mahaba

  1. Jini Mahaba ni dhana tu sio kweli, ni kushindwa kuwajibika kwenye ngono

    Kwa uchunguzi wangu mpaka nimefika hapa naamini hakuna kitu kinaitwa jini mahaba. Hii dhana imekuja baada ya mume au mke kushindwa kutimiza wajibu wake mchezoni na kusingizia mwenza wake ana jini mahaba. Ukweli ni kwamba kuna wanawake na wanaume ambao ngono kwao ni jambo kuu, kwa hiyo...
  2. Wapi wanafaa zaidi: Legelege ila wana full mahaba au wachapakazi ila mabandidu?

    Wakuu Hakuna aliye mkamilifu chini ya jua. Mara nyingi muumba atakujalia kipawa au karama hiki akakunyima ile hiyo ndio hali halisi. Wengine wameenda mbali zaidi kudai hata malaika sio wakamilifu 100%. Sasa kwenye mambo ya mahusiano kuna wanaojulikana wako njema sana kwenye mahaba ila wako...
  3. Dada zetu wakinunuliwa Zawadi na waume zao wanasema Mahaba lakini sisi tukifanya hivyo Kwa wake zetu wanasema tumerogwa!!

    Hivi ndivyo ilivyo wakuu...... Shemeji zetu wanapo onyesha upendo hadharani Kwa dada zetu kuwanunulia zawadi kadhaa wa kadhaa . Dada zetu hufarahii sana na kusema haya mahaba (Upendo/Anapendwa) Ni mara kadhaa tunaona mashemeji wakijenga ukweni. Familia nzima itamsifia sana huyo...
  4. G

    Zambia, Mwanaume aamua kuvunja ndoa baada ya mke wake kulipia milioni 2 kupiga picha na Chris Brown akimkumbatia na kumbusu

    Imetokea Zambia hii, Chris Brown alienda Sauzi kupiga show wiki iliyopita, Mke wa mtu akafunga safari kwenda kumuona, haikuishia hapo akalipia meet and greet, hiki ni kiingilio kwa wale wanaotaka kumuona msanii kule back stage na kupiga nae picha, Chris Brown huwa anatoza dola elfu 1 (shilingi...
  5. Jini mahaba, hawa ni wa kawaida tu

    Kusema ukweli ni viumbe tu wa kawaida kabisa, yaani in soul anaongea na wewe na mtakaa vizuri tu. Ukichepuka analia kule. Then ndio unaanza kuona mabalaa. Machozi yake ni Lulu. Siku ukikutana na huyo mwanamke hutatamani tena kuwa na kitu kinaitwa binadamu? Utaona raha zote zinapatikana pale...
  6. Msaada: Anateswa na jini mahaba, kajaribu kila kitu kimeshindikana

    Wadau jamani tukiacha matani ni wapi mty aende akatolewe jini mahaba anasumbua sana kiasi cha kuua hata walio karibu na huyu dada mpaka nasasa amekuwa anaadhiri sana maisha yake. Ikiwemo uchumba kuharibika na riziki pia kaombewa, kanywa mafuta kafanya kila kitu umri unaenda naombeni mumsaidie...
  7. Mateso anayonipa jini mahaba

    Kwema? Naomba niende kwenye mada binafsi nasumbuliwa na jini mahaba kiukweli kama hujawahi kupitia adhabu ya haya madude unaweza kuonana kama vitu vya kufikirika Mimi binafsi nina umri wa miaka 36 lakini kiuchumi niko kama dogo wa 20+ Yani Kila nachfanya narudishwa nyuma Hatua mia...
  8. Jiji la mahaba Tanga

    Nimekumegea sehemu ndogo ya jiji la Tanga na madhari yake. Karibuni waja leo,kuondoka majaliwa.
  9. Kuna wanawake wanajua mapenzi utadhani ni majini mahaba

    Aisee nimekutana na mwanamke anajua kupita kiasi nimepiga mayowe nyumba nzima wameshtuka, na mimi huwa nikiwa napiga shoo siwezi kujibana sauti. Bora lawana kuliko kujibana sauti naongea nasifia, natukana, najiapiza mwenzenu nina mapenzi mlipuko, Kila style nimezidiwa mimi, alivoikalia mbao...
  10. Rafiki yangu anasumbuliwa na jini mahaba. Je, ni namna gani ya kumtoa?

    Kuna rafiki yangu amekutwa au naweza kusema anasumbuliwa na jambo ambalo dalili zake zinaonyesha kua huenda akawa na jini mahaba ndani yake. Kwaio ameniombea kupitia jukwaa hili la ma great thinkers niweze kumuulizia jambo hili. Dalili zenyewe ambazo kwa maelezo yake ameziona ni kama zinaendana...
  11. Video: Mahaba Mahabati

    Ndoto ya kila Mwanamke ni kuwa na mshikaji kama huyu kwenye msimu huu wa Valentine
  12. A

    Wanawake Hawa kujichora tattoo ya Nabii Geo Davie, ni mahaba au kutafuta fursa?

