Aman iwe nanyi watu wa MUNGU
Dada yetu wa taifa anasema kwamba kumuondoa mama samia madarakan is very simple us to push a mlevi man kwa maana huyu mama hana support yeyote ya watu
Mange anadai watanzania wanaompenda mama samia hawafiki hata mia mbili 200 kwahiyo kumfurusha madarakani ni rais...
Ilikuwa ni kitu cha ajabu sana, Mimi mbona juzi wamenihoji kuhusu cheti changu cha kuzaliwa kuwa tofauti Na vyeti vyenye taaluma zangu , yaani kuongezeka jina moja tu kwenye vyeti vya taaluma ikawa nongwa...
Amani iwe nanyi wapendwa wezangu
Nimekubali kweli kuwa ukali mbwa hutegemea anayemiliki
Kuna mbwa kama pambo na kuna mbwa muwindaji
Naona sura mbili za Kassim Majaliwa enzi za Magu na enzi za Mama yetu kipenzi.
LONDON BOY
Wadau kama link inavyosema hapo chini. Nini tatizo?
===
Tanzania is delaying key agreements needed to realize a $42 billion liquefied natural gas plant, slowing a project that developers Equinor ASA and Shell Plc warn has limited time to become a reality before demand for fossil fuels begins...
Wakuu mimi ni miongoni mwa vijana wa kitanzania ambao tulijitahidi kuipata elimu huku tukiamini kupata ajira aidha sekta binafsi au serikalini, lakini mambo yakawa tofauti ni miaka saba sasa imepita na wengine tumeshaanza kusahau hata tulichokisomea kwa sababu tuliamua kufanya mambo mengine nje...
Habari wanajamii, narudi tena. Bei ya dagaa imepungua maana giza limeanza na uvuvi kuendelea kama ilivyo kawaida.
Bei zilizopo muda huu. Japo huwa mabadiliko yapo kutokana na uvuvi ukiwa mzuri au mbaya.
Dagaa wa nyasi (wasio na mchanga)
Gunia yenye debe 10 kilo 40 (Tsh180000/=-tsh260000/=.)...
Uzuri wote tulivaa kijani na njano, hakukuwepo na kaki au nyekundu humo ndani.
Kama una bundle angalia na usikilize hii 👇🏾.
Mzee baba alikuwa anapiga madongo ya kusiliba aina ya ukopaji na kuomba ovyo misaada, hii ilionyesha alikerwa sana na mfumo wake.
Ndugai (huyu aliyewahi kuwa spika...
Nimekuwa nikishuhudia watoto wadogo wenye umri kati ya miaka 7 mpaka 15 wakitumwa hizi pombe viroba vilivyochangamka zinauzwa kwenye vichupa kama vile smart gin, kitoko, ambiance na robort watoto wanatumwa dukani kuwapelekea wazazi wao.
Kwangu mimi naona huu ni ushenzi mtoto mdogo utamtuma...
Kauli kama hii ni mwiba mkali sana kwa muzee RAO ambaye anajinasibisha kuwa kinara na bingwa wa mabadiriko ya siasa za Kenya.
Jamaa anamponda Odinga na Uhuru na kusema waende wakafanya bargain amendment wa walichopora na siyo kutaka hand shake!
Taarifa kwenye vyombo vya habari vya Kimataifa...
Nimesema makala ya Gazeti la mwananchi unayosema CRDB walifungua Tawi chato Kwa kulazimisha na magufuli na mara baada ya kumfariji kwako tawi walilifunga.
Je ni kweli chato Kwa sasa hakuna tawi la CRDB na NMB? Ukweli ni kwamba sasa hivi banki zote mbili wamepanua matawi yao kuwa makubwa na...
Nasadiki kuandika haya ili hukumu ijapotolewa iwe ya haki.
Leo 17.03.2023 ni siku ya kumbukukumbu ya kifo cha a.k.a jeshi la mtu mmoja au Legendary namuita hivyo, mzee John Joseph Pombe Magufuli.
Nimefuatilia sana kwenye media tofauti ila sana mitandao ya kijamii na hali iliyopo mitandaoni na...
"Wakati nasema tufungue mikutano ya hadhara kwenye chama changu kulikuwa kugumu kidogo, mjadala ulikuwa mkubwa kama mnavyofanya nyie, najua juzi Mbowe alikuwa na mjadala mkubwa kwanini mmemuita Rais kwenye hili jukwaa, kwa hiyo mwenyekiti wale wahafidhina wapo kwangu wapo kwako,” ameeleza Rais...
Wana JF
Nimefuatilia sana maono ya aliyekuwa Rais wa awamu ya tano mawazo ya magereza kuwa na shughuli za kilimo , viwanda na ufugaji. Hayati Magufuri aliyasema hayo wakati magereza wakitaka kuongezewa chakula na fedha za kujikimu wakati wafungwa wapo bure wanasaga fedha za serikali.
Kwanini...
Magufuli ameongoza kwa miaka 5, kina cha maji kiliogopa kushuka, five years Kiwango cha maji hakipungui, na maji mtaani mabomba yanavuja hovyo lakin watu wa napata maji
Tozo amekuja Samia maji yanapungua,Tozo zinapanda, wamachinga wanalionja joto
CCM na DAWASA hacha sarakasi za kuandaa watu...
Wazee, Watoto na wagonjwa wa Wilaya ya Chato Mkoa wa Geita na mikoa jirani wameshauriwa kuaga mwili wa hayati Rais John Magufuli kwa kufuatilia kwenye vyombo mbalimbali vya habari vinavyorusha mubashara badala ya kwenda uwanjani.
Uamuzi huo unatokana na eneo la uwanja wa Magufuli ulipo wilayani...
Wanajamvi
Nimekuwa Na hisia kuwa huenda Dr. Magufuri Ni kiona mbali kutokana Na nchi ya ulimwengu wa kwanza kupinga walimu kuvaa mask wakati wanafundisha kwani hakuna ushahidi kuwa mask zinazuia covid.
======
As coronavirus runs rampant, why are some Swedish towns banning masks?
Officials in...
Mwaka 1978/79 Mwl Nyerere katika uongozi wake aliamua kuingiza nchi vitani kupambana na nduli Idd Amin Dada wa Uganda, ilikua vita ngumu sana, na ilikua ni lazima kumpiga idiamin Ili tanzania iwe salama. Wapo waliomlaumu kwa uamuzi wake wa kwenda vitani, na wapo waliompongeza na kumuunga mkono...
Nikiwa Tabora ambapo nilikwenda kwenye msiba wa rafiki yangu aliyefiwa na mama yake mwezi huu. Nilikutana na kituko cha mwaka ambapo tukiwa hapo msibani ulisikika muziki mkubwa sana kiasi ambacho huwezi kuongea na mtu jirani yako, huwezi kupokea simu au kusikiliza simu. Nilipouliza nikaambiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.