magufuli

  1. Lycaon pictus

    Hatujawahi kuwa na Rais mpenda mazingira na uhifadhi kama John Pombe Magufuli

    Rais Magufuli alikuwa ni Rais mpenda Mazingira na uhifadhi hasa. Wakati anaingia madarakani mwaka 2015 idadi ya Tembo Tz ilisadikika kuwa 43,000. Hadi anafariki mwaka 2021 inasemwa kuwa tembo walifika 60,000. Sababu alidhibiti ujangili. Magufuli alianzisha National Parks tatu. Mwalimu Nyerere...
  2. T

    Pre GE2025 Mbowe: Magufuli aliniambia niachane na CHADEMA, na atanirudishia kila kitu changu kilichopotea au cheo chochote

    "Akaniambia Mbowe achana na CHADEMA, kwa sababu alinisukuma sana nihamie CCM nikamwambia hilo katu sitaweza kwenye maisha yangu" "Akinipelekea ujumbe nikiwa gerezani akaniambia achana na Chadema nitakurudishia mali zako zote zolizochukuliwa na utake biashara au cheo chochote nitakupa" - Freeman...
  3. comte

    Mali waiga hatua za Magufuli VS Barrick

    https://www.reuters.com/markets/commodities/barrick-faces-fresh-restrictions-mali-signals-temporary-suspension-coming-weeks-2025-01-06/
  4. Roving Journalist

    Rais Samia akifungua Shule ya Sekondari Bumbwini Misufini Zanzibar Januari 8, 2025

    Siku ya leo Januari 8, 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefungua Skuli ya Sekondari Misufini, Bumbwini Zanzibar tarehe 08 Januari, 2025 wakati wa shamrashamra za kuelekea miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar. Katika hotuba yake Rais Samia aligusia...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    Kikwete na Magufuli walishindwa kuingusha CHADEMA lakini Rais Samia ndani ya miaka minne ameshamaliza anachofanya ni kuinyonyoa manyoya

    Hakuna anayeamini! Kikwete kwa Miaka kumi alishindwa kuizima CHADEMA na ilibaki kidogo Sana 2015 Akabidhi ofisi kwa upinzani. Akaingia Magufuli, yeye ndiye akatumia zaidi mabavu na alishakiri hadharani anaenda kufuta upinzani kabla ya 2020 lakini alipata upinzani Mkali Sana kuwahi kutokea...
  6. Mwamuzi wa Tanzania

    Ushenzi wa kutekana ni matunda ya utawala wa Magufuli

    Ninaita ushenzi kwakuwa ni matukio ambayo mtu mwenye akili timamu hawezi kuyashangilia wala kuyafanya. Matukio ya kuuana na kutekana yapo worldwide ila kwa Tanzania kutekana kulirasimishwa rasmi 2015/2016 mara tu baada ya Magufuli kuingia madarakani. Sasa wale vijana watekaji wapo bado pamoja...
  7. Nehemia Kilave

    Binafsi ninaamini pamoja na Mapungufu Hayati Magufuli bado atabaki rais bora kiutendaji na kiuzalendo

    Hayati Magufuli alituchukia sana wapinzani ,kwake yeye aliamini wapinzani ndio wanarudisha nyuma Maendeleo na ni vibaraka wa Mabeberu. Kwake yeye lolote litakalo mkuta mpinzani awe ana husika nalo au hausiki nalo ni halali yake na hawezi shughulika nalo . Hilo ndilo lilikuwa tatizo kubwa...
  8. J

    Hayati Magufuli aliwahi kumjibu mama mmoja "unataka upanuliwe wapi?" mbele ya kamera

    https://youtu.be/LGCNOc6eG_w?si=gbdLTmuHV9065Hfm Nakumbuka Magufuli aliwahi kuongea matusi ya ajabu kwenye Tv nikiwa naamgalia Tv na wanangu hadi nikakosa pozi Alikuwa kwenye ziara na wananchi waliomba kupanuliwa kwa barabara, bahati mbaya au nzuri ni mama ndiye aliyefikisha ombi hilo, basi...
  9. Mtu Asiyejulikana

    Genge la Mafisadi na Viongozi Wastaafu waliotumika kuchafua Utawala wa Magufuli

    Hizi ni habari za ndaaaaaani kabisa ambazo wengi hawazijui na wengine wanazijua ila wameamua kunyamaza kwa sababu kadhaa. Magufuli hakuwa Malaika. Hilo lazima tukubaliane kama Binadamu kama Rais kuna makosa alifanya. Tuendelee na mada yetu. Mara baada ya Magufuli kuingia madarakani haraka sana...
  10. OKW BOBAN SUNZU

    #COVID19 Eric Kabendera: Magufuli alifariki kwa COVID-19 mwaka 2021

    Katika kitabu chake cha In the Name of the President, Ndugu Eric Kabendera ameonyesha kuwa Hayati Magufuli alifariki kwa COVID-19. Ikumbukwe kuwa katika utawala wa Magufuli masharti ya watalaam wa afya kutaka watu kujikinga na maambukizi kama kuvaa barakoa yalikuwa hayazingatiwi hasa katika...
  11. T

    Familia ya Magufuli ipo kwenye msiba mwingine mzito, hivi mnajua kile kinaenda tokea...