    Hapo chini ni mgongo wa mwanamke kwa Jina la Elizabeth Benjamin aliyejichora tattoo ya Jina la Geo Davie, na kupelekea Ndoa yake kuvunjika. Lakini alipofika kanisani kwa Nabii Huyo aliweza kuvuta mkwanja kama hongera kwa kujichora tattoo hiyo. Na Sasa msanii Amber Rutty Naye amefuata kwa...
  13. Urafiki, mipaka na mahaba

    Hii ni stori ya ukweli iliyo tokea nchini Tanzania, jijini Arusha mnamo mwaka 2021, mwezi wa septemba ( 9 ) tarehe Kama ya leo 09. usiku wa saa 7, mwanadada mrembo aliye amua kujiua mwenyewe, kuilazimisha roho itoke pasipo idhini ya Mola Mlezi. Watoto , ndugu , Jamaa na marafiki mpaka...
  14. AZAM na Baraka Mpenja punguzeni mahaba kwa Yanga, kuweni professionals

    Jana nilipokuwa nafuatilia gemu ya Yanga, nilikuwa nasikia mahaba ya kupitiliza kwa timu ya Yanga kutoka kwa mtangazaji Baraka Mpenja na hii siyo mara ya kwanza kuliona hili. Jana alikuwa anatoa kauli kama "upande wa pili nao watakuwa wakienda chooni wanasema Yanga kweli anapiga mpira mwingi"...
  15. Wale wadau wa kutembelea Uvinza kwenye UGA wa mahaba tuzungumze hali halisi na balaa lake

    Hello nawasalimu kwa bashasha za ubaharia. Kama rejea ya kichwa Cha habari ilivyo karibu tuseme machache kuhusu mazuri na maswahibu ya mzamo katika wilaya maarufu sana kwenye UGA wa mahaba wilaya pendwa ya Uvinza. Binafsi Mimi nyakati za mazingira masafi huwa nainjoy matembezi ya eneo lote la...
  16. Tafakuri ya FaizaFoxy 8; Ni nini maana ya "Mahaba" (Love)?

    Nimepata tabu kiasi kupata maana halisi ya neno"mapenzi" nikaishia na neno mahaba. Tabu niliyoipata ni katika kuchaguwa namna ya kuiweka sentensi ili ifahamike, kila nilipojaribu neno, nikaona halijakaa sawa, nimejaribu maneno penzi, mapenzi, pendo, upendo nakupenda, sikupendi na kadhalika...
  17. Mwanamke wa kinyamwezi akikupenda ni mtamu sana kwenye mahaba nihabue

    Habari zenu, Hakika kunena ushuhuda ni raha sana ndivyo naweza kusema, mpo, mwanamke wa kinyamwezi mtamu na anayajua mahaba nihabue. Ni fundi na amefundika anaweza hatari sana. Woyo woyo woyo chezea mnyamwezi ni noma. Ni hayo tu wanyamwezi πŸ™πŸ™πŸ™πŸ’―πŸ’―πŸ’―πŸ‘πŸ‘πŸ‘
  18. Waziri Pindi Chana kwani ni lazima kila sehemu utakayoalikwa umtaje kwa Mahaba yote Rais Samia?

    Au labda alikuambia kuwa usipokuwa Unamtaja na Kujikomba Kwake basi atakutumbua upesi? Unaboa mno.....!! Nikiambiwa nimtaje Waziri wa Kwanza wa hovyo kwa sasa katika Serikali ya Rais Samia wala sitochelewa Kumtaja / Kukutaja Pindi Chana na sijui ilikuwaje ukawa Waziri kwani hutoshei na huna pia...
  19. Stori ya Air Manula na mahaba ya mashabiki

    Liked by realclatouschama and 22,638 others 28_manula Baada ya kufanya vipimo hospital ya Taifa MUHIMBILI-MLOGANZILA nilianza safari ya kurudi nyumbani kwetu KILOMBERO Nilifika morogoro mjini mishale ya saa kumi na moja na dakika kumi na nane hivi. Nilipata mapumziko kidogo kisha tukaendelea...
  20. B

    Hodi kwenye Ulimwengu wa Mahaba. Ninaachana na jukwaa la Siasa kwa muda

    Hodi hapa, nitakuwapo kwa muda na pakinipendeza nitabakia hapa. Kule kwenye siasa naona kichwa kinaenda mbio. Nimerudi iliko mioyo. Leo nimekutana na kisa. Hiki kisa cha leo kimenifanya nije hapa kujua kama na wengine mmeshakutana na hili. Mara zote nikiwa na miadi na mwanamke mpya huwa siwezi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…