mahusiano katika ndoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Wanaume ni kwamba hamtakagi kupendwa ama ni nini?

    Unakuta Mwanaume mwanzoni mwa ndoa au mahusiano anakua na juhudi sana na wewe utapigiwa sana message kwa sana mawasiliano asubuhi mchana jioni attention kwa sana the moment tu mwanamke ameanza tu ku reciprocate the love ni kama anakua ameharibu. Mwanaume huyo anaanza kurelax juhudi zinapungua...
  2. C

    Ndoa yangu ikitimiza Miaka 20 nitasherekea 20th anniversary japo mimi si Mkrisitu

    Jamani wenzangu tuliomo kwenye ndoa zaidi ya miaka 15 njooni tupongezane ndoa sio mchezo wa Simba na Yanga ndoa inahitaji mental maturity and stable income, hususani ukiamua kua na wake wawili, ndoa ya mke moja inatesa mno, nilianza ikanishinda. Nimebakiza miaka mitatu ni timize 20th...
  3. W

    Katika ndoa, hisia ya Mume ni Upendo na hisia ya Mke ni Uhitaji!

    Hili ni gumu kufikirika, ila ukikaza fuvu lako vema utang'amua! Nimetaja ndoa, ila of course ni kwenye mahusiano ya mapenzi baina ya mwanaume na mwanamke Tumezoea kuambiwa ndoa ni ya wapendanao. Jamani hii si kweli. Mwanamke hajapewa nafsi ya Upendo! Alichonacho moyoni ni Uhitaji tu. Anahitaji...
  4. realMamy

    Utafanya nini endapo utagundua kuwa umeingia kwenye ndoa na mtu ambaye si sahihi?

    Katika utafiti mdogo nilioufanya nimegundua watu wengi waliingia kwenye ndoa bila kujuana vizuri kiundani. Sasa baada ya kuingia kwenye ndoa ndipo Mke/Mume anagundua mapungufu Mengi kwa mwenzi wake ambayo hakuyajua kabla ya Ndoa. Kama ilivyo ndoa za Kikristo zinasema hadi Kifo kiwatenganishe...
  5. N

    Vipi Mdau, Ukiona sign gani kwenye mahusiano ya kimapenzi unajua hapa hatufiki mbali?

    Kuna sign au ishara gani ambazo tunaziona mwanzoni mwa uhusiano tunajua kuwa hapa hamna kitu huu uhusiano haufiki popote. Mi nikiona Mwanaume hanipi hela wala haongelei habari za hela yee maneno matupu tupu tu, moja kwa moja najua hatutofika mbali. Naanza kumpotezea akipiga simu sipokei na...
  6. M

    Mwanamke anaweza kumpima Mwanaume kama anampenda kwa kutumia vigezo gani?

    Mwanamke anaweza kumpima mwanaume kwamba anampenda kwakutumia vigezo gani? Naombeni wataalam mnieleze hii imekaaje.
  7. Baba Dayana

    Mpenzi wangu kabadilika kwa sasa hata mawasiliano ni magumu kati yetu

    Sasa Iko ivi Mimi na mapenzi basi maana huyu mtoto wa kike nilimpenda japo nilimkuta na mimba ambayo mpaka leo mshikaji aliyempa iyo mimba sijawahi kuonana nae. Mbaya zaidi ni kwamba licha ya kuchukua majukumu ya Mwanaume mwenzangu uyu Mtoto wa kike nilimpenda sana imagine simu nilimnunulia ila...
  8. S

    Chama cha kataa ndoa kidumu

    Kama Uzi unavyo jieleza! leo ndio nimejua nyumba zinaficha mengi . Leo nimeshuhudia ndoa iliyokuwa inatazamwa kama mfano hapa mtaani kwetu inaishia ukingoni. Baada ya sokombingo kali kati ya mume na mke huku mwanamke huyo akijitoa maneno makali mbele ya watoto wa kuwazaa amesikika akihadithia...
  9. W

    Napinga kabisa dhana ya "Mume ni Provider" katika ndoa

    Ndio, napinga!, Ni dhana ya uongo na inakiuka kabisa asili ya maisha ya ndoa! Ndoa ni muunganiko wa mtu mume na mtu mke na kuzaa watoto kisha kuwatunza. Jumuia hii ya familia inahitaji mahitaji mbalimbali ya maisha kwa maendeleo yake. Kuna watu wachache wanaibuka hapa bila hata chembe ya aibu...
  10. Liverpool VPN

    Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

    Maana ya Ndoa Ndoa ni muunganiko kati ya mwanamume na mwanamke, walio amua kwa ridhaa yao wenyewe kuishi pamoja kama mke na mume mpaka mwisho wa maisha yao ya ndoa. Aina za ndoa kwa mujibu wa sheria Kuna aina mbili tu za ndoa zinazotambulika na sheria ya ndoa Tanzania Ndoa ya mke mmoja na mume...
Back
Top Bottom