    Naandika kwa uchungu sana kiukweli nimesikia machozi nikiamini hakuna cha bahati mbaya ila walio panga wamefanikisha mpango wao japo hawakujuwa nini kitatokea. Simlaumu Kabendera ila nataka kuamini Kabendera hayupo peke yake kwenye hii nikazi nzuri sana ilio pangwa ikapangika. Inaweza ikawa...
  12. Carlos The Jackal

    The State, We must Both agree that We need to move from MAGUFULI to MAGUFULISM na huo ndio uwe Mwelekeo wa Taifa

    Magufuli was more than a Person, He was a Country, He was a Vector., However, we unexpectedly lost this national treasure. Magufuli's Strategy, Ideas, Principles , Beliefs should be turned into a National Ideology and this will further prevent the risk associated with One Man. The essence of...
  13. jingalao

    Pole Sana Mama Janeth Magufuli pokea upendo na faraja ya umma wa Watanzania hata milele

    Hawa ndio wanadamu! Kipenzi chako na baba wa familia alikesha na mafaili wizarani na baadae ikulu na pengine aliwasahau kama wanafamilia kutokana na kujitoa kwake kama sadaka ya watanzania! Hakika usifadhaike ,usilie,usijute bali muombe Mungu sana. Wanadamu wabaya ndivyo walivyo...hawapendi...
  14. F

    Wakati mambo makubwa ya utawala wa Magufuli yakitazamiwa kufichuka siku za usoni, Mbowe anahitajika sana kuendesha maridhiano ya hatua ya pili.

    Eric Kabendera ameandika mengi ya kustaajabisha kuhusu hayati John Magufuli aliyekuwa rais wa awamu ya 5 Tanzania. Ukweli kuhusu walipo akina Ben Saanane na Azorly Gwanda umewekwa wazi katika kitabu hicho. Wakati umma ukiwa na taarifa pengine za kuweza kuaminini kwa kiasi kikubwa, inashangaza na...
  15. Fortilo

    Zitto: Mazingira yale yale yaliyotuletea Magufuli 2015 ndio hayo hayo yanayotengenezwa kutuletea Magufuli mwingine

    Kulikuwa na mjadala na bado unaendelea CH kuhusu kitabu tata cha Kabendera Kwamba mazingira yale yale yaliyotuletea Magufuli 2015 ndio yale yale yatakayotuletea Magufuli mwingine hapo mbeleni. Hii ni kauli ya Mwanachama na Kiongozi mstaafu wa ACT wazalendo akizungumzia kitabu cha Eric...
  16. The Burning Spear

    Je, CCM imebaliki Hayati Magufuli kuzalilishwa na kuleta fedheha kwa wanafamilia wake?

    Najua Chini ya uongozi dharimu wa CCM Raisi analindwa akiwa hai hadi kaburni. Sasa huu utaratibu wa kumsimanga hyati umeamzia wapi. Je, CCM inapata faída gani na haya yanayoandikwa au tuamini Kweli CCM huwa wanaua watu ikulu. My Big concern ni kwa wanafamilia ya Magufuli maana Naona Mzee...
  17. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Kwa sasa kumtetea Rais MAGUFULI (RIP) ni ngumu sana sawa na kuwatetea Single mother kulivyo na ugumu

    Mimi nilikuwa na mkubali sana jpm kwa 90% katika utendaji wake wote na hata kifo chake kinaniuma hadi leo. Mimi sio mtu wa siasa za hapa Tz Maana naona kabisa hii nchi hakuna chama cha upinzani kilicho serious. Siku mbili hizi Tangu kitabu cha kabendera kiachiwe naona jpm kafukuliwa huko aliko...
  18. mike2k

    Kwanini Rais Magufuli alimfunga Kabendera?

    Ndugu wanajamvi, Tumesikia kuhusu kitabu kipya cha Erick Kabendera kinachoitwa "In the Name of the President: The Memoirs of a Jailed Journalist". Kabendera amefunguka kwa kina juu ya utawala wa Magufuli na madai ya udikteta. Hii inatufanya tujiulize maswali mengi kuhusu sababu halisi za...
  19. secretarybird

    Je, Erick Kabendera hajaiba thread zetu humu JF kushibisha kitabu chake kimhusucho Magufuli?

    Yeah! Nadhani tunakumbuka jinsi bwana Yericko Nyerere alivyotuhumiwa kuiba nyuzi za wana JF kuandika vitabu vyake anavyoviita vya kijasusi hata akawapiga watu pesa Kwa kuwauzi vile vitabu. Sasa hivi kijana wetu Erick Kabendera amekuja na kitabu chake ambacho kwa kiasi fulani kimemgusia...
  20. Nehemia Kilave

    Erick Kabendera ametupa yale tuliyopenda kuyasikia kuhusu Hayati Magufuli; yasitufanye tukashindwa endelea tafuta ukweli

    Ukienda hospital ukiwa unachemka na kichwa kinauma ukiambiwa una malaria unapata relief shida imeonekana. Ukienda kwa Mganga umefiwa mtoto mkawa mnamuhisi jirani na mganga akawaambia yule jirani asiye na mtoto ndiye kamuondoa mnapata nguvu mbaya wenu kajulikana. Kitabu cha IN THE NAME OF THE...
Back
Top Bottom