Wanandoa wengi wanaendekeza mazoea ya kuzoeana katika ndoa hadi kufikia kunyimana tendo la ndoa lenye uweledi na kufikia ndoa kuvunjika kwa jambo dogo tu.
Mimi ni jambo ambalo na lipa kipaumbele sana na ni miongono mwa jambo ambalo lazima nilifanye kwa ufundi sana na uweledi ulichanganywa na...
Hakuna ubishi unapoomba kazi moja ya sifa na kigezo kinachozingatiwa ni uzoefu wa kazi how long you work for the position?una yafahamu vyema majukumu yako na kuna impact gani umeifanya katika taasisi yako uliyotoka?
Lakini mambo yamekuwa tofauti katika mahusiano hivi kwanini wanaume tunawakataa...
Mwanasheria anasema, kuoa na kufunga ndoa ni vitu viwili tofauti, binafsi yake hapendelei kufunga ndoa sababu ya ‘repercussions’ endapo mtagombana.
Anasema ni bora uwe na ‘X’ kuliko kuwa na ‘Mtalaka / Mtaliki’.
===========================...
Mara nyingi mahusiano ya wanandugu huwa yanaharibika / kupungua pale wanapo oa au kuolewa , kuna wengine akili zinabadilika anaanza kutumia akili ya mke au mume zaidi na kudharau mambo ya familia aliyotoka.
Wanaume wengine wanaendleshwa na wake zao anafarakanishwa na ndugu zake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.