mahitaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Mjema awakumbuka wasiojiweza na wenye mahitaji Dar

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Sophia Edward Mjema Alhamisi Aprili 06, 2023 ametoa futari kwa watu na makundi mbalimbali kwenye Jamii kwenye mwendelezo wa Mwezi huu Mtukufu wa Ramadhan. Mwenezi Mjema kwenye ujumbe wake ameeleza:- "Tukiwa katika Mwezi Mtukufu wa...
  2. P

    INAUZWA Pata Honlg: Pikipiki ya ukweli kwa mahitaji binafsi au kibiashara

    Jipatie pikipiki aina ya HONLG, hii kwa lugha nyingine unaweza kusema ni chopa,ikitembea imetembea mf. Cc 250 ukiondoka na basi toka Dar kwenda Kwanza,basi litakukuta ulishasinzia kabisa. HONLG Cc 150 bei maelekezo Tshs 3.15M Honlg Cc 200 bei Kitonga Tshs 3.5M, HONLG Cc 250 bei mtelemko Tshs...
  3. K

    Bunge la sasa TZ haliendani na mahitaji ya nchi

    Nimefuatilia sana Bunge hili na kugundua lipo nyuma sana kwa mahitaji ya sasa. Serikali imejitahidi sana kubadilisha mambo mengi kuanzia mazingira ya biashara, utalii, miradi, Kilimo, siasa na mahusiano ya nchi za nje. Lkaini Bunge ni kama vile halijitambui . Kwanza Spika hajiamini na hana...
  4. Stephano Mgendanyi

    Dkt. Ritta Kabati Kutoa Bima za Afya kwa Watoto wenye Mahitaji Maalum Mkoa wa Iringa

    MBUNGE MHE. DKT. RITTA KABATI KUTOA BIMA ZA AFYA KWA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM MKOA WA IRINGA MBUNGE VITI MAALUM MKOA WA IRINGA (CCM), Mwenyekiti wa Wabunge wa CCM Iringa, Mjumbe Bodi ya Wasanii COSOTA na Balozi wa Walemavu Bungeni Mhe. Dkt. Ritta Kabati ameahidi kutoa msaada wa jumla ya...
  5. rubii

    INAUZWA Kwa mahitaji ya diffuser za kwenye magari nyumbani ofisini

    Kuna wateja mlikuwa mnataka Sana hizi diffuser za kwenye gari, zimepatikana CHACHE, please kama unahitaji wahi. TSh 60,000 unapata na essential oil 1 👉🏾Posta Samora DSM Tunafanya delivery Mikoani tunatuma Call/whatsapp#0673485081
  6. R

    Karibu kwa huduma za CV design na CV creative writing

    Tunatoa huduma ya kudesign CV za kisasa na zinazo vutia, pia tuna andika CV kwa ubunifu wa hali ya juu. Kwa mawasiliano: 0628673444 au Whatsapp 0767673440. Baadhi ya mifano ya kazi zetu. Bei zetu CV Re-Designing 15,000 New CV and Creative writing 20,000
  7. Pang Fung Mi

    Tuache minyanduo na mahitaji ya mbususu kipindi hiki cha Kwaresma na mfungo wa Ramadhan.

    Ibada ni muhimu sana katika maisha yetu ya kila siku. Nichukue fursa hii kutoa Rai na kuomba mabaharia wote na kauli mbiu zetu tugutuke kuelekea kwenye crisis ya upatikanaji wa mbususu. Tuchukue sample zetu kadhaaa walau nne na kuweka fungu la pesa kwa ajili ya kuwasitiri na kuwatunza kama...
  8. DR HAYA LAND

    Mahitaji yetu ya msingi ni machache Sana., na ambayo sio ya msingi ni mengi sana

    Binadamu mahitaji yake ya kila siku ni machache. Chakula Kulala sehemu Safi /makazi
  9. G

    Kwa mahitaji ya business cards

    Habari, ninatoa huduma ya kudesign business card na kuprint gharama ni Tsh 25,000/= kwa pisi 100 ukihitaji unaweza kupiga kwa 0767330618
  10. BAKIIF Islamic

    Tupunguze kujenga Misikiti, hakuna Uislamu kama hakuna maendeleo ya waumini

    Maendeleo ni muhimu katika jamii za Kiislamu. Uislamu na maendeleo ndiko kutakidhi mahitaji ya kimsingi ya watu. Kiwango cha maendeleo duni katika maeneo ya Wailslamu hapa nchini kinaonyeshwa kwa kutumia mifano iliyo hai. Maeneo mengi ya Waislamu kuna tatizo kubwa la kukidhi mahitaji ya...
  11. Roving Journalist

    Prof. Mkenda: Wazazi wenye watoto wenye mahitaji maalum msiwafiche ndani badala yake wawapeleke shule kwa kuwa zipo shule maalum

