Sisi Watibeli Moja ya miiko yetu ni kutokuwa waharibifu. Hatuharibu vitu vizima. Hatuharibu vitu ambavyo ni vyema. Ukiwa mwema Sisi Watibeli hatuwezi kukutendea ubaya. Hiyo ni Kanuni yetu na ipo damuni.
Watibeli ni mwiko kuharibu wanawake waliowaaminifu. Wanawake Safi hatuwezi kuwachafua...
Mapenzi hayana bima wala hayana formula maalumu ambayo kila mtu anaweza kuitumia na kupata matokeo yenye kufanana.
Unaweza kutengana na mwenza wako saa yoyote,muda wowote bila kujali uwekezaji wako kwake.Hauwezi kudumisha mahusiano kama mwenza wako ameamua muachane.Utadumu na mwenza wako pale...
Kuelekea 2025 .
Kauli mbiu ni "Protect your Energy" (Linda nguvu yako).
Katika maisha kuna mambo mengi Sana ambayo huleta destruction , disappointment and heart fainted.
Katika mahusiano
Usihangaike kumbadilisha mwanamke / mwanaume ili aendane na wewe utaumia Sana Ila wewe unaweza kubadilika...
Kwa wanandoa wengi, kuanzisha biashara ya pamoja ni ndoto ya kuwa washirika wa maisha na kazi.
Unapomuona mpenzi wako sio tu kama mwenza wa maisha bali pia mshirika wa biashara, inatoa nafasi ya kuimarisha uhusiano wa kifamilia na kifedha.
Lakini wakati ndoto hiyo inaweza kuonekana kama...
Nakwenda kwenye maada
Siku ya ijumaa mke wangu alitoroka na kisa cha kutoroka ni wiki mbili zilizopita mama mkwe aliniomba aondoke sehemu na mke wangu na mimi kulingana na mipango ya hapa kwangu nikaona nimebanana nikamwambia mama mkwe sina nafasi kwa sasa mama akanielewa ikapita hiyo
Sasa...
Mimi ni kijana wa miaka 25 nina mpenzi wangu ambae tumekua na mahusiano kwa kipindi cha miaka sita sasa yeye pia ana umri sawa na mimi lakini amenizidi miezi kadhaa
Tumekua na mahusiano ambayo tumekua tunaishi kwa kusaidiana kwa jambo lolote lile
Mwenzangu alibahatika kupata kazi mapema baada...
Kila siku tunasikia mijadala inayoibuka kuhusu privacy kwenye mahusiano, na swali kubwa ni hili: Je, wanandoa wa kisasa wanapaswa kupeana password za simu zao au kila mtu abaki na yake? Tuko kwenye enzi ya teknolojia, ambapo simu imekuwa sehemu muhimu ya maisha ya mtu binafsi – kuna wale...
Kuna baadhi ya dada zetu wamesoma na wanaelimu nzuri tu. Lakini wasomi wakike jamani wanaringa sana na kujiona wao ndiyo kila kitu na dharau za kutosha.
Wengi wao wanaona wao ndiyo bora mbele ya mwanaume lakini hata huko maofisini wapejipa majina yao wakijiita mafemenisti mh jamani ni balaa...
Iko hivi hapa nimepanga niko natoka kimapenzi na mpangaji mwenzangu.
Kinachoniudhi huyu bi mdada mara aje na wanaume awapikie wale wasepe, mara aondoke akalale hukoo simuoni kurudi.
Daaah ni shida sana
Nipo kwenye mahusiano na binti 2 years aliasomea ualimu na kazi hajawah pata mahusiano 2 years hakuna nachofaidika zaidi ya mbususu hana offer yyte hata likitokea la kutokea napambana mwenyewe.
Hapa kati kati akawa anafosi nimuowe nikamwambia tu wewe hapo ulipo tabia zako halisi bado...
Katika hali ya kawaida watu wengi hujikuta wamefanya makosa mbali mbali ikiwamo ya Usaliti.
Makosa hayo yanaweza kufanyika kwa kukusudia au kwa kutokukusudia.
Wakati mwingine inakubidi ufanye kosa hilo ili uweze kufanikisha Jambo fulani.
Je limewahi kukutokea hili, na ulivukaje?
Katika Harakati za Kila siku basi mdachu 🤣maeneo fulani dodoma mara Rafiki angu wa kike ambae hatukua na mazoea sana akapiga simu gari yake "24.O Harrier" Tako la nyani imekamwa njiani ameishiwa uwese/mafuta
Mimi Niko town AREA D wakati huo Sina gari wala pikipiki, ikabidi nichukue kidumu cha...
Habari za usiku huu wakuu, kuna mwanamke nimeishinae kwa muda wa miaka miwili, kutokana na tabia zake za ajabu ajabu siku hizi amebadilika sana, kinachonifanya nishindwe kufanya maamuzi nimemzoea sana mwanamke wangu amekuwa alikuwa malaya ila akaahidi kuwa atatulia na kuwa mwanamke bora...
Nawashukuru kwa mawazo yenu nyote, nimepata maamuzi mazuri ya kuchukua. Nimegundua humu jf kuna watu hawana busara. Mtu akileta wazo unatukana kwanini!?
Hello JF,
Mwenzenu nimenuniwa Na mwanaume Wangu siku ya 3 Leo sijui kosa langu ni Nini. Last time kuongea Nae ilikua jumapili na tuliongea vizuri tu Kesho yake kimya nilimpigia Na SMS nikamtumia nikamuliza tatizo nini hakunijibu. Mpaka dk hii kimya. Na social media anaingia vizuri tu. Na Mimi...
Watu wengi hutumia Majina mazuri ya kuvutia kwa watu wanaowapenda.
Na kuna wale wenye wapenzi wengi hutumia Majina ambayo sio mazuri sana kuwa save watu hao kwenye simu zao.
Mimi nime msave 💖 wewe je, umemuandika vipi?
Iko hivi mimi nina mke wangu, sasa anarudi kati ya siku hizi mbili toka huko Uarabuni, alikuwa anafanya kazi.
Sasa kilichonileta ni kwamba yeye anakuja na tumekuwa hatujaonana kwa miaka miwili.
Sasa sasa mm nilimdanganya miaka yote sijafanya mapenzi na mwanamke yoyote kitu ambacho si kweli...
Mwanandani wangu wa kike amekuwa na tabia kuvutia mambo kwao mathalani kuwafundisha watoto tamaduni za kwao ikiwemo lugha na kusifia mambo mengi ya kwao. (kabila lake).
Sasa Jana ghafla akaanza kumuongelea baba yake mzazi kiufupi siye aliyemlea alimzaa tu wakalea wengine hata MAHARI hakupokea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.