magufuli

  1. M24 Headquarters-Kigali

    Miaka Minne bila Magufuli

    Tutakukumbuka daima Baba. 1.SGR ( Dar-Moro-Dom-Dar), 2. Mwl Nyerere HEP, 3. ATC, 4. Rushwa (imerudi upya).
  2. and 300

    Mpango wa Serikali kubana Matumizi (Austerity Measures) ulienda na Magufuli?

    Enzi Magufuli anaingia madarakani 2015 alikuja na mipango kabambe kubana matumiz ya Seikali ikiwamo; 1. Kupunguza Safari za nje ya nchi kwa Watumishi (Wakiwemo Viongozi na Maafisa Waandamizi - Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakurugenzi na Wakuu wa Taasisi za Umma). LEO HII: Ni mwendo wa kupanda...
  3. Camilo Cienfuegos

    Komando mstaafu na aliyeshriki Jaribio la Mapinduzi dhidi ya Nyerere mwaka 1982, Christopher Kadego alitekwa na kuuwawa kwa amri ya Rais Magufuli

    Naendelea kusoma kitabu cha mwandishi Erik Kabendera, In the name of the President. Kabendera anafichua juu ya tukio la mauaji ya Komando mstaafu wa JWTZ na ambaye alishiriki katika Jaribio la Mapinduzi la Mwaka 1982 dhidi ya Serikali ya Nyerere. Kabendera anasema hayo wakati alipokuwa Gereza...
  4. Rozela

    Zembwela Amkumbuka Magufuli, Asikitika namna serikali ya sasa inavyoibiwa kizembe

    "Siku moja mtanikumbuka, na mtanikumbuka kwa mazuri si mabaya" "Nimetoa maisha yangu kwaajili ya Watanzania, msifikiri mafisadi wanapenda" https://youtu.be/NaJCiQydU6U?si=i3Ux3On5vuQwMpuw
  5. MKATA KIU

    Magufuli kafanya mengi ila Air Tanzania, TRC, na Tanesco aliwazidishia upendeleo. Staff wa hizi taasisi wanaomchukia Magufuli hawana shukrani

    Habari wadau Huu ni ukweli mchungu 1. Magufuli kaikuta Air Tanzania ikiwa haina ndege hata 1. Ila kaifufua na kainunulia ndege za kutosha 2. Magufuli kakuta shirika la reli TRC linaelekea kujifia.. kalifufua kwa kuliwekezea ma trilioni ya hela na kafosi kujenga reli ya SGR na kawanunulia...
  6. Carlos The Jackal

    Hayati Rais MAGUFULI, Kipenzi Cha Watanzania, alionaga mbali sana kuhusu Nchi kujitegemea na kutumia vizuri Rasimali zake !!

    Trump kapiga pini bila watu kujiandaa. Ulaya nayo na Japani wanaenda kupita mulemule bila watu kujiandaa . Watu wameshitukizwa !!.
  7. MKATA KIU

    Marais wote wenye uchungu na nchi zao huwa wabahili kwenye matumizi mabovu, mfano Trump na late Magufuli, Rais Samia jifunze ubahili

    Habari wadau Nazani wote tunaona Trump anachofanya. Trump mwenyewe ni tajiri kweli kweli kuanzia yeye mwenyewe, ukoo wao na mpaka familia yao wote ni matajiri kweli kweli. Pia Trump anaongoza Taifa tajiri kweli kweli. USA ni taifa tajiri sana. Pamoja na utajiri wote huo bado Trump ni...
  8. J

    Hayati Magufuli: Mtanikumbuka, msema kweli ni mpenzi wa Mungu!

    Binadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi siyo nyingi nazo zimejaa shida na mateso inasema Biblia Matendo na maneno yenye kuwapendeza binadamu wenzako hukumbukwa milele. John Pombe Joseph Magufuli tutakukumbuka kama mtetezi wa watu wa hali ya chini kabisa. Rip. Nawasalimu kwa jina...
  9. ESCORT 1

    Kwanini hayati Magufuli alipenda kuendesha kesi akiwa njiani kwenye misafara yake?

    Wakuu salama… Enzi za uhai wake, Rais wa awamu ya tano, hayati John Pombe Magufuli alikuwa ni mpenda drama sana. Angeweza kusafiri kwa gari kutoka Dodoma pengine kuelekea Chato. Angeweza kufika Singida na kusimama barabarani bila kujali anasababisha foleni kwa walipa kodi wanaotumia...
  10. Waufukweni

    Ally Mohamed Keissy: Nilitaka tubadili Katiba ili Magufuli awe Rais kwa miaka 15

    Aliyekuwa Mbunge wa Nkasi Kaskazini (2010-2020), Ally Mohamed Keissy, amefafanua sababu zilizopelekea msukumo wake wa kutaka kubadili Katiba ili Magufuli awe Rais kwa miaka 15.
  11. Mkalukungone mwamba

