mahitaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Utaratibu wa huduma rafiki kwa Watu wenye mahitaji maalumu katika Mabasi ya mwendokasi umeyeyuka?

    Kutokana na changamoto ambazo zimekuwa zinawakumba Watu wenye ulemavu pamoja na wale wenye mahitaji maalumu pindi wanapotumia usafiri wa umma, Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar (DART) ilijipambanua kwa kuzingatia kipaumbele cha huduma rafiki kwa makundi hayo suala ambalo lilipigiwa chapuo...
  2. F

    Mahitaji ya watu wa mikoa ya kaskazini ni barabara za lami, reli na mipango miji na sio umeme kutoka Ethiopia!

    Mikoa ya kaskazini imekuwa na umeme tangu zamani. Kwa mfano Kilimanjaro kila kijiji kimeunganishwa na gridi ya Taifa. Kama rais Samia anatafuta kitu cha kuwafanyia watu wa mikoa ya kaskazini basi afanye haya: 1. Barabara za lami 2. Reli ya mpya (SGR) 3. Mipango miji 4. Viwanda Kusema ataleta...
  3. KWA MAHITAJI YA SUB-METER KATA UMEME PITIA HAPA

    Habari za Muda wakuu, Natumai mpo Salama. Leo Hii nawaletea Bidhaa mpya kabisa ya Submetter (Kata Umeme), Submetter hizi ni suluhu ya migogoro ya Umeme kwenye nyumba za Kupanga, Maeneo ya Biashara au Majengo Makubwa ambayo kunakuwa na Luku/Mita moja tu kwa watu wengi. Submetter hizi humpa...
  4. P

    Je, Ulikuwa Unatafuta Jiko Kwa Mahitaji Makubwa Ya Kupika

    Nani Mwingine Anahitaji Jiko la Kisasa kwa Mahitaji Makubwa ya Kupika?" Je ulikuwa unatafuta jiko kwa mahitaji makubwa ya kupika? Kampuni ya jiko bomba sasa wamekuja na suluhu la majiko ya kupikia, Katika taasisi mbalimbali zenye kuhudumia watu wengi Hili Ni Jiko Kubwa La Kupikia Chakula...
  5. Taasisi ya ZAMHSO yatembelea Iringa Girls, yaelezea kuguswa na ushirikiano wanaopata wenye mahitaji maalum

    Sisi Zanzibar Mental Health Support Organization (ZAMHSO)Tulipata nafasi ya kutembelea Iringa Girls, shule ya mjumuisho inayowakaribisha Wanafunzi wa kawaida na wale wenye mahitaji maalum. Ni jambo la kuvutia kuona jinsi shule hii inavyokuza usawa na mshikamano kupitia elimu. Wakati wa kutoa...
  6. Patandi maalum shule ya wanafunzi wenye mahitaji maalumu wasiopatiwa lishe stahiki. Wanakula vyakula visivyoendana na afya zao serikali iimulike!!

    Shule hii ilijengwa ama ilianzishwa na rais john pombe magufuli ! Ni shule iliyobeba wanafunzi wenye ulemavu mchanganyiko ! Ukipata bahati ya kuitembelea unaweza kuangua kilio kulingana na Hali ya wanafunzi ilivyo ! Wako wasio sikia viziwi)wasioona vipofu) walemavu wa viungo wanaotembea kwa...
  7. M

    Wazazi wenye watoto wenye mahitaji maalumu tukutane hapa

    Wazazi wenye watoto wenye mahitaji maalumu tukutane hapa. Autism (Usonji) Visual impairment -kutokuona Hearing impairment- kutosia Ulemavu wa viongo n.k Kuna kituo kizuri Sana kina na boarding hapo hapo. Kipo mikocheni A Kijana wangu yupo hapo nimeona there's some improvement kubwa .
  8. Mkurugenzi Mamlaka ya Maji Mbeya: Maji tunayozalisha ni 58% ya mahitaji yanayotakiwa kwa siku

    Baada ya Mdau wa JamiiForum.com kueleza kuwa hadi leo Januari 21, 2025, Wakazi wa maeneo ya Isyesye hapa Jijini Mbeya hawajapata maji kwa wiki moja, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mbeya (MBEYA UWSA) imefafanua kuwa kuna mgawo na pia uzalishaji haukidhi mahitaji ya Mkoa. Kusoma hoja...
  9. D

    Kwa mahitaji ya nyumba au apartment za kupanga au kununua kwa Dar es salaam na Arusha

    KAMA UKO DAR AU ARUSHA UNAUHITAJI WA NYUMBA AU APARTMENT YA KUPANGA AU KUNUNUA TUPIGIE 0772959929
  10. WANAUME ni watu pekee ambao tunaweza kuvaa pair moja ya kiatu kwa Mwaka mzima ili tu tutimize mahitaji ya familia zetu

