Bro, Maisha mtaani ni magumu.
Ukisikia ni magumu unaelewa, moja haikai mbili haisimami. Mbele hauendi, nyuma hakurudiki. Hauoni future.!
Ni kama matumaini nayo yamekata tamaa.
Unajaribu namna zote za kujikwamua ambazo zinatajwa na kijana wa karne ya 21 lakini wapi.... Unabeti mikeka inachanika...