    TBT: Cheche alizotema Hayati Magufuli Bungeni kwa watu walijenga kwenye eneo la hifadhi ya barabara

    Wakuu hee! Leo tujikumbushe kidogo aliyekuwa Rais wa awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli wakati akiwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi hapa alikuwa bungeni akieleza kuwa amewahi kuvunja ukuta wa marehemu baba yake kwa sababu ya kuwa kwenye eneo la hifadhi ya barabara.
  12. L

    Ziara Ya Rais Samia Mkoani Tanga Itakuwa Ya Hisia Kali Sana na Nchi Itasimama. Kwa sababu ndio Mkoa aliotangazia Kifo cha Hayati Magufuli

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge anatarajiwa kufanya...
  13. Kinjekitile Jr

    Lissu nakusihi tena kwa Mara nyingine fukuza hawa Wapambe wa Mbowe na CCM,Usiwe na akili za Magufuli

    Ni majuzi tu hapa nilitoa angalizo kuhusu hawa Mabwana waliojifanya ni Wana CHADEMA kwa muda mrefu kumbe ni mapindikizi ya CCM ndani ya CHADEMA Nahisi kwa hali inayo endelea hawa vibaraka wanapswa kufukuzwa Uanachama wawe wanapenda au hawapendi Kuna hawa watu wakiendelea kuwa ndani ya chama...
  14. Randy orton

    Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Picha: Hayati Rais Magufuli enzi uhai wake This is a special thread and a tribute to the late J.P.M. Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama lisemavyo neno la Mungu katika kitabu cha biblia kuwa mfalme hawezi kuokolewa kwa na jeshi lake kubwa...
  15. Kinjekitile Jr

    Tundu Lissu Fukuza Uanachama hawa Team Mbowe, usimuige Magufuli Msaliti hasemeki; Hakuna adui mbaya kama wa nyumbani kwako

    Magufuli aliwasamehe vijana aliyowahisi kuwa Wanamuhujumu hawa kina Kina Nape Nnauye, January Makamba na vigogo kama kinana na Makamba Sr, ila kumbe alikuwa anajichimbia shimo mwenyewe Kuna figisu zinapikwa chini kwa chini kutoka CCM na wanawatumia vibaraka wao kutoka CHADEMA ambao wengi wao ni...
  16. Waufukweni

    Wasira: Magufuli hakuwashughulikia wapinzani, walishughulikiana. Ukimtukana Rais na rais ana react, naye ni mtu

    Stephen Masato Wasira, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Bara. "Na Tundu Lissu alikuwa akisema haijapata kutokea kuwa na Rais wa ajabu kama Magufuli kama unamuita wa ajabu. Na kama unamuita wa ajabu yeye atakuwa anaujua uajabu wake Mimi siufahamu. "Kwahiyo matokea hayo yaliyotokea...
  17. Waufukweni

    Pre GE2025 VIDEO: Viongozi wa dini wamfanyia maombi mazito ya ulinzi Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, John Heche

    Akiwa nyumbani kwao Tarime, John Heche Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Viongozi wa dini wamfanyia maombi mazito ya ulinzi pamoja na familia yake
  18. J

    Hotuba ya Tundu Lisu Leo imenifumbua macho kwanini Magufuli alitaka kumteua awe Mwanasheria Mkuu, Tundu Yuko Vizuri kichwani!

    Shujaa Magufuli 2020 akiwa Ikungi alikiri mbele ya Wazee wa Lisu kwamba alitamani sana kufanya kazi na kijana Wao lakini alikataa Leo Tundu Lisu alikuwa anapangikia maneno kama wale Wanasiasa nguli Wabobezi wa Sheria Nchini Kenya Kalonzo Musyoka na Prof Kindiki Mlale Unono Chadema 😄
  19. L

    Mnajifunza Nini Katika Picha Hii ya Hayati Dkt Magufuli Akikumbatiana na Dkt Jakaya Kikwete kwa Tabasamu na muonekano wa macho ya hao wengine?

    Ndugu zangu Watanzania, Ni picha ya kumbukumbu nayowaleteeni hapa Jukwaani ikiwa inaonyesha Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete Rais mstaafu wa awamu ya Nne ambaye pia ni Mwanajeshi mstaafu lakini pia waweza kumwita Jasusi Imara na Komandoo wa Mikakati .Akikumbatiana kwa tabasamu na...
  20. D

    Mipango Miji: Kwanini kuna stendi holela za mabasi wakati kuna stendi ya Magufuli jijini Dar???

    Katika jambo la kushangaza ni uholela wa stendi za mabasi ya abiria yanayofanya safari kati ya dar es salaam na mikoa mbali mbali nchini kuwa na vituo vyao binafsi tofaiti na kituo stahiki cha serikali cha magufuli kilichopo mbezi mwisho Kwa wakazi wa dar kuanzia magomeni mpaka ubungo kuna...
Back
Top Bottom