mahusiano ya kimapenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KAGAMEE

    Umewahi kuwa na Mahusiano ya kimapenzi na Mchawi? ilikuwaje?

    Wakuu habari zenu, Binafsi nikikumbuka mpka nasema kweli Mungu yupo. Yule dada alikuwa mchawi kweli kweli na kila mtu alimuogopa. Mimi baada ya kutoka chuo nikaenda kumtembelea babu kijijini mitaa ile nikamuona binti mrembo balaa nikasema huyu ndo level za sisi wasomi. To make story short...
  2. reymage

    Wanawake ndoa ni utii, acheni kujaza ujinga wadogo zenu

    Assalamualaikum nnawatakia mifungo mema. Dear girl child kama una malengo ya kuolewa ukae ukijua mwanaume ni kiongozi wa familia aliumbwa yeye ikapita miaka 40 ndo ukatolewa ubavu wake akaumbwa mwanamke. Mungu fundi hakuna sababu ya kuumba sote wawili mmoja ametokana na mwenziwee awe msaidizi...
  3. M

    Ushauri: Nataka kufanya lolote kuzuia asiolewe, bado nampenda sana

    Siwezi kukubali bora nimuharibie asiolewe tukose wote! Ipo hivi wakuu, hapa nipo na machungu sana moyoni, kuna binti kipindi nipo chuo mwaka wa kwanza 2015 nilimpenda tukawa kwenye mahusiano, of course nilikuwa good guy kwake, na tulipanga vingi sana lakini ndani ya miezi sita akaniacha bila ya...
  4. Hemedy Jr Junior

    Ngono na kifo vipo karibu, umeoa/umeolewa tulizana na ndoa yako

    Habari wa jukwaa, Kuna watu wengi wanafeli hapa, unakuta mwanaume kaoa halafu anamtamani mke wa mwenzie. Hivi siku ukamfuma wa kwako itakuwaje? Jambazi akiibiwa uwa anaua, lakini yeye hajui kuwa mtu akiibiwa huwa anapata matatizo gani. Ukioa punguza mihemko, maji ndio yale yale sema visima...
  5. C

    Wanawake hawatangazi mwanaume masikini

    Ukiona mwanamke anakuweka kwenye profile zake za mitandao ya kijamii au billboard anakutajataja kwenye maadishi yake na kwa marafiki zake, jua tu yeye ndio ana kufaidi kuliko wewe unavyodhani. Mwanamke hawezi kutangaza mwanaume masikini hata kama unampenda kiasi gani, ukiwa mkata nyasi wewe...
  6. Pang Fung Mi

    Bikra siyo chanjo ya kuchapiwa

    Wasalaam JF, Mtengeneza njia ni mmoja kwa matumizi ya walio wengi. Mwanakulianza ni mwanamajumui wa kugawa upendo. Ulivyopewa wewe bila mbambamba hata bustani ya Eden nyoka aliwekwa kwa tafsiri yake. Tuwasifie na wanaotupokea vijiti upele. Wameupiga mwingi. Wadiz
  7. nashukuru mzima

    Mwanamke akiweza kumiliki vitu hivi ni ngumu ndoa Kudumu

    Habari za jioni, tunashukuru Mungu kwa uzima aliotupa. Katika ulimwengu huu tunaoishi katika dunia ya utandawazi ambayo imeonekana imejitosheleza katika kila sekta, ila kuna taasisi moja kubwa sana ambayo ni Nndoa, taasisi hii inaundwa na mwanamke na mwanaume matokeo ya muda mrefu hadi mfupi...
  8. McCollum

    Napoteza hamu ya mahusiano muda mfupi baada ya kuyaanzisha. Je, hii ni hali ya kawaida?

    Habari kwa wanajukwaa, ni matumaini yangu muwazima wa afya. Kwa wenzetu ambao wanapitia changamoto za kiafya nawatakia kupona au kupata ahueni kwa haraka. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada, mimi ni kijana wa umri wa kuelekea 30's kwakuwa sasa niko kwenye 20's mwisho huko. Sikujua...
  9. Infinite_Kiumeni

    Njia ya kuongea na mwanamke ipasavyo ili afunguke kukwambia kila kitu

    Ili mwanamke afunguke kwako lazima ajisikie amani na usalama kwako. Wanaume wengi huwa wanawapotezea wanawake zao kwenye kuongea, ndio mana wanawake wao pia huwapotezea kitandani. Sababu mwanamke anaona haujali hisia zake. Njia hii ya kumfanya mwanamke aongee unaweza kuitumia kwa mama yako...
  10. SPACE CADET

    Kwa mambo haya mnataka tuoe kweli?

