongea Tu Bali akachukua jukumu la kuwapigia magoti kiongozi mmoja mmoja.
Pamoja na hayo yote bado hatuoni wakiwa serious kutatua changamoto zao. Wakati papa natokwa machozi wao wala...
Hakuna fedhea na utumwa wa fikra kama mwaume mwenye familia kwenda kupiga magoti Kwa kiongozi WA kisiasa wakiamini NI Mungu.
Namna Watanzania wanavyomsujudia mwanadamu just Kwa Sababu ana madaraka ina kera zaidi hata ya utumwa.
Endapo katiba mpya itaondoa mamlaka makubwa ya kuteua zikabaki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.