    WANAUME ni watu pekee ambao tunaweza kuvaa pair moja ya kiatu kwa mwaka mzima ili tu tutimize mahitaji ya familia zetu. (chakula, ada za watoto, matibabu, mavazi, malazi nk.) Wakati mwingine tunadharaulika na kudhalilishwa sehemu tunakotafuta riziki lakini hatuchoki.✊️ Much respect to us🤛
  11. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Kuzaga asheherekea Krismasi na watoto wenye Mahitaji Maalum

    Jamii yatakiwa kutimiza wajibu wake kuzuia ongezeko la watoto wanaoishi katika mazingira magumu Hayo yamezungumzwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Benjamin Kuzaga Desemba 25, 2024 alipotembelea Kituo cha kulelea watoto wenye mahitaji maalum cha...
  12. Mnikulu, hivi kale ka utaratibu ka kutoa mbuzi na mahitaji kwa vituo vya watu wenye mahitaji maalum wakati wa sikukuu umekasahau?

    Ilikuwa ni kama utamaduni wa jumba jeupe kufanya hivyo kwa mahospitali, vituo via yatima au wazee. Labda mnikulu yuko bize, amesahau kufanya hivyo krismas hii
  13. T

    Mahitaji mdau wa kufanya nae Biashara au anikopeshe au Ushauri

    Wana JF natumaini mko salama. Naomba kushirikisha suala moja hapa, Katika kupambana kwangu na harakati za kujikwamua, nikafanikiwa kununua Kiwanja na kujenga nyumba. Pia nikafungua biashara ya bidhaa za Jumla jumla za Dukani. Nilianza na Mtaji wa milioni 4, Baadae Mtaji ukafika mpaka milioni...
  14. Naibu Waziri: Mahitaji ya Maji Dodoma ni Lita Milioni 149, uzalishaji ni Lita Milioni 79

    Naibu Waziri wa Wizaya ya Maji, Mhandisi Kundo Mathew amesema moja ya changamoto ya uhaba wa maji iliyopo Jijini Dodoma ni kuwa uhitaji wa huduma hiyo ni Lita Milioni 149 kwa siku wakati uzalishaji ni Lita Milioni 79 sawa na Asilimia 52. Amesema Serikali ina mpango wa kuongeza visima maeneo...
  15. Mahitaji msaada wenu wana JF nimekwama, tafadhari nisaidieni.

    Habari za muda huu wana JF. Kama kichwa kinavyojieleza, nahitaji msaada wenu wa kitaalamu. Nina boma langu ambalo nahitaji kulipaua baada ya kukaa muda mrefu bila paa. Nimejaribu kuhesabu na mafundi kadhaa ili wafike pale site na kunipa za bati mahitaji. Hata hivyo, kila mara wanaponitumia...
  16. Natafuta kazi yoyote ya halali yenye kukidhi mahitaji

    Nichukue nafasi hii kuomba nafasi yoyote ya kazi Kwa mtu ambaye yupo tayari kunisaidia kwa hili namba zangu ni 0676917970 Cheti Cha form 4, 6 na Chuo kikuu ninavyo N:B Kazi yoyote Ile nipo tayari
  17. U

    Jeshi Israel lamnasa kamanda Hezbollah alijificha handakini chini ardhini lenye silaha na mahitaji muhimu, apelekwa Israel kuhojiwa

    Wadau hamjamboni nyote? Shughuli inaendelea huko Lebanon Gaidi anaswa live chini ya ardhi huko Lebanon, apelekwa sehemu maalumu kwa ajili ya mahojiano Mungu ibariki Israel Taarifa zaidi kwa kimombo hapo chini: October 13, 2024 IDF troops capture Hezbollah fighter in underground bunker...
  18. Mradi wa ujenzi wa makumbusho haujazingatia mahitaji yetu ya sasa kama taifa

    "Nitoe taarifa kwamba kuna mradi wa makumbusho ya Marais, mradi huu ni mradi no 5221 eneo liko Mtumba na tumetenga bilioni 34 kwa ajili ya mradi huu na mwaka huu tumeanza kutenga bajeti ndogo kama bilioni 1 na eneo lile lina ukubwa wa Ekari 50," - Rais @SuluhuSamia. #UzinduziKitabuChaSokoine...
  19. Mwana FA Aahidi Kuboresha Miundombinu kwa Watoto Wenye Mahitaji Maalum Muheza

    Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Mbunge wa Muheza, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) ameahidi kutatua kero zinazowapata Watoto wenye mahitaji maalum Wilayani Muheza ikiwemo kuboresha miundombinu katika Shule wanazosoma, kuwapatia vifaa vya michezo na kuweka uzio katika Shule...
  20. Meza za Sherehe, Viti vya Harusi, Mapambo na mahitaji mengine ya sherehe

    1. Meza ya Sherehe 450,000 (ya mzunguko wa viti 10 -12) 2. Kiti cha sherehe 80,000 (ni kiti cha kilo 7, sio vile vya 50,000) 3. Vitambaa vya Meza 50,000 (rangi mbalimbali) 4. Kreti ya Glasi 100,000 (zipo za kuhifadhi glasi 25, 36 na 49) 5. Viti vya Maharusi 2,500,000 (kutoka nje) 6. Stuli za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…