    Hiki kisa nimekichukua FB asee Mimi ni mama wa watoto 2 mimi na mume wangu tulikua vizuri shida ni huyu mwanaume ambaye niko naye. Nimfanyakazi mwenzangu na ni mume wa mtu. Mwanzo mahusiano yalikua ya kawaida tu tunafurahiana lakini baadaye nikajikuta naanza kumpenda nikabeba mimba yake na...
  11. Infinite_Kiumeni

    Sababu 6 kwanini mwanamke amekuchunia na kukupotezea ghafla pamoja na suluhisho la jambo hilo

    Kwenye ulimwengu wa mahusiano kuna mtindo saivi kwamba wa kwanza kumpotezea, kumchunia au kumuacha mwenzake ndo mshindi, sio mtindo mzuri ni utoto. Kama kweli mnajaliana mtaongea na kusuluhisha tatizo lililopo ila ikitokea mwanamke amekupotezea ujue upendo wake umepungua, mwache aende zake...
  12. Silivian

    Mwanamke anakulipia hela ya kunyoa, halafu anakwambia kuhusu kukaribia kuisha kwa kodi yake ya pango

    Mwanamke anakulipia hela ya kunyoa, halafu anakwambia kuhusu kukaribia kuisha kwa kodi yake ya pango. Anakununulia boxer na t-shirt, halafu anakukumbusha kuhusu zawadi kwenye siku ya kuzaliwa kwake. Anakununulia vocha, kisha anakwambia ubovu na kuichoka simu yake ya sasa. Sent from my TECNO...
  13. Saint_Mwakyoma

    Jamii iache kuhukumu vibaya wanaume wanao ingia kwenye mahusiano ya kimapenzi ( ndoa ) na wanawake wenye umri mkubwa kuwazidi

    Kumezuka wimbi kubwa la wanaume wengi wanaozama kwenye dimbwi la mahusiano ya kimapenzi na baadae sana wanagundua wapenzi wao wamewazidi umri kitu ambacho jamii ya kiTanzania inakichukulia kama kitu cha aibu na cha ajabu mno. Kwenye kila taasisi kuanzia ya familia, makazini na nyumba za ibada...
  14. Sossi

    Ukizifuma picha za utupu za anayemfukuzia mkeo utachukua hatua gani?

    Ni Jamaa ambaye alishawahi kuwa hawara wa mkeo, akamwacha kwa kashfa kibao alimchafua mitaani na huko Facebook, wewe bila kujali udhalilishaji aliofanyiwa bila kujali kashfa ukaamua kumuoa. Sasa baada ya miaka kadhaa kupita Jamaa anaaanza kummendea mkeo,mara atume watu mara apige simu, Mkeo...
  15. ASIWAJU

    Ndoa na mahusiano ya kimapenzi siyo mambo ya lazima kutekelezwa

    Karibuni nyote wanachama wa jukwaa hili. Kuna mambo makuu mawili ambayo ningependa kuzungumza pamoja nanyi wanachama wa jukwaa hili yahusuyo Ndoa & Mahusiano ya kimapenzi. Jambo la msingi hasa ambalo ningependa kuligusia ni kuhusu ukosefu wa fikra mpya na zilizo bora ndani ya jamii kupelekea...
  16. Side Makini Entertainer

    Mvuto ni tofauti na urembo au utanashati

    Hiki ni kitu ambacho unaweza kukitengeneza kutokana na matendo, mavazi na maneno yako. Katika mapenzi, urembo au utanashati hauna nguvu kama mvuto. Mvuto ni namna ambavyo unamfanya mtu akuone bora, wathamani na wakipekee. Mvuto ndio unafanya umuone Neema wako ni bora kuliko wanawake wote...
  17. Frumence M Kyauke

    Yupi anayeharibu mahusiano ya kimapenzi kati ya mwanamme na mwanamke?

    Je, yupi anayeharibu mahusiano & ndoa kati ya Mwanaume na Mwanamke?
  18. Nyuki Mdogo

    Nimekata nusu mwaka sasa bila kuwa na mahusiano ya kimapenzi

    Baada ya kupiga hesabu ya kumiliki mwanamke nje ya ndoa nimeona kuna gharama kubwa sana zinazosababisha hela kupotea. Pesa ambazo ningezifanyia mambo ya msingi sana. Sasa Toka January nikaamua kukaa SINGLE KABISA. Miezi 6 sasa imekamilika. Sina Dem wala Girl yeyote wa kuniomba vocha, hela ya...
  19. K

    Ni sababu ipi inapelekea asilimia kubwa ya wanawake kuwa na mahusiano ya kimapenzi na bodaboda?

    kwa utafiti mfupi nilioufanya nimegundua akina dada wengi hasa wake za watu wanadate na mabodaboda. kwa anaejua chanzo cha akina Dada kutokwa macho kwa mabodaboda anijuze haraka sana kuna maamuzi nataka kuyachukua.
  20. samwel phanuel

    Kwanini 90% hawafaidi hatua ya ujana?

    Ujana : nihatua ya ukuaji anayoipitia mtu baada ya kumaliza hatua ya utoto ili kuelekea utuuzima na uzeeni na hii hatua hutakiwa kuwa Makini na mtulivu wa fikra pamoja na akili nyingi kuliko hatua nyingine yoyote, na hii ndio hatua pekee ya utambulisho halisi wa mtu kifikra, kiutendaji na hata...
Back
Top Bottom