Salaam JF,
Baada ya Rais Biden kuapa Jana Ikulu ya Marekani imetangaza kuwa mawasiliano ya kwanza ya simu yatakayofanywa na Rais Biden ni kati yake na Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau, bila Shaka kigezo na hoja kuu ni kwa jinsi utawala wa Canada unazingatia sheria, Demokrasia na uwajibikaji...
“Katika kipindi cha miaka mitano wameajiriwa walimu 300,000 hivi karibuni tulitangaza nafasi 8,000 na tunatarajia kutangaza ajira nyingine 5,000 za walimu. Tunataka suala la elimu lizingatiwe, nchi yenye kuthamini elimu ndiyo yenye nia ya kweli ya kuendelea,”
Hayo yamesemwa na Magufuri...
Just imagine upo katika kipindi cha majonzi una tafakari hili na lile baada ya kukosekana kwenye ajira! unaulizwa maswali kama haya na wazazi, ndugu na majirani;
Nasikia ajira zenu zimetoka. Vipi sasa umefanikisha? Unajibu sijafanikisha.
Anaendelea kuuliza, kwanini sasa au hukutuma maombi...
Nimejipa kazi kuwafatilia wagombea wawili wa uraisi wanaoonekana kupendwa na watu wengi, nimegundua kuwa Dr. Magufuri anawaza mambo ya miaka kama 30 ijayo ndo tule bata. Ili hali Ndg Lisu akiwaza mambo ya leo, kesho itajulikana ikifika.
Shida kwa watu wengi, bado huduma muhimu ( chakula...
Kumbuka.
"Man without God can not, and God without man will not"
"Mnyonge mnyongeni ila haki yake apewe"
Kama kuna nyakati Mungu alishawahi kuzungumuza na watanzania kwa namna isiyoyakawaida kupitia kiongozi wa kitaifa naamini Mara hii amezungumza na tz nakila mtu bila shaka hakuna ambaye...
Lissu akihutubia wananchi wa Manispaa ya Bukoba amedai Rais Magufuli amepora kiasi cha hekari elfu 25 maeneo ya Kihanga wilayani Karagwe mkoani Kagera.
Magufuli tunaomba ujitokeze ujibu hoja hii. Naomba Magufuli nikukumbushe hilo eneo ni pale Kihanga wanapouzia maziwa, na siku hizi kuna ulinzi...
Kwa mjibu wa ratiba Tundu Lissu atakuwa na kampeni Kigoma mjini leo jioni katika maeneo ya Mwanga center. Wakati huo huo Rais Magufuli atakuwa Lake Tanganyika, atakuwa na Rais wa Burundi ambaye amealikwa katika uzinduzi wa jengo la mahakama.
Hofu yangu ni, je, CHADEMA wataruhusiwa kufanya...
Watanzania hawajawahi kuwa wajinga hata siku moja, ni fikra za CHADEMA tu kuwa kanyomi ka Lissu kanaweza badilisha uhalisia kuwa Magu hana mpinzani. Tuwe Wakweli kwenye nafsi na tusijifariji huku Mitandaoni yanayoandikwa in Tofauti kabisa na Hali halisi kwenye uwanja Wa vita. Kama ni idadi ya...
Akiwa mkoani Iringa leo tarehe 13 Septemba, Lissu amesema "Natoa rai kwa Mgombea Urais wa CCM na vyombo vyetu vya habari, kufanikisha mdahalo kuhusu mustakabali wa Taifa letu la Tanzania"
=====
LISSU IRINGA: MDAHALO NA MAGUFULI, MIKOPO ELIMU YA JUU NA HIFADHI YA JAMII KWA WOTE
Mgombea Urais...
Leo mgombea wa Urais kupitia chama cha mapinduzi (CCM), Dkt. John Magufuli yupo jijini Mwanza baada ya kuwasili jana ambapo yeye na chama chake wanatarajia kuzindua kampeni zao jijini humo kwenye uwanja wa CCM Kirumba kuomba ridhaa ya wananchi kuendelea kuongoza serikali.
Mwaka 2015, Dkt...
Kichekesho kimetokea kwa Mheshimiwa Magufuli alipokuwa anapiga kampeni mjini Musoma.
Bila kujua akajikuta ana mpigia kampeni Ezekia Dibogo Wenje kuchaguliwa kuwa mbunge wa Rorya akidhani ndio jina la mgombea wa CCM.
Hii inatokana na jina la Wenje kumtesa moyoni. Mgombea wa CCM anaitwa Jafari...
Kumekucha salama,
Leo tarehe 06.08.2020 mgombea nafasi ya kazi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Kwa Chama cha Mapinduzi, atachukua fomu kwenye ofisi ya NEC makao makuu ya Dodoma.
Baada ya kuchukua fomu ataongea na wananchi pia wanachama wa CCM kwenye ukumbi wa White House...
Hayati Rais Mstaafu Benjamin Mkapa alizaliwa Masasi, Mtwara 12/11/1938 alisoma Shule ya Msingi Ndanda kisha shule ya Sekondari Pugu, Dar
1962 alipata shahada ya kwanza katika Lugha ya Kiingereza kutoka ktk Chuo Kikuu cha Makerere Uganda
1963 alipata shahada ya uzamili katika masuala ya...
Wana JF,
Kuna Wazee wengi mfano wa Wassira bado wana uchu wa kuingia bungeni, Wazee kama Mkuchika piga chini wazee wote kwani ndio waliotudhooofisha kwenye kwenye maendeleo kwenye miaka waliohudumu walikuwa ni ndiyooo kwenda mbele, hawa wazee so kwamba wana lolote Bali ndio waliotengeneza CCM...
Habari wapendwa? Natumaini Wazima wa Afya.
Twende kwenye hoja yetu, ni hivi: Jumapili kulikuwa na Tamasha la kwaya mbalimbali Lengo ni Kumshukuru MUNGU, Sasa kwenye mida kama ya Usiku hivi Kulikuwa na kama Tv ikamuonesha Rais John Pombe Magufuli akiwasalimia waliohudhuria.
Ila Nyuma ya...
Wana Jf,
Katika watu wanaoleta hisia mzito mpaka kufikia hatua ya kutoa machozi ni pale unapoona watu wakishangilia urejeshwaji wa usafiri wa Treni, ufufuaji wa njia nyingi za treni tena nyingine watu walijenga juu yake hata kufika mitalimbo ya chuma kuitumia kama nguzo.
walioshiriki kuua...
Kati ya kipindi ambacho Chadema kinapaswa kuwa makini ni hiki cha kuteua mgombea wake wa urais atakayechuana na bwana jonh wa CCM..!
Kama CHADEMA kitashindwa kupanga kete zake vizuri za kumpata mtu sahihi katika nafasi ya Rais ni dhahiri kitadondokea pua kwenye uchaguzi unaotarajiwa kufanyika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.