magufuli bus stand

Magufuli Bus Terminal also unofficially known as Mbezi Bus Terminal (Kituo kikuu cha mabasi cha Magufuli, in Swahili) is a major bus terminal located in Mbezi ward of Ubungo District of Dar es Salaam Region in Tanzania.
It started operating in November 2020 and serves over 3000 buses daily. It was officially opened by the late Dr. John Magufuli on 24 February 2021.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania Je kuhamia Magufuli bus stand ilikua vita ya mabasi?

    Kwa juu juu, story inaeleweka kabisa. Shekilango imekuwa ndogo, magari mengi, traffic inakuwa balaa na katikati ya Dar tunajibana . Kwa hiyo RC akaamua: "Wote Magufuli Stand!" Lakin je kuna lolote nyuma ya pazia? Kuna angle nyingine nimeiwaza Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na kampuni ndogo...
  2. JamiiForums Tanzania Picha: Mamia ya Wananchi wamsimamisha Heche Magufuli bus Stand. Huu ni upendo mkubwa kwa CHADEMA. Watu wanahitaji ukombozi

    Upendo kwa Chadema
  3. D

    JamiiForums Tanzania KERO Uchafuzi wa mazingira Barabara ya kuelekea Stendi ya Mabasi Magufuli

    Wapiga Debe, madereva bajaj na bodaboda wamekuwa wakijisaidia haja ndogo kwenye eneo la hifadhi ya barabara na mitaroni Barabara iendayo Stendi ya Mabasi Magufuli. Ukipita hapo pananuka haja ndogo. Ni hatari kwa afya. Mamlaka husika mpo wapi? Soma Pia: Uhaba wa vyoo Stendi Kuu Mbeya abiria...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa Akili kama za huyu mdau Tanzania bado sana kupiga hatua kwa vijana wa dizaini hii

    Yani wote tukashukie Stendi ya Magufuli, Mbezi wakati nakaa Kigamboni huyu ni bogas sana.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…