Vidume wenzangu punguzeni huruma kwa wake au wapenzi wenu mnapokuwa kwenye mahaba.
Hawa viumbe wamapenda kupigwa paipu za maana si mnaona wenyewe wanavyo tutukana humu jamvini?
Wakitoka nje wakikutana na vijana wenye hasira na mbususu wanazisasambua haswa tunaishia kutukanwa kwamba hatuna...
Baada ya kuona hili janga limegusa watu wengi sana hata humu Jukwaani kuna mada nyingi za Shuhuda mbalimbali kuhusu hili lijamaa.
Uzoefu unonesha hakuna aliyefanikiwa kupambana na hili Lijamaa yaani Binaadamu tumelishindwa
Mimi kama muhanga mkubwa wa hili janga sina haja ya kutoa ushuhuda...
Tofauti alivyokuwa mwanzo na sasa kiukweli kuna dalili nimegundua mahaba na penzi nililokuwa nakipata toka kwa mpenzi wangu limeshakufa yaani kuna dalili zinaonesha hapa tiyali nimechokwa lile vibe la treatiwa kama mpenzi limeshakufa yamebaki tuu mazoea tuu.
Kuna time naamua kulianzisha lile...
Habari wanajf wenzangu
Hili swali nimekuwanikijiuliza Sana bila hata kupata majibu.
Binafsi mimi ni mkristo na nimedate na wanawake 8 mpaka right now na katika hao wanawake 8 niliwahi kudate nao wanawake ambao nimefurahia mahusiano nao ni wanawake wa5 tu na katika hao 4 ni wakislamu na 1 ndio...
Yule kijana sidhani kama ame recover vizuri kuchea mechi ngumu hivi, kama unampenda sana subiri mechi za kmc au geita gold umuweke huko siyo mamechi ya kimataifa haya
Mr pablo kuwa serious bana kumbuka Cecafa zone wanaitegemea simba sc
Kwa kifupi tuu, walikutana kwenye daladala, mama alisahau nauli nyumbani, kijana akamlipia na ndio ukawa mwanzo wa uhusiano wao.
Aliyeanza kuvunja ukimya ni bi mdashi, kifupi mama alimtongoza kijana, kijana naye akajaa, mama alikuwa muislam lakini amebadili dini na kuwa mkristo ili kumfuata...
Ikawa asubuhi ikawa jioni....
Habari za jioni Kasiende, nzuri.
Waelekea wapi niunge tela...!!
(Kwani vipi...!! Kuingia tela huko vipii...!?) isiwe ishu...
Naenda kupata mlo wa jioni kisha amsha popo maana godoro limelowekwa linakauka kwa mwanga wa mwezi na nyota....
Huku na kule meza...
Mahabuba, Mpenz, La Aziz,
My Love, My Heartbeat, My Handsome,
My Best Best Friend, My Soulmate,
My Man, My King, My One and Only...
My Pumpkin, My Darling, My Breath...
Most of All, My smile....
You know what, these are sweet nothing words from me to you.
With you I find peace, natural...
Ndoa ni kazi isiyo na mshahara lazima uifanyie kazi ndoa yako .Siku hizi wanawake hawataki pesa zenu tupo juu sana .Heshima muweke mbele mtaachwa .Mzee gates ameachwa document zinaonyesha Hivyo .So wanaume muanze kupika ,piga deki na kufua nguo .wanawake tupo juu Sana,habari ndio hiyo .
PDA Is Off-Limits
Although the couples in the royal family might love each other dearly, they are not supposed to show public displays of affection. Marrying a prince might seem like an actual fairytale, but you can't make a big show of it in public.
Holding Hands Is Even Frowned Upon
This rule...
Ndoa-bila-subra-imani-na-mahaba, huezi ishi kwa ndoa
1. Kama huna subra kwa ndoa yako basi huezi kuishi kwa ndoa na amani ndoa yajengwa na subra kusubiriyana kila moja wenu amsubiriee mwenzake kwa tabia kwa hali na mali ndio mutaeza faidika mukiwa na subraa kwa ndoa yenu ,, jitahidi uwee na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kulihutubia Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
UPDATES:
Rais Samia ameshaingia ndani ya jengo la bunge na sasa Spika wa Bunge Job Ndugai anafuata taratibu za kiitifaki kabla ya Rais kutoa hotuba yake.
HOTUBA YA RAIS...
ajira
atcl
bungeni
changamoto
haki
historia
hotuba
hukumu
kikuu
kufanya
madaktari
magufuli
mahaba
maji
mama samia
moyo
nchi
ndege
ngumu
rais
samia
samia suluhu
serikali
somo
viongozi
wabunge
wanawake
wengi
Mapenzi ni kitu ambacho kwa asilimia kubwa kinatawala katika nafsi ya mwanadamu. Amini usiamini kubali ukatae mapenzi yana thamani sawa na uhai wako.
Mimi ninapokuwa niko free napenda kusikiliza nyimbo zifuatazo kwa utulivu na kwa hisia nzito nikitafakari mengi juu ya wapendwa wanaonipa amani...
Haiwezekani Wewe 24/7 tu Utangazaji wako uwapo hapo Wasafi FM kwa Kushirikiana na Mpuuzi mwenzio Yusuph Mkule nyie Kazi yenu Kuu ni kutafuta tu negative angle ya Kuihusu Simba SC na Kuichafua. Mimi huwa ni mgumu sana Kumsema (Kumnanga) Mtu ila ukiona hadi hivi leo nimekuanzishia hapa JamiiForums...
Kila mara nakutana tu na 'Picha' zao wakiwa 'Wamekumbatiana' na naona kama vile Maalim Seif Sharrif Hamad ndiyo anapenda mno 'Kumkumbatia' Tundu Lissu ambaye nae pia huwa anaonyesha kabisa 'Kufurahia' vile 'anavyokumbatiwa' hasa mbele ya Kadamnasi. Nashauri tu Wiki ijayo Rais Dk. Magufuli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.