    Na WyEST Masasi, MTWARA Wito umetolewa kwa wazazi wenye watoto wenye mahitaji maalum kutowaficha watoto ndani badala yake wawapeleke shule kwa kuwa zipo shule maalum kwa ajili ya watoto hao. Hayo yamesemwa na Prof. Adolf Mkenda, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia alipokuwa akizindua...
  12. Ubungo Mataa

    Biashara ya bodaboda vs biashara ya duka la nafaka na mahitaji ya nyumbani

    Wanabodi.. Heshima mbele! Moja kwa moja kwenye msada, kuna 10M iko mahali, nawaza niiweke wapi kati ya kununua bodaboda nne niwape watu wakuleta hesabu kwa siku/ week ama nifungue duka ambalo roughly litakuwa kama la 8M maana 2M itaendwa kwenye running cost na kodi. Msaada!
  13. Wakusoma 12

    Watalaamu watuambie, Mahitaji ya Umeme yanaendana na idadi ya watu?

    Maharage Chande bosi wa Tanesco anasema kuwa Kwa kuwa idadi ya watanzania ni milioni 60 basi Mahitaji ya Umeme ni megawatt 60000. Kweli jamani Megawatt 60000 anazijua huyu ama anabwabwaja tu. Mkurugenzi mtendaji wa shirika la umeme ndugu Maharage Chande amesema kuwa watanzania tutaendelea...
  14. Yofav

    Kwa mahitaji ya Wallpapers, Na installation kupamba ndani kwako, pitia uzi huu

    HABARI WAKUU, Kwanza nianze na gharama ya kila kitu kwa ufupi kisha mwisho ni malize na sample ya kazi zangu, •Roller moja ya wallpaper ni Tsh.20,000/= ina urefu mita 10, Upana Cm 50 so kwa expirience yangu roller moja huwa unamaliza mita 1.5 ya upande mmoja wa kuta. •Gundi ni Tsh.10,000/= hii...
  15. MakinikiA

    Ni bora utumwani penye mahitaji muhimu kuliko uhuru pasipo na mahitaji muhimu

    Hata waisrael walifikia kipindi kuchoka na shida wanazopata safarini kuelekea kaanani walitamani Musa awarudishe Misri kwa farao utumwani walipata mahitaji muhimu.
  16. Jelamashele

    Vitu vya promotion sio ziada. Ni namna ya muuzaji kuokoa hasara. Na mtumiaji kupata nafuu kwa mahitaji ya muda Fulani

    Naona kuna dhana kuwa promotion ni fadhila au ziada. Sio kweli. Promotion ni mbinu za kuokoa hasara na pia kulazimisha kuweka hela kibindoni katik muda Fulani. Huku ukimlazismisha mteja kujipanga na kuruhusu hela yake iwe Kati mauzo ya mtoa huduma bila kurudishwa. Ni mkataba wa huduma au bidhaa...
  17. Shujaa Mwendazake

    Poland inaorodhesha mahitaji ya fidia ya WWII kutoka Ujerumani

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Poland imetoa orodha ya fidia ambazo taifa hilo linatafuta kutoka kwa Ujerumani kwa hasara inayoonekana na isiyoonekana iliyopata wakati wa Vita vya Kidunia vya pili. Yaliyomo katika agizo la ulipaji fidia la Poland lililotumwa Berlin mapema mwezi huu yaliwekwa wazi...
  18. J

    Rais Samia atoa msaada wa mahitaji kwa watoto njiti Kigoma

    RAIS SAMIA ATOA MSAADA WA MAHITAJI KWA WATOTO NJITI KIGOMA. OR.TAMISEMI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametoa Msaada wa mahitaji muhimu kwa mama waliojifungua watoto njiti katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Maweni, Kigoma. Mahitaji hayo yamekabidhiwa na...
  19. JanguKamaJangu

    Wenye mahitaji maalum waongezewe dakika mitihani ya darasa la 7, kesho Oktoba 5, 2022

    Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani (NECTA), Athumani Amasi, amewataka wasimamizi wa mitihani ya darasa la saba inayoanza kesho Oktoba 5, kulinda haki ya watahiniwa wenye mahitaji maalum kwa kuwapatia mitihani yenye maandishi ya nukta nundu kwa wenye uono hafifu. Na kwamba watahiniwa...
  20. de carter jr

    Kwa mahitahi ya nyumba na Hostel Karibu na Chuo Cha Diplomasi, TIA na IFM

    Kwa Wanachuo waliochaguliwa na wanaosoma TIA,Diplomasia,IFM na Mwalimu Nyerere vyumba vyakupangisha na hostels zinapatikana 📍 Kwa Aziz Alli -Single Rooms Kwanzia 50,000 - 80,000 -Master Room (Chumba na Choo Ndani) Kwanzia 100,000- 150,000 -Chumba Choo Na Jiko (Master Room na Jiko ) Kwanzia...
Back
Top Bottom