mahmoud abbas

  1. Webabu

    Mahmoud Abbas kama wenzake amedanganya tu.Hajaenda Gaza

    Alipokuwa nchini Uturuki wiki iliyopita kiongozi wa mamlaka ya Palestina alihutubia bunge la nchi hiyo na kujigamba kuwa akirudi nyumbani atakwenda Gaza kwani eneo hilo ni sehemu ya Palestina na hatoruhusu litawaliwe na Israel.Wabunge wa bunge walimshangilia sana. Tangu arudi ni wiki sasa na...
  2. Webabu

    Hali imebadilika ghafla Mashariki ya Kati. Iran yaanza na Marekani wakati Jordan na Mahmoud Abbas waanza kuiandama Israel

    Iran imeanza kuiadhibu Marekani kwanza kabla ya kuingia Israel baada ya kifo cha Ismael Haniye. Makombora kadhaa yamerushwa kwenye kambi ya Marekani iliyoko Iraq na kusababisha maafa makubwa kwenye kambi hiyo. Sambamba na hilo kiongozi wa mamlaka ya Palestina ambaye daima huonekana kuwa karibu...
Back
Top Bottom