Huu ndio ukweli mtupu.
Huwezi kuibuka na hoja zako za maslahi yako halafu ukataka uungwe mkono.
Watu wanataka Elimu bora na shule zinajengwa.
Watu wanataka Zahanati nazo zinajengwa.
Ajira zimeanza kutolewa kwa kasi halafu wewe unaibuka na Maandamano ya kupigania ulaji wa uongozi na ruzuku...
Nilimtongoza kwa Nia ya kumuoa, jobless aneorodhesha mahitaji mengi Hadi nikamchukia ghafla.
Mtu alikuwa kwao hana mishe yeyote lakini anataka anataka maisha ya kifahari wakati kwao ni maskini.
1. Simu ya laki saba
2. Kusuka mtindo wa elfu 70
3. Begi la laki moja
4. Kiatu cha elf 50
5. Bundle...
Kwa ambao hatukusoma sana,si wajuzi wa teknolojia ya Hali ya juu,mitaji mikubwa changamoto kwetu,basi suruhisho la kututoa ktk UMASKINI ni biashara ya duka.
Faida ya duka la mahitaji ya nyumbani,. I)uhakika wa kuuza bidhaa Kila siku kwani watu wengi...
Tumpate mtakwimu atuwekee orodha ya matumizi ya viongozi! (bajeti)
Huenda wanatumia 80% ukilinganisha na mahitaji ya wanamchi nchi nzima!
Maana haiwezekani hadi Leo miaka 60 ya Uhuru tuna umeme wa mgao, barabara mbovu, Hosp zetu hazina uhakika wa huduma!
Mfano; Ebu filkilia hapo ulipo sasa...
Karibu kwa mahitaji ya rim nzuri za kupendezesha gari yako, size tofauti tofauti kwa bei poa kabisa.
Tunapatikana Lumumba St, Dar es Salaam
Whatsapp/ normal call +255626682228
Sina mengi ya kusema ila Makonda ukiweza kutatua kero za wananchi on spot, kurudisha uwajibikaji kwenye ofisi za umma maana waajiriwa wote na watumishi wote wapo kwa udhamini wa CCM so unaweza kuvimba nao, huduma muhimu ziboreshwe, ikiwemo shule, hospitali, miundombinu ya maji, barabara na umeme...
Mvua ndio hizo wadau, usiache shamba lako au nyumba yako ikae kinyonge tuone ''DANI GARDEN"
Tunauza Miche mbalimbali ya matunda kama miembe, mipera, michungwa, milimao, ndimu n.k yote imefanyiwa budding( ya muda mfupi).
Pia tunauza MAUA mbalimbali yakupendezesha nyumba yko bila kisahau miti...
Habari wadau bila kuwachosha. Kichwa cha habari hapo juu kinajieleza kwa ufasaha zaidi mwenye bidhaa hiyo au pengine anafahamu inakopatikana kwa wingi tupeana connection.
Tanzania nzima kila wilaya, kijiji, kata au tarafa lazima kuna kijiwe cha wauza Makonngoro na ngozi za ng'ombe ambazo watu wanakula na kulinda uhai wao.
Hawana uwezo wa kumudu samaki nyama au dagaa.
Hali ni ngumu sana.
Walevi wa pombe kali wanajifariji
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA), Mohamed Saif anafafanua:
"Kwanza sio kweli kwamba hatutoi taarifa kwa wateja wetu kuhusu mgao, mamlaka imekuwa ikitoa taarifa kupitia njia mbalimbali kupitia mitandao yetu...
Hii ni picha ya kueleza utegemezi wa nchi za kiafrika kwa Ukraine na Urusi kwenye mahitaji ya Ngano.
Ukraine nchi yenye watu milioni 30 inalisha Afrika nzima bara lwnye watu Bilioni 1 na ushee.
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Deogratius Ndejembi amesema kuna ulazima wa kutenga maeneo kwa ajili ya ujenzi wa shule ili kukidhi mahitaji yanayotokana na ongezeko la wanafunzi ikiwa ni pamoja na kutatua changamoto wa wanafunzi kutembea umbali mrefu.
Mhe...
Kwa mahitaji ya spea za pikipiki aina zote, brand ya winner kwa Bei ya jumla wasiliana nasi kupitia 0747333320 tunapatikana kariakoo mtaa wa mafia na swahili.
Kwa mikoani TUNATUMA nchi nzima na nchi jiran
Habari, naomba mwenye uzoefu wa kutumia mfumo wa kupata leseni ya biashara online uitwao tausi portal unaopatikana katika tovuti ya Tamisemi, anisaidie namna ya kupata mawasiliano ya huduma kwa wateja, kwani mtandao umekuwa na changamoto ya kuchelewa kutoa control number ili kupata leseni ya...
Dawa za kutuliza maumivu ni dawa tiba kama dawa nyingine za tiba,hivyo zinahitaji kuwa na "prescription" kutoka kwa wataalamu wa afya,lakini cha ajabu dawa hizi zinauzwa kiholela holela tu kama bublish,dawa kama Paracetamol,Panadol,Diclopar,Dawa tatu nk,ukienda maduka ya kawaida unazikuta mtu...
I. Utangulizi
Tanzania, sawa na nchi nyingine duniani, inatambua umuhimu wa elimu kwa maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Kwa miaka mingi, serikali imefanya juhudi kubwa kuendeleza mfumo wa elimu, kutoka kwa elimu ya msingi hadi chuo kikuu. Hata hivyo, bado kuna changamoto nyingi ambazo zinakabili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.