Hapa Tanzania maisha yamekuwa magumu sana. Gharama ya maisha imepanda. Vitu ni ghali sana. Sina hela hata kidogo.
Sidhani kama ni kosa la mtu yeyote isipokuwa mimi ambaye ni mvivu.
Lakini tokea alipoingia madarakani Mwendazake mpaka leo nasota waya.
Naona maisha yanazidi kuwa magumu siku baada...
Habari za jioni wakubwa zangu?
Mimi nimiongoni mwa watu wanao amini kwamba dunia haikutokea yenyewe" Nina kataa.
.Isipo kuwa Nina amini Kuna Kiumbe/viumbe/mungu/miungu wenye hakili kuliko sisi walio iumba dunia yetu nzuli
Kwani ingetosha dunia kutokea ikiwa na jua tu lakini kwanini ikatokea...
Leo asubuhi nikiwa njiani nimeona ajali Moja eneo la ilula na nikiwa nimetulia napitia mitandao nimekutana na picha za ajali Ile. Ukiangalia Ile ajali Ile fuso ilikuwa imeharibika , na jamaa wa fuso walikuwa waungwana wameweka alama zote muhimu barabarani kujua huko mbele unaenda kukutana na...
Na kama unadhani ajira zenye mishahara midogo serikalini wana maisha magumu (mfano uliozoeleka walimu), basi hujui chochote kuhusu biashara, kuna watu wiki nzima hawauzi chochote, Maduka yanafungwa kila kukicha mtu hawezi lipa hata elf 50 ya frem, kufilisiwa nyumba za urithi kwa kushindwa kulipa...
Taifa la Tanzania nakupenda nalipenda jeshi lake nawapenda wanausalama na wana Usalama wa Taifa letu teule Tanzania Tanganyika.
Neno la Mungu lina sema mavuno yapo tayari mtoto anataka kujifungua mimba umefika miezi tisa.
Mtoto huyo je ni wakwetu ama baba yake yupo nje ? Mtoto huyo ana nguvu...
Habari wana Jukwaa,
Nataka kushiriki nanyi kisa changu. Mimi na mume wangu tulikuwa tunapendana sana, lakini kulikuwa na tatizo kubwa—hakuwa mwaminifu. Alikuwa akiendekeza wanawake wa nje ya ndoa yetu. Kwa kweli, nilijaribu kuvumilia hali hiyo, lakini mwisho wa siku, niliamua haiwezekani tena...
nikivuka huu mwezi bila kulala kituo cha polisi sijui
tokea mwezi wa nne nimekuwa na mabalaa kwenye kazi yangu ya ufundi yaani hata sijui inatokeaje
kuna mteja aliniletea tv nch32 ilikuwa ya kubadilisha taa nikamchaji 60 sasa nikafanya kazi yake tu mapema nikampigia simu aje achukue akaniambia...
Mei 3, watu wengi walifurahi kuona Tanzania imepanda kwa nafasi 40 kwenye uhuru wa habari duniani. Yaani mwaka 2023 ilikuwa ya 143, lakini mwaka 2024 imekuwa ya 97. Hii ni kwa mujibu wa ripoti ya Reporters without Borders.
Hata hivyo, ripoti ile inaweka score kwa kila nchi na kila score ina...
- Ni Kampuni ya Xin Tai Mining Company Limited
- Awataka wafanye utafiti na kuongeza thamani kama walivyoainisha kwenye mkataba
- Serikali kutoa utaratibu mpya juu ya msaada wa kiufundi(technical support)
Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde ameitaka Kampuni ya Xin Tai Mining Company...
Ndugu yangu huyu nampa Pole yaani ukweli anatamani kutoka anashindwa afanyaje ndioo maisha yake.
Kati ya watu niliwaonea huruma majuzi ni ndugu yangu huyu hatareee sanaaa.
Tuendelee kumwombea Allah ampe nguvu na timu yake asikate tamaaa.
Asalaam Aleykum wana JF.
Moja kwa moja niingie kwenye mada.
Kila siku mambo yanazidi kuwa magumu kwa walio wengi kutokana na gharama za maisha kupanda kila uchao ilhali kipato kikiwa palepale au kikipungua. Hii inawahusu hata wafanyakazi wa umma na sekta binafsi ambao kiukweli hawajaongezewa...
Nimesikitishwa sana na kitendo cha mwanariadha Mtanzania Gabriel Geay kutomaliza mbio za Boston Marathon na kuachia katikati mara baada ya kuvuka 21km.
Huu ni ukosefu wa uzalendo na kukata tamaa. Hii sio mara ya kwanza kwa kijana wetu kufanya hiki kitendo cha hovyo. Mbio sio kuanza ni kumaliza...
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere amependekeza Serikali ifanye mapitio ya kina ya mgawanyo wa bajeti kwa ajili ya posho za mazingira magumu kwa Maofisa wa Magereza na kuboesha bajeti kuhakikisha ustawi wa Maofisa wa Magereza.
Kupitia Ripoti Kuu ya Mwaka ya...
Mtu akitaka kuishi na wewe kanuni ni kutambulishana kwa wazazi wa pande zote mbili tena physically kama kwao ni mbali hakikisha mnaenda achana na biashara za kutambulishwa kwenye simu ama video call kama ni Kigoma pandeni Saratoga muende.
Flat TV, sofa set, bedsofa, friji na sabufa zisifanye...
Trapped in Oman - BBC Africa Eye documentary
https://m.youtube.com/watch?v=fJTh4Gdn_B8
Wakipewa ahadi kemkem kuwa ajira za ndani nchini Oman zitabadilisha maisha yao, lakini mara wakifika huko hupokonywa hati zao za kusafiria na mikataba.
Baada ya hapo hufanyishwa kazi masaa mengi, kufanyiwa...
Singo maza wanaanza kunyanyasika nyumbani kwao kabisa hali inayowapelekea kuamua kuondoka nyumbani kwenda kupanga ghetto tayari kwa maisha mapya.
Munaijua hali ya maisha ilivyo ngumu duniani kote. Ila Bongo life ni gumu zaidi kwa wanawake maana fursa zote za kipato favorable kwa wanawake ni...
Habari wanajf....... Nawasalim kwa jina la jamuhuri ya jf.......
Leo nipo na mada moja ni kuhusu maisha ya chuoni ....
Mimi nipo chuo fulani Ivi apa Tanzania nasoma bachelor of Accountancy with information technology, Nilichagua hiyo programu maana ni kitu napenda na pia napenda kuwa programmer...
Mchambuzi wa soka Wilson John Oruma amesema umefika wakati wa Simba SC kuachana na kiungo wao mshambuliaji, Clotous Chama kwani hakuna cha ziada atakachowapa.
Oruma amezungumza hayo ikiwa ni siku chache baada ya Chama kuubeba mchezo wao dhidi ya Jwaneng Galaxy na kuibuka na ushindi wa 6-0...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.