Huwa nawaza how it all happens—mnakutana kwa mara ya kwanza, and she's the most beautiful woman you've seen in a long time. Kuna ile excitement ya mwanzo, mazungumzo yanakuwa ya kuvutia, kila kitu kinaonekana fresh na perfect. Mnapendana bila kujizuia, kila mmoja akiwa tayari kufanya chochote...
Wakuu
Naishi vipi na huyu mrembo wa kishua kama rafiki tu, naona haiwezekani.
Nitumie njia gani huu urafiki wa kawaida unipe tunda hili.
Wataalamu na wabobezi wa jf nijuzeni kwa niaba ya wadau wengine pia
Asante
Mahusiano naona kabisa ni uwekezaji mkubwa unaohitaji Muda PEsa na nguvu
Kijana tafuta njia ya kuondoa hisia zako kama mazoezi
Kwenda Kwa wahaya
Ila Achana na viumbe wanawake katika hatua zako za mwanzo za utafutaji
📖Mhadhara (65)✍️
Si kila mwanamke au mwanaume ambaye mtakuwa marafiki ni lazima utembee nae au awe mpenzi wako, utapoteza marafiki wengi wa faida kwasababu ya kutaka kuwa nao kwenye mahusiano ya kimapenzi.
Mara zote tendo la ngono hufifisha ukaribu. Unaweza kumwona fulani (ambaye ni rafiki...
Umuofia kwenu ndugu zangu JF,
Mara kadha wa kadha kumekua na malalamiko kwa watu mbalimbali kuhusiana na long distance relationship, ambapo watu wengi wenye mahusiano kama haya wamekua wakilalamika, kuhangaika na hata kupoteza matumaini, na kwakweli wamekosa kuaminiana na kupelekea kulegalega...
Mahusiano ya kimapenzi kwa sasa kama huna pesa mwanamke atakutesa Sana Atakudharau nainawezekana akakuacha kabisa au kukawa na migogoro isiyo isha.(wanaume tutafuteni pesa)
Kama kuna mtu anabisha aje na hoja au kama una chakuongezea unaweza ongezea.
Nimekuwa nikisoma na kufuatilia baadhi ya visa vya kweli katika vitabu na mitandao ya kijamii vinavyohusu mahusiano na ndoa kuvunjika na moja ya sababu zinazosababisha kutokea hayo ni Mahali pa kazi.
Wake kwa waume wamekuwa wakilalamika kuachwa na mtu wake kwa sababu ya mfanyakazi mwenzie...
Jamani naombeni ushauri, kuna mwanamke nampenda sana nae ananipenda sana tuliahidiana kuoana., Sasa kuna changamoto imejitokeza tena kubwa sana kumbe kabla yangu, aliunganishiwaga mwanaume mwingine na wazazi wake, nayeye kwakua alikua hana mtu mwingine alikubali.
Ikaendaa yule jamaa akakaa muda...
Katika dunia ya mahusiano ya kimapenzi, tofauti za umri kati ya wenzi ni jambo ambalo linaweza kuleta changamoto na fursa za kipekee. Utafiti wa kina umeonyesha kuwa tofauti hizi zinaweza kuathiri mienendo, malengo, na matarajio ya wahusiano. Nadharia mbalimbali, kama vile Nadharia ya Mwitikio...
Zingatia sana unapoanzisha mahusiano mapya
Kila mwanaume anatarajia kupata sex kutoka kwa mwanamke wake.
Ladies, Mwanaume anapokutongoza, moja ya kitu anatarajia kutoka kwako ni SEX.
Hivyo unapomwambie "Nakupenda pia" ni sawasawa na kusema hivi "Nimekubali, Na Nipo Tayari Kukupa Mwili Wangu"...
katika harakati za mahusiano, uchumba na pengine ndoa, kuna visa na mikasa mbalimbali hutokea, mingine ya kufedhehesha na ya aibu, ya kutia moyo, nguvu na ya kukatisha tamaa...
Ni mkasa au kisa kipi huwezi kisahau kwa kufupi? Na kisa hicho kilikupa nguvu au kilikukatisha tamaa?:DisGonBGud:
Kwanini umfukuzie naye wakati haonyeshi juhudi zake kukufukuzia?
Nilikumbuka nilipokuwa nikiburudika na Ex wangu, Sally. Alikuwa na mazoea ya kuweka simu yake kwenye silent wakati wowote nikiwa naye. Siku hii, simu yake iliendelea kulia, ikionyesha simu zinazoingia, lakini aliendelea kukataa...
Kwa mnaomjua Penina ana grocery hapo Goba Center pembeni ya baa ya Trinnidad kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake.
Wanawake kuweni sana makini this time watu wamevurugwa sana!
UPDATES:
Mtuhumiwa baada ya kumuua alienda polisi mdogomdogo maana ni kama dakika mbili kwa...
chupa
goba center
kabla
mahusianomahusianoyakimapenzi
marehemu
mauaji ya kimahusiano
mauaji ya mapenzi
mauji goba cent
mwanaume
mwanaume mwingine
mwingine
nani
siku
tena
wewe
Habari za wakati huu wakuu,
Bila kupoteza muda, na kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba kujua kuhusu sheria za Tanzania zinazokataza mahusiano ya kimapenzi au kuzaliana kati ya ndugu (Incest).
Nimeona machapisho mengi kuhusu ndoa zisizofanikiwa. Kuna sababu nyingi zinazochangia ndoa kufeli ambazo ni pamoja na kudanganywa, kukosa uaminifu kati yao, Ukata wa fedha. Lakini Wengine huamka tu asubuhi na kugundua kuwa wake zao/mme wake hana mvuto tena [walimlazimisha ]. Hizi ni baadhi tu ya...
Hebu sema ukweli wako?
Swali kwa wote, hivi unaweza kuwa na urafiki wa karibu na mume wa mtu au mke wa mtu bila kuwanae kwenye mahusiano ya kimapenzi?
#nyumayapazia
Wakurungwaaa najeee?
Kwa sisi wadau wa nyumba za kupanga kwa namna fulani unaweza kujikuta umevutiwa na jirani yako fulani kwa namna moja au nyingine. Au unaweza kujikuta unaangukia kwenye mahusiano na Mwanamke au mwanaume anayeishi karibu sana na nyumbani kwako.
Je, kuna faida au hasara...
Baada ya purukushani za muda mrefu sana na haya maisha nimegundua kukosa umakini wa kufikiri na kuamua mambo kwa weledi yamepeleka mahusiano ya mapenzi kuwa ndio chanzo kikuu cha watu wengi kupoteza mielekeo mizuri ya maisha.
Ujana, utu uzima na uzee una mambo mengi sana ambayo huwezi...
Habari wana jamvi?
Kama kichwa kinavyojieleza nimeanzisha thread hii ili itusaidie sisi kujua je hizi ndoto zinatofautiana au sawa kwa watu sawa au wanaoishi maeneo tofauti lakini zinakuwa na maana moja au ni tofauti?
Andika ndoto yako ya usiku wa leo hata siku zijazo utakazoota hii...
Kama jamii ya watanzania na Kwa maadili yetu, tunategemea kuona watoto wa kike wakipata malezi Bora na ushauri nasaha kuhusu mahusiano na athari za mahusiano ya kimapenzi hasa Kwa wale wa mwaka wa kwanza katika elimu ya chuo Kwa ngazi ya shahada.
Wanafunzi wengi wa kike hujikuta wakiangukia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.