Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limeeleza kufanikiwa kupunguza makali ya upungufu wa umeme kutoka wastani wa kati ya Megawati 200 hadi 250 wiki iliyopita hadi wastani wa kati ya Megawati 100 - 150 wiki hii.
Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO, Maharage Chande amesema wameendelea kuchukua hatua...
Changamoto za Upungufu wa umeme Kupatiwa Ufumbuzi
Mkurugenzi mkuu wa TANESCO Bw. Maharage Chande akizungumza na waandishi wa habari leo December 2, 2022 kuhusu hatua za muda mfupi na muda mrefu kumaliza upungufu wa umeme .
Mkurugenzi ameongeza kuwa mvua zinazonyesha muda huu nchini bado...
Maharage Chande: Fantastic question Zitto, nianze kwenye kuwapa watu binafsi. Ni kweli kama ulivyosema, TANESCO na wizara ya nishati kwa miaka mingi iliyopita, utekelezaji wa miradi kwenda kwa watu binafsi imekuwa inasuasua, inasuasua kwa sababu kihistoria kumekuwa na kujengeka uoga mwingi...
Hawa kina Maharage Chande kazi imewashinda kabsaa, wameandaa slide kuhadaa umma hatua za JNHP, wakati si kweli.
Kigoma wamezima majenerata, umeme mdogo, unakatikakatika na kusuasua, katoa majibu ya kibabaishaji akimuingiza Ndalichako kutafuta huruma, nonsense kabisa.
Mkurugenzi hilo la kigoma...
Wasalaam wanajamvi!
Sasa ni zaidi ya mwaka mmoja tangu Mh Rais Samia achague mkurugenzi mkuu mpya wa TANESCO bwana Chande Maharage na baada ya hapo Waziri wa Nishati alivunja bodi ya tanesco na kuteua sura mpya ambayo alisema ni ya wataalam na wabobezi wanaojua biashara na ni weledi sana...
Na Bwanku M Bwanku.
Moja ya mradi mkubwa wa kimkakati unaotekelezwa na Taifa letu kwasasa ni Mradi wa kufua umeme kwa kutumia nguvu ya maji maarufu kama Mradi wa kufua umeme wa Bwawa la Mwalimu Nyerere kwenye Mto Rufiji mkoani Pwani.
Mradi huu mkubwa kabisa wa kufua umeme kwa maji utazalisha...
Leo tarehe 23.02.2022 mkurugenzi wa TANESCO, MAHARAGE CHANDE ameongea na vyombo vya habari kwa kueleza umma kuwa hakuna umeme wa tsh 27, 000/= tuache kupeana maneno matamu matamu katika kuendesha shirika hilo. Amesema ni vigumu sana kutofautisha mjini na vijijini kwani wote wanahitaji huduma...
Maharage Chande, Mkurugenzi Mtendaji mpya wa TANESCO ana umri zaidi ya miaka 45. Ameingiaje kwenye utumishi wa Umma ?
Au ni urafiki wake na Waziri wa Nishati January Makamba (cronyism) ndio umempa upendeleo huu ? Makamba ndio amepeleka jina kwa Rais. Rais hamjui Maharage.
Matokeo ya cronyism...
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Maharage Chande kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO, akichukua nafasi ya Dkt. Tito Mwinuka
Kabla ya uteuzi huo, Chande alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Multichoice Afrika Kanda ya Afrika Mashariki na Magharibi
Vilevile, Rais Samia amemteua Omari Issa kuwa Mwenyekiti...
BAADHI ya wafanyakazi wa Benki ya NBC,Tawi la Corporate jijini Dar es Salaam, wamedai kudhalilishwa na mabosi wao kwa kuvuliwa nguo zote.Wakizungumza na gazeti hili jijini Dar es Salaam jana, wafanyakazi hao walisema walifanyiwa hivyo Ijumaa iliyopita.
Tukio la wafanyakazi hao kufanyiwa...
Maharage Chande amenyang'anya nafasi za parking kwa wafanyakazi wa ngazi za chini wa benki ya NBC.Kuanzia sasa nafasi zilizokuwa wanapaki wafanyakazi hao zitakuwa zikitumiwa kwa ajili ya kukodisha wafanyabiashara wakubwa.
Wakuu naombeni CV ya huyu kibopa wa zamani wa Standard Chartered Bank, then Vodacom na sasa NMB ni mtaalamu wa IT na amehusika katika kuchakachua kura kwa kutumia utaalamu wake uliobobea wa IT kwa kushirikishwa na TISS...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.