mahusiano na urafiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Vijana Kutumia Akili Unde (AI) kwa Ushauri wa Mahusiano na Urafiki

    Tafiti iliyofanyika nchini Marekani ionyesha kwa asilimia kubwa Vijana wanatumia akili Unde ( Artificial Intelligence AI) Kwa ushauri wa Mahusiano, kama rafiki wa karibu zaidi ya Uhalisia na msaada kitaaluma Ripoti mpya kutoka shirika la Common Sense Media inaonyesha kuwa zaidi ya asilimia 70...
  2. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Sababu 3 kwanini Watu wanakudharau, wanakuchukulia poa, wanakupanda kichwani

    Sababu ya kwanza mpaka ya tatu 1.UNAKUBALIKI UKOSOLEWA/KUPONGEZWA BILA KUFANYA UCHUNGUZI Ni rahisi sana kukaribisha watu wenye nia mbaya ya kukudhuru na kukuangamiza kabisa katika maisha yako kama upo na tabia ya kukubali kusifiwa sana au kukosolewa kwa maneno makali sana bila kufanya...
  3. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Kijana ahukumiwa miezi 6 jela kwa kuva sare za JWTZ ili kumshawishi mchumba wake kuwa yeye ni Askari

    Wakuu, Tunaposema vijana muwe makini na mapenzi hii ndio maana yake ================================================= Mahakama ya Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza imemhukumu kifungo cha miezi sita Rajabu Reli (22), mkazi wa Sengerema baada ya kukutwa na hatia ya kuvaa sare za Jeshi la...
Back
Top Bottom