Kesi ya jinai iliyofunguliwa na Jamhuri dhidi ya waliokuwa wamiliki wa jengo la ghorofa la Kariakoo, jijini Dar es Salaam lililoporomoka Novemba 16.2024 imeendelea leo kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam
Kesi hiyo inayosikilizwa na Hakimu Mkazi Mkuu Godfrey Mhini leo, Alhamisi...